Jamani nini dawa ya mwanamke mkorofi?

oa mke wa pili ila awe muimba taarabu ukioa muimba injili au kaswida sawa sawa na kusukuma gololi mteremkoni
 
ZEROIQ.jpg


Cc: Zero IQ
 
Umekaliwa Wewe, saikolojia ya mini?


QUOTE=Omega2010;4664076]Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni
[/QUOTE]
Vipi bado Ni mkorofi.Biblia yasema Ni heri uishi juu ya Dari kuliko kuishi na mke mkorofi Ni sawa na kuishi na nyoka
 
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.

Aksanteni
CHAUMMA ND'O SULUHISHO LA ADHA ZOTE NCHI HII!!!
 
Back
Top Bottom