Je hii ni sawa?

Msindima

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,018
33
Habarini za mchana wana JF
Tusaidiane wadau katika swala hili,kuna rafiki yangu mmoja alikuja kunieleza jambo nikabaki nastaajabu,yeye na jamaa yake wana uhusiano wa miaka mitatu sasa,na katika hii miaka mitatu wamekua na migogoro mingi na pia kuna mambo ambayo yanamshangaza huyu dada kwa huyo jamaa yake, kwanza katika uhusiano wao huo wa miaka 3 mdada hajawahi kuingia chumba anacholala mpenzi wake wala hajui kinafafanaje,amebaki na maswali mengi kichwani kwamba inakuwaje haruhusiwi kuingia chumbani? Na alipohoji akaambiwa huko kuna vitu vyangu vya thamani sana kwa hiyo sipendi mtu aingie,ikabidi anyamaze, sasa je huyo jamaa anachofanya ni sawa kwa huyo mdada na hapo hapo anasema huyo mdada ni mchumba wake?
Msaada please!
 
...Hataki mtu aingie!! huyo dada anafananishwa na mtu mwingine c mchumba, makubwa, Kwahiyo huyo dada ni mwizi?
Hebu tufafanulie kwa kirefu mahusiano yao.
 
Mapenzi sio lazima mtu afike chumbani, kama jamaa ana sebule sio lazima huyo dada akione chumba mpaka ndoa. Sema jibu baya hapo ni hilo kuwa eti ana vitu vya thamani, yani anamuona huyo atakayekuja kuwa mwenza wake mwizi.
 
wanafanyia wapi kale kamchezo?

nakweli, hebu waulize kwanza, hata kama ni jikoni we huwezi siku ya kwanza tu demu wako mkabanjukia jikoni, atakushangaa!
icon10.gif
 
Unamaana huyo mdada hata kujiexpress na jamaa hawajiexpress geto wanaenda mjengo?
 
chinga1 anawaza
ahahahhaha, jikoni!!!! ako kamchezo hakana mahal maalum. eh lakini hii kali.

hahahaha wakimwaga mboga je? au wakichafua vyombo si balaa. Mala matumbo mala yanafulugha duh akipiga kujiexpress si unajua ile ukitoa tu kitu kinatoka kama moshi wa gari la diesel fyuuuuuuuuuu kwenye vyombe na ugali hahaha.
 
wakikoroga koroga mchuzi......wewe fidel u are just crude!!!! mmmnh!
 
ehe.. hebu twambie siku ya kwnaza mnabanjukia wapi?

wewe shishi unakuwa kama hujawai fanya siku ya kwanza kama mpo kijijini unapiga porini ila kwa hapa town unachukua ile ya kulipia kwa sekunde mjengo.
 
wewe shishi unakuwa kama hujawai fanya siku ya kwanza kama mpo kijijini unapiga porini ila kwa hapa town unachukua ile ya kulipia kwa sekunde mjengo.

haki ya nani nakupiga boot siku hiyo hiyo ati porini??????
 
haki ya nani nakupiga boot siku hiyo hiyo ati porini??????

Utakuwa una ubavu huo wkt upo tayari kwenye himaya yangu kama unanisindikiza vile aaah lazima njiani nikugeuze nakuvutia porini cha fasta fasta bana. Ombea sehemu iwe na siafu hahahaha
 
Utakuwa una ubavu huo wkt upo tayari kwenye himaya yangu kama unanisindikiza vile aaah lazima njiani nikugeuze nakuvutia porini cha fasta fasta bana. Ombea sehemu iwe na siafu hahahaha

JF bwana, huyu unaweza kukuta ni mtu mzito sana nchini, lakini ukimuona unaweza usiamini kama ndo maneno yake haya!!
JF oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee :D
 
Huyo jamaa anafuga mapaka huko chumbani kwake.....hamfai huyo mchumba
 
Huyo jama inawezekana ni jambazi au mshirikina. Labda huko ndani kaweka vifaa vya kazi kumbe anaogopa mchumba asivione kwani akiviona na hawajafunga ndoa inaweza kuwa hatari kwake ikiwa kesho na keshokutwa hawatafunga pingu za maisha. Anaogopa kuja kuanikwa. Hivyo inawezekana anasubiri mpaka wafunge ndoa ndiyo amshirikishe undani wake. Hapo kwa kuwa watakuwa mume na mke hakutakuwa na shida tena kwa mawazo yake.
 
...Hataki mtu aingie!! huyo dada anafananishwa na mtu mwingine c mchumba, makubwa, Kwahiyo huyo dada ni mwizi?
Hebu tufafanulie kwa kirefu mahusiano yao.

Hata mimi nilimweleza huyo jamaa hana mpango na wewe anachotaka ni kukutumia tu,mahusiano yao ni kwamba walikuwa marafiki wa kawaida baadae wakaamua kubadilisha mahusiano ndo wakawa wapenzi na baada ya muda jamaa akamwambia mdada kuwa anataka kumwoa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom