Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,009
- 35,657
Pamoja na kukesha huwa siwezi kusinzia mchana .
OMG, nilimiss kukuita pia.
Usjali najua mambo mengi
Halaf naskia ulisha pewa onyo la kusonzia sana ofisin kwa hyo issokey.
Nipo makiniii hahaha.
Hata hivyo niliamka tuu Ku susuu byee my dear