Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,142
- 7,489
Unanitafutia kesi , Mimi ni katibu mwandamizi . 😂😂😂Nakuona balozi wa chama Cha mkono bao na maendeleo ya kujichukulia sheria mkononiView attachment 2529117
Unanitafutia kesi , Mimi ni katibu mwandamizi . 😂😂😂Nakuona balozi wa chama Cha mkono bao na maendeleo ya kujichukulia sheria mkononiView attachment 2529117
Hii ID hii ina usalama kweli? Sijawahi iona kama siyo ... 🤔🤔🤔🤔🤔I'm too desperate .. kanichinja hajanipa nyama .. si unikule my lady
Huyoo mke wa mtu broo😂😂 Bantu Lady, Tena mumewe yuko humuhumu🙈🙈😴I'm too desperate .. kanichinja hajanipa nyama .. si unikule my lady
Basi my destiny is aligned with wake za watu maana . . Huku mtaani nako vile vileHuyoo mke wa mtu broo😂😂 Bantu Lady, Tena mumewe yuko humuhumu🙈🙈😴
Acha wasi wasi , My ladyHii ID hii ina usalama kweli? Sijawahi iona kama siyo ... 🤔🤔🤔🤔🤔
I can feel it in my heart, hello guess you were waiting for so longHello it's me ur looking for?
Jiwe kizani 🤔Hello it's me ur looking for?
Ndiyo uache kuomba omba hela sasa ☺☺☺Nishaacha mapenzi sikuizi natafuta hela
Mi naitwa boss nishaachana na usela
Nikikupenda nakuhonga sina ngonjera
Maisha na mziki nimebutua kombolela
Mi sitaki shobo shobo
Mi sitaki shobo shobo
Mi sitaki shobo shobo
Mi sitaki shobo shobo
Eti nyo nyo kwa u star gani
Eti una ela kwa ela gani
Unadanga asiekujua nani eti una macho matatu na haupatikani
Wenyaturu mi mtalibani kwanza mi na wewe hatufanani
Mwenzangu gu mimi anaekujua nani
Ku ku ku kwendraa
Ku ku ku ku ku ku ku ku ku ku
Ku ku ku ku ku ku ku ku ku ku
Ku ku ku ku ku ku ku ku ku ku
Ku ku ku ku ku ku ku ku ku ku
Nishaacha mapenzi sikuizi natafuta hela
Mi naitwa boss nishaachana na usela
Mkuu, acha nikae kimya ila vijana wa style hii sijui mna dead worms in your damn f.uckin headsBasi my destiny is aligned with wake za watu maana . . Huku mtaani nako vile vile
Leo mahaba day humuuuuu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻I can feel it in my heart, hello guess you were waiting for so long
Kabisa nitafute pesa na mimi niombwe siyo dada mkubwaNdiyo uache kuomba omba hela sasa ☺☺☺
Umeanza Bantu Lady usifukue yaliyozikwaaNdiyo uache kuomba omba hela sasa ☺☺☺
Changamkia fulsaJiwe kizani 🤔
Ngoja ukuwe kwanza... In 20's bado kujua mapenzi.Jiwe kizani 🤔
Nimesema hivyo BSE nimetoka kupigwa na kitu kizito , nlijiachia kwa mamiloo Leo nimefound out kaolewa , .Mkuu, acha nikae kimya ila vijana wa style hii sijui mna dead worms in your damn f.uckin heads
👩❤️👨. 03:17Ngoja ukuwe kwanza... In 20's bado kujua mapenzi.