Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Tuacheni siasa za ushabiki mimi chadema mwenye msimamo mkali nasema january jembe lazima tukubali mwanzo mwisho yuko ccm lakini mpiganaji wa ukweli
Watu kama nyinyi mnapaswa muwaoneshe njia wale wasio weza kutenganisha masuala na matukio.