Je hii ni sawa?

wanafanyia wapi kale kamchezo?

Burn swali lako linafurahisha kweli,nami pia nilimwuliza na mkitaka kukutana huwa mnakutana wapi akaniambia siku za kwanza jamaa alikuwa anampeleka Guest amempeleka guest kama mara 2 nikamwambia na baada ya hapo ikawaje akasema kuwa alipoona hivyo na alikuwa anakereka sana akaamua akimwambia wakutana anakataa na akamweleza live hawezi kwenda guest alipomwambia hivyo siku nyingine jamaa akamwita nyumbani alipofika nyumbani jamaa akataka kufanya nae kamchezo kwenye chumba cha houseboy anasema alikasirika sana na akaktaa kufanya chochote,anasema akaendelea kwenda kila alipokuwa anamwita alikuwa anaenda lakini anamgomea kufanya nae chochote kwa hiyo wanaongea hapo sitting room then anaondoka na mara kadhaa jamaa amemshawishi wafanye mapenzi sitting room. kwa kweli aliponieleza nilichoka nikasema mmhhh kumbe kwenye ulimwengu wa mapenzi kuna watu wengine wanakumbana na mambo ya ajabu sana.
 
Unamaana huyo mdada hata kujiexpress na jamaa hawajiexpress geto wanaenda mjengo?

Sasa mchumba ama kibaka wa mapenzini??
Maana hata mjengoni huwa ni siku za mwanzoni tu,zilizobaki kama kawa kwa house na tena lazima ujifaharishe chumbani kwako hata kama una kitanda tu.

huyo atakua anafuga jini humo,dada kimbia kabisa wala isgeuke nyuma usije geuka jiwe bureeeeeeeeeeeeeee.
 
Hata mimi nilimweleza huyo jamaa hana mpango na wewe anachotaka ni kukutumia tu,mahusiano yao ni kwamba walikuwa marafiki wa kawaida baadae wakaamua kubadilisha mahusiano ndo wakawa wapenzi na baada ya muda jamaa akamwambia mdada kuwa anataka kumwoa.

Msindima,
Hivi vimbwanga vyote hajamuoa! Akimuoa atakiona cha moto.

Mchumba mara zote atataka kuku impress- atakuonyesha nyumba yake yote, atakuachia ujisikie huru kwa kila hali.Atakukabidhi hadi funguo za nyumba yake/chumba chake, atakufanya ujiskie kuwa ni wewe tu hakuna kitu kati yenu! Iweje huyu anajifanya ati humo ndani mwake kuna vitu vya thamani??

Mshauri aachane na huyu mtu mara moja.
 
Ndo hapo hata mimi nashangaa WoS....nikahisi anafuga mavitu mabaya tu!:mad:
 
Ni kweli kabisa uliyosema WOS, nimweleza kuwa nijuavyo mimi hata kama mtu hana kitu ndani ya nyumba anakuwa na moyo mweupe kabisa kumkaribisha mchumba/ mpenzi wake na tena anafurahia sana. Sasa mwenzetu inakuwaje unaishia sitting room na hapo hapo unaridhika?
 
Ndo hapo hata mimi nashangaa WoS....nikahisi anafuga mavitu mabaya tu!:mad:

Kaizer naunga mkono hoja,ww unasema mavitu mabaya mi nahisi labda mfuga majini au jambazi kwa hiyo hataki siri zake zijulikane,ubinafsi gani huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom