Jamani, kwani lazima?

JAMANI KWANI LAZIMA?!-14

ILIPOISHIA
“Siyo lengo langu shemeji, ila unajua wakati mwingine nakutisha tu ili unisaidie maana hali yangu mbaya, nina uhitaji mkubwa sana shemeji, usinione hivi.”
“Kwa hiyo hali hii ya wewe kunitisha itakwenda mpaka mwaka gani?”
ZUNGURUKA NAYO MWENYEWE…

“Ah! Sidhani kama nitataka kuendelea tena shemeji, ila sema tu nimeshtuka sana kuona una mimba.”
“Mimba hii haikuhusu shemeji, nimeshakwambia. Wala usije ukawaza kwamba ni yako, ni ya kaka yako.”
“Lakini ninavyojua mimi shemeji kaka hana uwezo.”
“Wa kufanyaje?”

“Kukupa mimba wewe.”
“Sasa kama hana uwezo angeniacha niendelee kuishi nyumbani kwake? Acha mambo yako bwana.”
“Haya, tupo hapa shemeji, maana ujue mimi nafanana sana na mama, kaka anafanana sana na baba.”
“Kwa hiyo mtoto wangu mimi na kaka yako hawezi kufanana na bibi yake?”
“Anaweza, sasa cha ajabu ni nini hapo?”
“Nimesema tu shemeji!”

“Uangalie mambo ya kusema shemeji,” alisema Paulina huku akitoa kitita cha pesa na kumpa Santo, akimwangalia kwa macho yaliyojaa hasira.
“Asante shemeji. Nakuahidi kuanzia sasa sitakusumbua tena, nimekuelewa sana.”
“Nashukuru kwa kunielewa shemeji yangu.”
Paulina alisimama, akaondoka zake, Santo aliendelea kumalizia soda yake kisha naye akaondoka zake akiwa na amani na furaha tele.

***

Njiani, Paulina bado alihisi mbele ya safari yake ya mimba ni kubaya kuliko alikotoka. Alikuwa akiwaza namna ambavyo ameanza kupata wakati mgumu. Alikumbuka mazungumzo yake na baba Riziki siku walipokutana…
“Nilikuwa nakutafuta sana jirani.”
“Nipo mbona!”

“Sawa upo, lakini nataka kukwambia kutoka moyoni kwamba hiyo mimba uliyonayo ni yangu.”
“He! Una uhakika gani?”
“Nina uhakika, ulinipigia simu ukasema una matatizo ya kutopata mimba, nikakupa namba ya dokta, lakini anasema hukuwahi kwenda hata siku moja na ulikutana kimwili na mimi. Wakati tunakutana uliniambia ndiyo kwanza unazini nje ya ndoa, hujawahi. Kwa hiyo si mimba yangu hiyo kweli?”
“Si yako.”

“Ya nani?”
“Kwani si nina mume?”
“Hata kama. Huyo mume ndiyo unasema hawezi kukupa mimba, mimi ninavyojua mimba ni yangu.”
“Sasa baba Riziki kama mimba ni yako, unataka kusemaje?”

“Nataka utambue hivyo, mtoto akizaliwa iko siku nitamtaka mimi baba mtu.”
Paulina alijikuta akishtuka kwa kukumbuka maneno hayo ya baba Riziki…
“Dah! Baba Riziki anadai mimba yake, Santo naye anataka kushtukia. Itakuwaje? Ukweli mimba ni ya Santo, baba Riziki hahusiki kabisa,” alisema moyoni Paulina huku akiwa anakaribia kufika nyumbani kwake.

***

Ilikuwa mwezi wa nane wa ujauzito wake Paulina, siku hiyo akiwa ndani, mumewe yupo kazini ilipigwa hodi!
“Karibu, nani?” Sauti kutoka nje haikujitambulisha licha ya kuulizwa nani.
Paulina alikwenda kufungua mlango, akakutana na sura ya baba Riziki…
“Sikai, ila najua bado muda kidogo utajifungua, nitamtaka mtoto wangu,” alisema baba Riziki na kuondoka kwa hasira.

