Bby Leo sikuachii kbsaaaa
Naona wanaokumendea ni wengi na nilishakuambia wivu wangu mbayasana kukuhusu we we, sitaki kbsa kuona watu wakionja ninachopewa ujue hil
Please naomba uutunze moyo wangu jaman sitaki kuliabby
Nautunza moyo wako kama unavyotunza wangu kipenzi. Ahadi na vyote tulivyopanga day one navikumbuka kila second honey
 
428db259db7df5a87fcfe5a21f5e6e92.jpg

Nipo na gudume nadeka tu kwenye kifua

Hapa kaingia toilet nimechungulia jf

Hii ni vinywaji gan jaman msaada kabla hajarud
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom