mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 16,797
- 51,966
isis ama anubis? au osiris?kuna yule ISIS
Ye alikuwa anafungua mageti ya ancient Egypt naye simuoni ktk huu uzi pendwa
isis ama anubis? au osiris?kuna yule ISIS
Ye alikuwa anafungua mageti ya ancient Egypt naye simuoni ktk huu uzi pendwa
Member alikuwa anijiita ISISisis ama anubis? au osiris?
Usiniambie nishakijua ety😂😂👐🏃🏿Nataka nikwambie kitu😂😂
Usiwe hivyo basiUsiniambie nishakijua ety😂😂👐🏃🏿
Au tufanye utaniambie keshoo nina usingizi 😂🫣Usiwe hivyo basi
Kumekucha ujue,Au tufanye utaniambie keshoo nina usingizi 😂🫣
We ikifika asubuhi tu asubuh niambie ety🤪Kumekucha ujue,
Utakuwa zako offline, mjanja weweWe ikifika asubuhi tu asubuh niambie ety🤪
😂😂utaniona kwa huu uzii usijali.Utakuwa zako offline, mjanja wewe
Ebhna, embu wachia wageni walaleLeo mapema kitandani 22:41
01:39
Mlinzi wa zamu nimebaki mwenyewe JF nzima