Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

Ukorofi ni very general term. Ana matusi, anapigana, anakunyima, anafanya nini hasa mpaka mnamuita mkorofi? Bila details na majibu utakayopata yatakuwa general vile vile na hayata kusaidia.
 
Nasema hivyo kwa sababu mi kuna watu nao wajua wanaitwa wakorofi lakini when it comes kwa waume zao they the most loving wives. Yani wanachagua wa kuwafanyia ukorofi. Na wanajua wakiwashikilia vizuri waume zao basi hao watakaolalamika wataonwa wanapiga majungu tu.
 
Wewe pia uko kundi hili i am sure lol
 
Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
ushauri huu mtoa mada changanya na za kwako.
 
Kale viagra dozi ya juu halafu mpelekee moto......!!
Heshima itasoma juuuuuuuu.........!!!
wewe siulikuwa unashauri watu kuhusu maswala ya ndoa wewe watunze ndoa zao.sasa hii ni ushauri au uchawi hapa ndio mahali nakosa imani na dini yoyote na mwongozaji wa dini yoyote na ninabaki kwa mungu wangu tu aliyerniuma uwe mfano wakuigwa kwa maneno na matendo ,nilikuambia aliyekunywesha sumu nenda akutapishe!!!!!!
 
Sasa si mke wake au unataka aje akukule wewe?
 
Ukitoka safari unakuta wamepigana hadi wamevunja tv, unanunua nyingine!
Umenichekesha kuna rafiki yangu mkorofiii, afu kaolewa kakutana na mama mkwe mkorofi. Mwanaume akawaambia mie sifanyi kesi nyumbani kwangu. Siku mama mkwe akifika anaanza chokochoko, mdada anampakia hadi mama analia. Hayafiki kwa mkaka manake anayeanza tu anazimwa! Siku hizi wanaheshimiana hao!
ndio dawa yenu nyie wadada hasa wale wakorofi, tena kama mie ni mume najiyafutia safari kabisa...ili mtu apewe somo vizuri
 
wewe kiboko!!!

ushawahi kujiuliza kwa nini watu husema "dawa ya moto ni moto?"... maana ni hii, mtu akiwasha moto upande huu wewe kimbilia upande wa pili nawe ukawashe ikiwezekana wa petroli....hiyo mioto itawaka weee lakini ikifika katikati lazima yote izime...hakuna moto utaounguza moto mwenzake
 
Ukitoka safari unakuta wamepigana hadi wamevunja tv, unanunua nyingine!
Umenichekesha kuna rafiki yangu mkorofiii, afu kaolewa kakutana na mama mkwe mkorofi. Mwanaume akawaambia mie sifanyi kesi nyumbani kwangu. Siku mama mkwe akifika anaanza chokochoko, mdada anampakia hadi mama analia. Hayafiki kwa mkaka manake anayeanza tu anazimwa! Siku hizi wanaheshimiana hao!

hahahaha huwa wanasema kama humuwezi adui basi ungana naye...
 
ushauri huu mtoa mada changanya na za kwako.

mkuu hakuna mbabe asiye MBABE...
Simba jike na ukali wake wote ule lakini ana watoto na ana familia...
Nyuki pamoja na mihasira yote lakini asali yake twaila...
kwa hiyo huyo bi dada lazima apate mbabe wake ili aufyate...
 
Kibao kimoja tu.......hicho tu lakini cha uhakika halafu usiongee chochote!!

Maumivu yakizidi mwone daktari
 
....hili nalo neno mkuu!!!
ushawahi kujiuliza kwa nini watu husema "dawa ya moto ni moto?"... maana ni hii, mtu akiwasha moto upande huu wewe kimbilia upande wa pili nawe ukawashe ikiwezekana wa petroli....hiyo mioto itawaka weee lakini ikifika katikati lazima yote izime...hakuna moto utaounguza moto mwenzake
 
Utafiti unaonyesha mwanamke asiefikishwa kileleni anakua na kisirani/hasira and the like...Jitahidi mkuu mfikishe kileleni yote yataisha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom