Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 13,587
- 28,621
Tumenyimwa goli la halali kule SAUnalia nini shabiki
Tumenyimwa goli la halali kule SAUnalia nini shabiki
Tumenyimwa goli la halali kule SA
Tupo pamoja mamii😉03:00 Mananeeee
Relax 💆🏽♀️ Japo ni kweli haijatendwa haki kwenye goli lile1:45 AM 😭😭😭😭😭
Nakukumbuka To yeyeMungu ni pendo apenda watu
Mungu ni pendo anipenda
Nilipotea katika dhambi
Mungu ni pendo anipenda
Sikilizeni furaha yangu
Mungu ni pendo apenda watu
Mungu ni pendo apenda watu
Mungu ni pendo anipenda.
Mkuu wewe ni mfuatiliaji wa mpira na sheria zake?Relax 💆🏽♀️ Japo ni kweli haijatendwa haki kwenye goli lile
Ndio umeamka dingii?😃04:00