mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 16,797
- 51,966
upo mrembo?01:17
upo mrembo?01:17
Ile nataka kuweka simu pembeni, na notification yako hiyoo...upo mrembo?
Mbona bado mapema sanaIle nataka kuweka simu pembeni, na notification yako hiyoo...
Naona hivyo piaMbona bado mapema sana
Ni vyema na haki😂Naona hivyo pia
Acha nipumzishe zangu komweNi vyema na haki😂
Muache asomeNi vyema na haki😂
Ndo anamalizia nimejiweka kimkakatiMuache asome
Ulale mrembo...02:39
Nimemmiss mahi wangu!
we muchaga kumbemahi
Nimesema kwa utani bwana, hope ulielewa kama ni utani…we muchaga kumbe
Aisee kweli that should be very concerningOwner wa huu uzi hajawah onekana since June 2020..., not concerning ?