“He! Umetumwa nini?”
“Sijatumwa na sitatumwa.”
“Khaa! Huyu baba vipi?” Alisema kwa sauti Paulina baada ya kugundua kuwa, alichokiongea mwanaume huyo kilisikika na msichana wake wa kazi ambaye alimpata kama wiki mbili nyuma.

“Kwani dada aliwahi kuwa mumeo kabla ya shemeji?” Alihoji msichana huyo…
“Hamna, nahisi hana akili nzuri kama wanaume wengine.”
“Sasa itakuaje? Maana shemeji anaweza kusikia maneno yake.”

“Achana naye.”

***

Siku hiyo, mume wa Paulina alipitia kwa wazazi kuwasilimia, alimkuta Santo naye yupo…
“Kumbe shemeji amebahatika kupata ujauzito,” alisema Santo baada ya salamu na mazungumzo marefu.
“Ulikutana naye?”

“Kuna siku nilikutana naye njiani, nikamsalimia.”
“Eee bwana, amebakiza kama mwezi mmoja ajifungue, Mungu ametenda.”
“Kweli Mungu ametenda,” Santo alisindikizia.
“Dawa gani alitumia?” Akapeleka swali la msingi kabisa.
“Hakuna dawa ni Mungu mwenyewe aliamua kufanya mabadiliko.”
“Oke oke!”

Kuanzia hapo, Santo aliamini mimba ya shemeji yake ni yake na si ya kaka yake. Kama angesikia alitumia dawa angeamini kwamba ni kweli, dawa zimefanya kazi.
Siku ya mwisho, Paulina alijiandaa kwenda kliniki ambapo baada ya siku hiyo, alitakiwa kusubiri saa yenyewe.

Akiwa anashuka kwenye teksi, akutana na bodadoda inatoka, ni yule kijana dereva aliyekwenda kulala naye Magomeni…
“Yaani nilikuwa nakutafuta kweli, bahati mbaya sikuwa na namba yako,” alisema kijana huyo…
“Kwa ishu gani?” Aliuliza Paulina.
“Kwanza unanikumbuka?”
“Ndiyo.”

“Tulikutana wapi?”
“We jua tu nakukumbuka, mambo ya tulikutana wapi sidhani kama yana msingi sana.”
“Oke. Sasa mimi siku ile usiku niliota ndoto eti unaniambia una mimba yangu, nikakwambia mbona sina uwezo wa kumpa mimba mwanamke?! Kesho yake nilikwenda hospitali wakasema nina uwezo wa kumpa mwanamke mimba, sasa leo nakuona una mimba kwa vyovyote vile ni yangu maana ndoto zangu hazisemagi uongo.
 
JAMANI KWANI LAZIMA?!-15

ILIPOISHIA
"Oke. Sasa mimi siku ile usiku niliota ndoto eti unaniambia una mimba yangu, nikakwambia mbona sina uwezo wa kumpa mimba mwanamke?! Kesho yake nilikwenda hospitali wakasema nina uwezo wa kumpa mimba mwanamke, sasa leo nakuona una mimba kwa vyovyote vile ni yangu maana ndoto zangu hazisemagi uongo."
ENDELEA MWENYEWE SASA…


Paulina alimtumbulia macho dereva huyo kwa dakika kadhaa kisha akamtolea maneno haya…
"Unajua wewe ni kinara wa wendawazimu wote duniani? Unaweza kuniambia maneno kama hayo mimi?"

"Siyo hivyo anti, kama mimba ni yangu we' nipe niilee mwenyewe, kitanda kinaweza kuzaa haramu siku mojamoja."
Paulina aliachana naye baada ya kuona watu wanaanza kuwakodolea macho ya kutaka kujua nini kilikuwa kikiendelea hapo.

