Ninawezaje kubadilisha tabia ya mwanamke huyu?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.

Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana hapo badaye. Ila ninashindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu, kiufupi mwanamke huyu anatabia za jikedume, ni mtu muda wote ukimuona yupo kama mwanaume, matendo yapo kama ya mwanaume.

Ni mtu muda wote anafikiria kutafuta pesa tu, na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya! Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti, eti atalipwa.

Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake, yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini. Eti hataki watoto atakao wazaa kuja kuishi maisha mabaya. Kwa kauli zake hizo zinanifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu.

Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vilevile tu. Imefikia wakati nikiwa nafanya naye mapenzi anachoniuuliza ni mambo ya kazi tu. Hana muda wa kuwa 'sexy' kama wanawake wenzake. Sijui nifanyeje ili nipate kumsaidia mpenzi wangu kutoka kwenye tabia hii.
 
Jambo ndugu zangu naombeni ushauri wenu
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana apo badaye
Ila nina shindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu kiufupi mwanamke huyu anatabia za dikedume
Ni mtu mda wote ukimuona yupo kama mwanaume matendo yapo kama ya mwanaume

Ni mtu mda wote anafikiria kutafuta pesa tu na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya
Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti eti atalipwa
Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini eti hataki watoto atakao wazaa wanakuja kuishi maisha mabaya
Kwa kauli zake hizo zina nifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu
Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vile vile. tu imefikia wakati nikiwa na sex naye anacho nihuliza ni mambo ya kazi tu
Hana mda wa kuwa sexy kama wanawake wenzake
Sijui ni fanyeje ili nipate kusaidia mpenzi wangu kut oka kwenye
Mbona umeishia kwenye...au amekupora simu huyo mwanamke wako?
 
Njia nzuri ya kumbadilisha ni wewe kuongeza Kasi ya utafutaji ili kumhakikishia watoto wake wataishi vizuri.

Huenda kapitia maisha magumu Sana au manyanyaso kiasi kwamba kajiapiza atafanya juu chini watoto wake wasipitie hayo.

Au huenda mzazi/wazazi wake mahusiano hayakuwa mazuri na hivyo hayapi kipaumbele sana.

Kama unampenda Kwa dhati jitahidi kumbadilisha taratibu bila kuchoka.
 
Jambo ndugu zangu naombeni ushauri wenu
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana apo badaye
Ila nina shindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu kiufupi mwanamke huyu anatabia za dikedume
Ni mtu mda wote ukimuona yupo kama mwanaume matendo yapo kama ya mwanaume

Ni mtu mda wote anafikiria kutafuta pesa tu na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya
Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti eti atalipwa
Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini eti hataki watoto atakao wazaa wanakuja kuishi maisha mabaya
Kwa kauli zake hizo zina nifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu
Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vile vile. tu imefikia wakati nikiwa na sex naye anacho nihuliza ni mambo ya kazi tu
Hana mda wa kuwa sexy kama wanawake wenzake
Sijui ni fanyeje ili nipate kusaidia mpenzi wangu kutoka kwenye
@kwisha habari yako
 
Ndiyo nature yake alivyo kamwe hauwezi kumbadilisha ,kama hauendani na type hiyo na hamjapata watoto bora uachane nae utafute design unayotaka wewe!!
 
Huyo ni wakutia ndani ukimpa mtaji wa laki atajishughulisha kuliko wanaotaoa kuchuma na kula vya mume utakuja kulia na kusaga meno. Tafuta mwanamke anaeweza kujishughulisha na sio anaewaza lotion , mitoko , chips , movie za season .nice day
 
Hapo shida iko wApi?....
Vijana mna mihemkooo
Mkishaingia kwenye ndoa huo usexy huisha, inabaki chakula, ada, kodi, bima, usafiri n. K
Mambo hayo yakiwa otherwise uzuri urembo utanashati ubaby girl hutauona

Owa mwanamke ambaye pasipo uwepo wako ataweza kuendeleza familia na watoto wasitetereke
Hiyo ilikuwa utangulizi

Kwa tabia hizo uwezi kuzibadilisha ni kuufundisha moyo wako kuzikubali tu
 
Jambo ndugu zangu naombeni ushauri wenu.
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana hapo badaye
Ila nina shindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu kiufupi mwanamke huyu anatabia za dikedume
Ni mtu mda wote ukimuona yupo kama mwanaume matendo yapo kama ya mwanaume

Ni mtu mda wote anafikiria kutafuta pesa tu na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya
Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti eti atalipwa
Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini eti hataki watoto atakao wazaa wanakuja kuishi maisha mabaya
Kwa kauli zake hizo zina nifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu
Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vile vile. tu imefikia wakati nikiwa na sex naye anacho nihuliza ni mambo ya kazi tu
Hana mda wa kuwa sexy kama wanawake wenzake
Sijui ni fanyeje ili nipate kusaidia mpenzi wangu kutoka kwenye
😁😁😁 pole bhna mkuu ngum sana kumbdalisha mwanamke tabia ila inawezekan kumbadlisha tabia japo utaitaj mda mref zaid kumbdilisha tabia hauwez kumbadlisha tabia kwa mda mfup ukilzamisha kumbdlisha kwa mda mfup mutagmbana
 
Huyo usimuache muombee sana kwa Baba wa mbinguni na umbadilishe taratbu..kaa na wazee watakupa mbinu nzuri pia
 
Back
Top Bottom