Je, Chadema kuwa Na. 2 jimbo la Uzini Udini umeshindwa?

Hakuna cha ajabu hapo mkuu kwa kukusaidia uchaguzi uliopita Chadema walishika nafasi ya pili mbele ya Cuf.

acha kutuzuga jibu hoja? udini unaoeneza kila siku hapa Jf kule uzini hatujauona, kulikoni au ni wenu wachache?
 
Jipambanue wamepata asilimia ngapi?

Isije ikawa ile nimekuwa mtu wa nne darasani kwangu. Pasi na kubainisha kati ya watu wangapi. Inawezekana ukawa wanne kati ya watu wanne.

Ongezeni bidii lakin lazima msome alama za nyakati kama walivyofanya wenzenu na kupunguza majigambo.

Na wewe nilikusahau unatoka chama cha udini. Chama cheni cha udini kimepata pigo Uzini wamewaumbua na kampeni zenu za udini.
 
Najitambulisha kama mwanaharakati wa kupinga udini. Tanzania isiyo na udini inawezekana. uchaguzi wa uzini umeacha viashiria vya ushindi dhidi ya wafuasi wa udini. Kila uchaguzi kuna wanaJF wanapenda kujipambambanua na ukristo na Uislamu.
 
Tukubaliane alikuwepo. Je, udini unasemaje? mgombea wa chadema Uzini alikuwa Mwislamu wajua hiyo?

Tukubaline kitu gani mkuu? Ujue JF sehemu ya porojo ukija njoo na facts na data za kutosha eti Chadema hakuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita.

Hakuna udini hapo hivi Chadema kupata kura 281 Uzini, ni mafanikio makubwa kwa Chadema?
 
Thibitisha agenda ya chadema kuwa chama cha ukristo kwa matokeo ya Uzini!!!
 
Na wewe nilikusahau unatoka chama cha udini. Chama cheni cha udini kimepata pigo Uzini wamewaumbua na kampeni zenu za udini.

Udini ni nini kwani? naomba uafanuzi wako.

Au kuipinga chadema ndio udini?

Thibitisha agenda ya chadema kuwa chama cha ukristo kwa matokeo ya Uzini!!!

Chukuwa hii mwaka 2010 katika jimbo la Uzini Chadema walishika nafasi ya pili kwa kupata 7.6%.

Mwaka 2012 Chadema walishika tena nafasi ya pili Uzini kwa kupata 4%.

Sasa kama una akili tafakari chukua hatua.
 
Chadema inabidi wajitafakur kama watakuwa chama makini na viongozi makini.

Wasitafute mchawi kwa kushindwa kwao. Mchawi ni kauli zao Bungeni na nje ya bunge kuhusu Znz na waZnz. Vile vile walitakiwa wasome alama za nyakati kuhusu siasa za Znz.

Lakin la mwisho viongozi wawe na huruma na pesa za posho walizo zoa kule Uzini. Kwani walijua kabisa wanashindwa bali waliongopa kuwa wana nafasi kubwa ya kushukua jimbo hilo.

Nafikiri sasa ni wakti wa kuwachukulia hatua kali viongozi walioweka kami Uzini na kuzoa posho bila kusema ukweli kuwa hakuna uwezekano wa kushinda. Chini ya 5% ni aibu kubwa sana ka Chadme na watendaji wakuu waliweka kambi huko.
 
Udini ni nini kwani? naomba uafanuzi wako.

Au kuipinga chadema ndio udini?

Dr.Barubaru.
Huyu jamaa kwa kweli hata mie nimeshindwa kumuelewa na mada yake ya udini.

Chadema wamepta 4% yeye kwake ni mafanikio sijui CCM waliopata 91% sijui watasemaje, na majonzi swaiba wetu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha.
 
Jipambanue wamepata asilimia ngapi?

Isije ikawa ile nimekuwa mtu wa nne darasani kwangu. Pasi na kubainisha kati ya watu wangapi. Inawezekana ukawa wanne kati ya watu wanne.

Ongezeni bidii lakin lazima msome alama za nyakati kama walivyofanya wenzenu na kupunguza majigambo.

kushika nafasi ya pili yatosha, kwenye cuf na ccm!
 
Dr.Barubaru.
na majonzi swaiba wetu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha.

Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Huu ni muswiba mkubwa sana.
Kwa kosa gani alilofanya mpaka kupigwa BAN ya maisha?

Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Chadema hivi nyie mpinzani wenu na CUF au CCM? naona mmeamua kujiliwaza kwa kuishambulia CUF.

Kwenye uchaguzi wa Uzini Chadema ndio wamepoteza zaidi kuliko CUF kwanza mnatakiwa mkumbuke Chadema walishika nafasi ya pili katika jimbo ilo uchaguzi uliopita sijui kama unalijua ilo.

Kura za Chadema zinazidi kupungua tofauti na uchaguzi uliopita.

Acha uongo wako.CDM haikuweka mgombea kwenye nafasi ya uwakilishi
 
Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Huu ni muswiba mkubwa sana.
Kwa kosa gani alilofanya mpaka kupigwa BAN ya maisha?

Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.

Nawapongeza Mods kwa kufanya kazi yenu bila upendeleo.Hongereni sana tutazidi kusupport JF
 
wote hapo mmetokota! Ili zanzibar kusiwe na udini ningetegemea mgombea aliyepita awe na jina la james! Huko uzini kwenye ngome ya ccm hebu angewekwa mkristo uone ccm ambavyo ingebwagwa. Njia sahihi ya kuondoa udini zanzibar ni kuruhusu muingiliano wa watu na mila na desturi na dini. Lakini kama na mgombea wa zanzibar wa chadema alikuwa muislam udini uko palepale!
 
Dr.Barubaru.
Huyu jamaa kwa kweli hata mie nimeshindwa kumuelewa na mada yake ya udini.

Chadema wamepta 4% yeye kwake ni mafanikio sijui CCM waliopata 91% sijui watasemaje, na majonzi swaiba wetu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha.

CDM imepata ushindi mkubwa.Udini ziiiiiii...
 
Udini ni nini kwani? naomba uafanuzi wako.

Au kuipinga chadema ndio udini?

we Hamza, siku ile kampeni zinaanza ulituambia chadema walikuwa kanisani wakihamasisha waumini wakitoka waelekee kwenye kampeni, leo unauliza nini!?
 
Chadema inabidi wajitafakur kama watakuwa chama makini na viongozi makini.

Wasitafute mchawi kwa kushindwa kwao. Mchawi ni kauli zao Bungeni na nje ya bunge kuhusu Znz na waZnz. Vile vile walitakiwa wasome alama za nyakati kuhusu siasa za Znz.

Lakin la mwisho viongozi wawe na huruma na pesa za posho walizo zoa kule Uzini. Kwani walijua kabisa wanashindwa bali waliongopa kuwa wana nafasi kubwa ya kushukua jimbo hilo.

Nafikiri sasa ni wakti wa kuwachukulia hatua kali viongozi walioweka kami Uzini na kuzoa posho bila kusema ukweli kuwa hakuna uwezekano wa kushinda. Chini ya 5% ni aibu kubwa sana ka Chadme na watendaji wakuu waliweka kambi huko.

Pole sana.Chuki zako na fitna zako za udini zimeshindwa na kuzikwa.CUF mke wa CCM uliyokuwa unapigania imepata aibu kubwa.Pole CUF Pole Barubaru
 
Back
Top Bottom