I will do so, iki shindikana acha kila mmoja afate njia yake.

Maana amani iki shindikana mkiwa vijana, uzeeni ni kutafutiana lawama.
Uki zingatia Mimi ndo think tank.
Sawa utatupa Mrejesho

Maandiko yanasema "Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza, ndugu wakikaa pamoja Kwa umoja"

Zaburi 133:1

I wish you best of luck 🙏🙏🙏
 
Sawa utatupa Mrejesho

Maandiko yanasema "Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza, ndugu wakikaa pamoja Kwa umoja"

Zaburi 133:1

I wish you best of luck 🙏🙏🙏
Mzee mi naamini katika umoja na amani katika familia.
Ila Ina chosha mmoja kufikiri zaidi, Halafu wengine wako slow kiakili.

Halafu Bora tunge kuwa wengi Kwenye mradi, ni pipo 2 Tena yeye hata watumishi na sehemj ya mradi Hawa mfahamu.

ila still Ina ona Kama ni rahisi kuendesha mambo.

Leo naona amani IPO, japo nili kuwa bize Sana, ila naandaa exit door.
Wasomi Wana Sema just in case!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom