Ungetoa maelezo kwa kina kidogo,kwamba una malengo gani , then wadau wenye uelewa na Electrical Engineering watakusaidia kwa kuangalia malengo yako na eperince yao kwenye industry
Katika lipi electrical engineering unaona inafaa? Maana mimi kwa mtazamo wangu mdogo, engineering ya nchi kama Tanzania inahitaji kila aina ya watu ila wawe wabunifu. Sio wasoma madesa
Mie nahtaj mtu yeyote anayeijua vizuri electrical engineering anielekeze inakueje?maana ndo nayo taka niisomee,sasa nilikuwa nauliza je ni nzuri na inafaa katka sector mbalimbali nchn tanzania?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.