"Sasa anti ukiondoka ndiyo tuseme unanidhulumu au?"
"Ndiyo nakudhulumu, amua sasa!" alisema kwa ukali Paulina huku akiingia kwenye zahanati hiyo kwa ajili ya kliniki…

"Eti yule kaka vipi, ni mzazi mwenzio?" alihoji mwanamke mmoja aliyekuwa akisikiliza mazungumzo ya Paulina na dereva yule wa Bajaj…
"Yule ni kichaa, kila mtu anamjua mtaani ninakoishi, eti anasema hii mimba ni yake," alijibu Paulina lakini bado mwanamke yule alikuwa na maswali ingawa hakuuliza…
"Sasa kama ni kichaa mbona anaendesha Bajaj?"

***

Siku hiyo ni kama Paulina aliharibiwa siku na yule dereva wa Bajaj, alihisi kutapika kila wakati. Wakati mwingine alisonya mwenyewe hata bila kuwa na msababishaji.
Alirudi nyumbani siku hiyo akiwa na hasira sana, alitamani kuua wengi, wakiwemo baba Riziki na Santo achilia mbali dereva wa Bajaj na yule mtu aliyekutana naye ndani ya daladala ambaye aliamini naye akikutana naye atadai mimba ni yake.

***
Asubuhi iliyofuata, Paulina akiwa hajaamka na alikuwa katika saa chache za kujifungua kwake, alipokea meseji iliyosomeka hivi…

"Mimi si mwanaume mjinga kama wengine, leo nitakuja na mke wangu ili useme ukweli mbele yake kwamba hiyo mimba ni ya nani kama si yangu mimi?"
Ilikuwa namba ngeni kwake, lakini kwa kujiongeza tu, alibaini ujumbe ule ulitoka kwa mtu anayeitwa baba Riziki. Paulina alihisi kuna jambo lisilo la kawaida kwenye akili ya baba Riziki na huyo mama Riziki wake…

"Hivi inawezekana kweli, mtu na mke wake wakamfuata mwanamke ambaye naye ni mke mtu, mwanaume akidai mimba ni yake? "Lazima kuna kitu si cha kawaida kwa ile familia. Si wana watoto wawili, sasa huyu anayemng'ang'ania ni wa nini kwanza?"

Paulina hakujibu meseji hiyo kwa sababu hakuwa na senti kwenye simu yake. Aliamka na kwenda dukani mwenyewe kwa lengo la kununua vocha pia ni moja ya mazoezi kwani daktari alishauri awe anatembeatembea ili kujimudu vyema siku ya kujifungua ikifika
Njiani alikutana na mama mmoja wa jirani anaitwa mama Pili...
"Haya mwenzetu, za siku?" alisalimia mama Pili…

"Nzuri za kwako?" alijibu Paulina.
"Nzuri tu, naona bado masaa tu mambo yatimie."
"Mwenzangu wee," alijibu Paulina kwa sauti ya kuchoka sana.
"Lakini afadhali mwenzangu, umemuomba Mungu mpaka amekusaidia, siyo kama wale wenzetu wao kazi yao ni kuasili watoto tu," alisema mama Pili…
"Akina nani?"

"Si akina mama Riziki."
"Ha! We! Kwani wale watoto si wao?"
"Aaah! Kwani ulikuwa hujui hilo? Wale watoto wote wawili wamewaasili kwenye vituo vya kulea watoto, Riziki na yule mwenzake, John. Yule mama yeye hana kizazi lakini nasikia alimruhusu mumewe kuzaa nje kama atapata mwanamke wa kumfaa."
"He! Sikuwahi kufikiria kabisa. Kumbe…" alisema Paulina huku akionesha dalili za kukumbuka jambo fulani.

