Je, Chadema kuwa Na. 2 jimbo la Uzini Udini umeshindwa?

One more point of correction. Rejea point hizo hapo juu, umeishajionyesha wewe ni mdini

sasa ukikutana na mtu mdini anaweza kukupinga kwa takwimu na UKA-AIBIKA

Waislamu zanzibar ni asilimia 95% (wikipedia)
wakristo na wengine ni asilimi 5%

Kura za chadema walizopata ni asilimia 4% JE MDINI HAWEZI KUSEMA WALIOIPIGIA KURA CHADEMA WOTE NI WAKRISTO??

AU UMETUMIA CRITERIA GANI KUJUA WAPIGA KURA WALIOIPIGIA KURA CHADEMA WOTE NI WAISLAMU??

Hivi unapata faida gani kwa chuki zako kwa Mbowe na Slaa?
 
Ni kwa nini mabishano ya CCM, CUF na CHADEMA lazima yaingize udini hapa JF? Hakuna sera ingine ya kupata ushindi mpaka tupakaziane udini wa vyama?

Tuanzeni moja, tukubaliane kwamba chadema si cha wakristo, CUF si cha waislam na CCM si cha waislam. Tutafute njia mbadala ya suluhu ya matatizo yetu
 
Chukuwa hii mwaka 2010 katika jimbo la Uzini Chadema walishika nafasi ya pili kwa kupata 7.6%.

Mwaka 2012 Chadema walishika tena nafasi ya pili Uzini kwa kupata 4%.

Sasa kama una akili tafakari chukua hatua.
Yaani Ritz sijui unataka kutuambia nini kwani kwa data zako inamaana hata uchaguzi uliopita walikudhihirishia hakuna udini unaotangaza kila siku. Issue haipo kama unavyofikiria
 
Mkuu, wewe niite utakavyopenda wala mie sioni tatizo tumeishawazoea nyie viongozi wa Chadema kwa kauli zenu..

Umekurupuka kuweka mabandiko yangu hata hujui tulikuwa tujadili nini, mie nilikuwa namfahamisha mtu kuhusu Uzini Chadema hawakuweka mgombea kwenye uwakilishi.

Lakini waliweka mgombea kwenye ubunge ndio aliopata hizo asilimia nilizoweka, tatizo la lako ukiona jina la Ritz. presha inakupanda.

Usitake kuendelea kujiaibisha, hapa yanajadiliwa matokeo ya uwakilishi jimbo la uzini, hakuna mtu anayejadili ubunge hapa, labda wewe uliyekurupuka kutaja matokeo ya ubunge na kuyafanya ya uwakilishi.

Kwakuwa ulikuwa unag'ang'ania kila post kwamba chadema walipata 7.6% katika nafasi ya uwakilishi uchaguzi mkuu wa 2010, na baada ya kubanwa ukataka kukataa kwamba hujasema hivyo, ndipo ikabidi nikuonyeshe maandiko yako mwenyewe ukithibitisha kwamba chadema ilisimamisha mgombea wa uwakilkishi jimbo la uzini.

Najaribu tu kukusaidia kwamba wengine tuko makini kidogo, si suala la kupost tu ili uongeze idadi ya post, tena unakuta umepewa taarifa tu na mtu, wewe bila kuchanganya na zako unakurupuka na kuanza kuzisambaza. Mambo yakiwa magumu unakana maandishi yako mwenyewe!!
 
Chadema hivi nyie mpinzani wenu na CUF au CCM? naona mmeamua kujiliwaza kwa kuishambulia CUF.

Kwenye uchaguzi wa Uzini Chadema ndio wamepoteza zaidi kuliko CUF kwanza mnatakiwa mkumbuke Chadema walishika nafasi ya pili katika jimbo ilo uchaguzi uliopita sijui kama unalijua ilo.

Kura za Chadema zinazidi kupungua tofauti na uchaguzi uliopita.

za kafu zimeongezeka ? na za xixiem zimeongezeka? jaribu kucheck kuna thread mdau ameweka hapo upate majibu yakihesabu
"Tathmin ya uchaguzi UZIN- Mathematical calculation"
 
Back
Top Bottom