Habarini za mchana wana JF
Tusaidiane wadau katika swala hili,kuna rafiki yangu mmoja alikuja kunieleza jambo nikabaki nastaajabu,yeye na jamaa yake wana uhusiano wa miaka mitatu sasa,na katika hii miaka mitatu wamekua na migogoro mingi na pia kuna mambo ambayo yanamshangaza huyu dada kwa huyo jamaa yake, kwanza katika uhusiano wao huo wa miaka 3 mdada hajawahi kuingia chumba anacholala mpenzi wake wala hajui kinafafanaje,amebaki na maswali mengi kichwani kwamba inakuwaje haruhusiwi kuingia chumbani? Na alipohoji akaambiwa huko kuna vitu vyangu vya thamani sana kwa hiyo sipendi mtu aingie,ikabidi anyamaze, sasa je huyo jamaa anachofanya ni sawa kwa huyo mdada na hapo hapo anasema huyo mdada ni mchumba wake?
Msaada please!