Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 380
- 618
Safi kamanda, vipi umekamata silaha
Nishakamata yangu,niko geti la mashariki hapaSafi kamanda, vipi umekamata silaha
Hivi akitokea jambazi nahisi utakua wa kwanza kukimbilia kitandani maana sio kwa silaha zako hizo za mikuki wakati jambaz ana mtutu
Yaan nimecheka sana ,siwez kimbiaHivi akitokea jambazi nahisi utakua wa kwanza kukimbilia kitandani maana sio kwa silaha zako hizo za mikuki wakati jambaz ana mtutu
Oyaaa02:50
Hellow from this side