Old father sioNimeshakuwa vya kutosha kwa umri wangu nawezaitwa Dingi mambo yameshakuwa plenty.
Yupo sana huwa anachungulia alafu anamute mpaka umention ndio anajibu.Hivi simiss alipotelea wapi?
Wallet imeshanona tena mwisho wa mwezi sio kinyonge.Tunakula Mema Ya Nchi Tunabarizi Zenji bar
Aise umfikishie salamu zangu,nimemkumbuka sana huyu ndugu.Yupo sana huwa anachungulia alafu anamute mpaka umention ndio anajibu.
Yap.Old father sio
Kwani samaki hamuendi wote siku hizi 😂😂😂Aise umfikishie salamu zangu,nimemkumbuka sana huyu ndugu.
Mida mibovu hii.12:58 AM
😅😅😅😅😅😅😅😅Kwani samaki hamuendi wote siku hizi 😂😂😂
Uswahilini ndio mida paka zinaliaMida mibovu hii.
NaaamWeekend inajieleza....