Januari ashangaa wabunge wengine wamefikaje Bungeni?

Kwa kuanzia wamefanya ziara bwawa la mtera na baadaye watakuwa na kikao cha kamati DSM kwa wiki nzima baada ya kumalizika kwa mkutano wa Bunge.

ziara hizo hazisaidii wala kubadili hali halisi... inahitajika kutekeleza mipango ya kudumu kama thermal power nk
 
January tumeishamjua.
-Kachukia kuukosa uwaziri
-Sasa ana mpango wa kuhakikisha Dowans inapata mkataba wa kufua umeme
-In return, Dowans isamehe au ipunguze deni la faini inayodai.

Lengo ni kutaka Januari aonekane ana hekima kwa kutatua tatizo la mgawo.

Wajanja tumeishajua kuwa Januari ni kuwadi wa mafisadi.
 
mbona yule HM ukimnunulia bia tu unabeba? mbona unampandisha chati sana

Ulitaka apewe nini ndo atoe?hana umaskini wa akili wala wa mali,muacheni HM,she has done us proud,wanaume wengine hata kusimama jukwaani hawawezi.....let her be!!
 
Wana JF nimeshangazwa sana na kauli za Januari Makamba wakati akichangia Hotuba ya Rais. Jamaa baada ya kubebwa na kupewa ubunge na mafisadi anajiona kuwa uwezo wake ni mkubwa wa uelewa wa mambo kiasi cha kuwashangaa wengine eti wamefikaje humu bungeni.

Nilivyo muelewa mimi ni kuwa kwa kuwa yeye amebebwa kwa gharama kubwa na mafisadi kwa fedha zenye dhuluma na Baba yake anashanga watu kama John Mnyika na Halima Mdee wamefikaje bungeni wakati sio matajiri kama yeye.

Nataka ni mtaarifu kuwa pamoja na kujiona kuwa nyie vizazi vya mafisadi ndio mnaostahili kuongoza hata kama hamna uchungu na Tanzania siku itafika mtashangaa CCM imekufaje tene kifo cha mende.

Mubaraka wa Misri naye alikuwa anashangaa kama Januari kuwa imekuwakuwaje naondolewa.

Januari Makamba anatafuta umaarufu kupitia John Mnyika.Tumpuuze kilaza Januari.
 
niwakumbusheni yaliyompata the 'Sharlowbalow' Masha! Nasikitika huyu hatamaliza 5yrs baada ya Misri kuamia Bongo few days to come
 
niwakumbusheni yaliyompata the 'Sharlowbalow' Masha! Nasikitika huyu hatamaliza 5yrs baada ya Misri kuamia Bongo few days to come

Huyu dogo akisolve mgao wa umeme, nitamkubali...hata haki ya kujiona tutampa.....mimi naona apunguze kuongea sana ajikite kwenye swala la umeme kwa vitendo...atumie contact zake kuwa persuade hao wazee wake wasidanganywe, kwani ye ni generation ya internet anaweza kuingia kwenye mtandao na kucheki bei ya generator na kumwambia mzee mkubwa kama jamaa wanakata panga au laa!!
 
na sauti ya HM ya kilevi kama ya SOKOMOKO umeisahau?

hapa sio mahali pako usianze kuharibu post hii watu wanajadili wewe unaanza kuongea ishu ambazo hazina maana, nenda kwenye Celebrity forum, ndio uandike huu upupu...
nakushauri urudi Facebook, hapa hapakufai
 
haya ni matokeo ya kuanza KUNYWESHWA UJI siku ya pili baada ya kuzaliwa.

unategemea ubongo utakuwa na fikra nzuri?:puke:
 
Wana JF nimeshangazwa sana na kauli za Januari Makamba wakati akichangia Hotuba ya Rais. Jamaa baada ya kubebwa na kupewa ubunge na mafisadi anajiona kuwa uwezo wake ni mkubwa wa uelewa wa mambo kiasi cha kuwashangaa wengine eti wamefikaje humu bungeni.

Nilivyo muelewa mimi ni kuwa kwa kuwa yeye amebebwa kwa gharama kubwa na mafisadi kwa fedha zenye dhuluma na Baba yake anashanga watu kama John Mnyika na Halima Mdee wamefikaje bungeni wakati sio matajiri kama yeye.

Nataka ni mtaarifu kuwa pamoja na kujiona kuwa nyie vizazi vya mafisadi ndio mnaostahili kuongoza hata kama hamna uchungu na Tanzania siku itafika mtashangaa CCM imekufaje tene kifo cha mende.
Mubaraka wa Misri naye alikuwa anashangaa kama Januari kuwa imekuwakuwaje naondolewa.

The best brains are in the streets!Mtaongea mpaka makoo yatakauka, hao ni vihio.
 
Mti ukipinda basi kivuli hakiwezi kunyooka...
Kama Baba Uharo basi mtoto lazima awe Ushuzi...
 
yaani huyu januari ananiudhi na sura yake kama mgonjwa wa ukoma

Sijali kama ana sura ya nyoka au nyani. Ugomvi wangu na yeye ni kuona kwamba ni zao la ufisadi na ameingia pale na ajenda ya kuwavuruga watanzania na kuendeleza ufisadi wao. Huyu bwana mdogo ni hatari sana kuliko hata baba yake. Lakini kwa sababu paka ameshaondolewa kwenye gunia tumemjua vizuri tena mapema sana na sasa ni wakati wa kumshughulikia bila haya! Ameamua kwenda front kwa niaba ya waliomtuma kwa sababu ya ugeni wake akidhani kwamba ata-steal the show kwa sababu kibaraka mwenzake Serukamba (anayedai siku moja atakuwa Rais au Waziri Mkuu wa nchi hii) hana jipya na ni kichefuchefu kwa jamii! Wana JF kazi ya kuikomboa nchi hii ianze sasa!
 
mnategemea nini kutoka kwa januari aliyeshikwa mkono kupelekwa ofisini kwa rais mstaafu mkapa na rostam kutambulishwa na kunadiwa kwamba atawafaa hapo MBELENI,kuna habari kemkem kuhusu huyu makamba kutoka marekani kuhusu NYUMANI
 
one of the vilaza. wewe bitozi uliyemhonga halima mdee bia ukamchukua hongera sana. siku zote wanaccm mnaendelea kudhihirisha high level of immaturity. hivi kwa nini hamtaki kwenda shule ili angalau mfanane fanane elimu na hata huyo halima mdee?
 
Kijana huyu wa Makamba ni kweli anadharau hata kwa kumtazama tu.
Huu ni ukweli ambao haihitaji uwe mpinzani kuuona, kama ana jema tutalisema, ila ukweli January anadharau sana.

Mkuu,, Acha chuki binafsi,, wewe una uwezo gani wa kumtazama tu mtu eti ukajua ana dharau? Najua moyoni mwako unatamani sana ukaribu na January lakini huna tu uwezo ndiyo maana kinachobaki ni kile kile....kulalamika na kutukana usiku na mchana. Punguzeni chuki and give credit where they are due,, Ebo! Nilikuwa napita fasta tu hapa lakini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom