nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Ukorofi ni very general term. Ana matusi, anapigana, anakunyima, anafanya nini hasa mpaka mnamuita mkorofi? Bila details na majibu utakayopata yatakuwa general vile vile na hayata kusaidia.
Nasema hivyo kwa sababu mi kuna watu nao wajua wanaitwa wakorofi lakini when it comes kwa waume zao they the most loving wives. Yani wanachagua wa kuwafanyia ukorofi. Na wanajua wakiwashikilia vizuri waume zao basi hao watakaolalamika wataonwa wanapiga majungu tu.
ushauri huu mtoa mada changanya na za kwako.Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
Wewe pia uko kundi hili i am sure lol
wewe siulikuwa unashauri watu kuhusu maswala ya ndoa wewe watunze ndoa zao.sasa hii ni ushauri au uchawi hapa ndio mahali nakosa imani na dini yoyote na mwongozaji wa dini yoyote na ninabaki kwa mungu wangu tu aliyerniuma uwe mfano wakuigwa kwa maneno na matendo ,nilikuambia aliyekunywesha sumu nenda akutapishe!!!!!!Kale viagra dozi ya juu halafu mpelekee moto......!!
Heshima itasoma juuuuuuuu.........!!!
wewe siulikuwa unashauri watu kuhusu maswala ya ndoa wewe watunze ndoa zao.sasa hii ni ushauri au uchawi hapa ndio mahali nakosa imani na dini yoyote na mwongozaji wa dini yoyote na ninabaki kwa mungu wangu tu aliyerniuma uwe mfano wakuigwa kwa maneno na matendo ,nilikuambia aliyekunywesha sumu nenda akutapishe!!!!!!
Ushauri wako wa pili nimeupenda.
hii imekaa ki-udaku vile, wamchambue kama karanga lol
ndio dawa yenu nyie wadada hasa wale wakorofi, tena kama mie ni mume najiyafutia safari kabisa...ili mtu apewe somo vizuri
wewe kiboko!!!
Ukitoka safari unakuta wamepigana hadi wamevunja tv, unanunua nyingine!
Umenichekesha kuna rafiki yangu mkorofiii, afu kaolewa kakutana na mama mkwe mkorofi. Mwanaume akawaambia mie sifanyi kesi nyumbani kwangu. Siku mama mkwe akifika anaanza chokochoko, mdada anampakia hadi mama analia. Hayafiki kwa mkaka manake anayeanza tu anazimwa! Siku hizi wanaheshimiana hao!
ushauri huu mtoa mada changanya na za kwako.
ushauri huu mtoa mada changanya na za kwako.
ushawahi kujiuliza kwa nini watu husema "dawa ya moto ni moto?"... maana ni hii, mtu akiwasha moto upande huu wewe kimbilia upande wa pili nawe ukawashe ikiwezekana wa petroli....hiyo mioto itawaka weee lakini ikifika katikati lazima yote izime...hakuna moto utaounguza moto mwenzake