Walipoachana, Paulina aliyarudia madai ya baba Riziki, akagundua kwamba kumbe kusema mimba ni yake ni kwa sababu mkewe hazai.
"Sasa kama aliruhusiwa kuzaa nje kama atampata mwanamke atakayemfaa, ina maana ameniona mimi ndiyo nafaa?" alijiuliza moyoni Paulina huku akisikia uchungu. Alihisi kudhulumiwa mtoto wake hivihivi anaona...

"Haitawezekana, mtoto ni wangu, hata Santo mwenyewe akitaka kuleta mambo yake ya ajabu naweza kumfanyia jambo moja baya sana ambalo hakuwahi kufanyiwa na mtu yeyote yule," alisema moyoni Paulina.

***

"Hodi," mtu alibisha geti kubwa nyumbani kwa Paulina. Ilikuwa sauti ya mwanamke iliyochangamka.
"Karibu, nani?"
"Sisi," ilijibu sauti hiyo.
Paulina alikwenda kufungua getini, mtu aliyesimama mbele yake alikuwa mama Riziki, nyuma yake alifuatiwa na baba Riziki…

"Karibuni sana."
"Tunashukuru sana."
Wawili hao walizama ndani na kukaa kwenye kochi moja kubwa. Paulina alikaa kochi dogo la mtu mmoja. Kwa kuwa alijua mumewe anaweza kurejea muda wowote, Paulina alianza mazungumzo haraka ili waondoke.

"Niwasaidie nini mama Riziki?"
"Tumekuja kuhusu hiyo mimba yako. Mume wangu anasema ni yake, ni kweli?"
"Wewe unaamini?" aliuliza Paulina.
"Naamini ndiyo. Tulichojia hapa ni wewe kuandika hapa kwenye karatasi kwamba mtoto akizaliwa atachukuliwa na baba yake kwa ajili ya malezi."

Paulina aling'aka lakini kabla hajasema mumewe akapiga simu akimwambia amwandalie juisi baridi yuko njiani anakaribia.
Ilibidi Paulina akubaliane na wawili hao, akaomba karatasi lao haraka na kulijaza kwamba anakubali mtoto atakayezaliwa ni wa baba Riziki na kwamba atatakiwa kumchukua mtoto wake kwa ajili ya malezi, akatia saini. Wale wakachukua karatasi hilo na kuondoka nalo kwa ushahidi.
 
Uwiiiii ndoto hii ya dereva bajaji imenishtua khaaaa ila hii mimba sio ya baba riziki
 
JAMANI KWANI LAZIMA?!-16

Kazi ikawa kwa mama Riziki kumfuatilia kwa karibu Paulina ili siku akienda kujifungua wawe wote kama walivyokubaliana kwenye karatasi ya mkataba.

Kwa upande wake, Paulina alikuwa akiwaza jinsi ya kuepuka yale makubaliano. Aliamini kama atalegea anaweza kupoteza hata ndoa itakapobainika kwamba alizini na baba Riziki akampa mimba.
Alijua itakuwa rahisi kwa mumewe kuamini kwamba mimba ile ni ya baba Riziki kutokana na historia yao ya kusaka mtoto.

***

Ilikuwa usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne, Paulina alishikwa na uchungu wa kujifungua. Maumivu ya tumbo yalimjia kwa kiwango cha juu huku akilalamika kwa kupiga makelele.
Mumewe alitoka kwenda kutafuta usafiri. Wakati akifungua milango, baba Riziki ambaye ni jirani alisikia, akatoka kutaka kujua.

"Vipi jirani usiku huu?" baba Riziki aliuliza.
"Shemeji yako bwana, naona saa imefika, nakwenda kumtafutia usafiri."
"Ngoja nimpeleke mimi," alisema baba Riziki huku akimsikilizia mume wa Paulina.
"Nitashukuru sana bwana, ngoja nimtoe."
Baba Riziki alimwamsha mkewe na kumjulisha kwamba Paulina tayari kashikwa na uchungu…
"Sasa?"

"Mume wake alikuwa akitafuta usafiri, nimemwambia nampeleka mimi."
"Afadhali maana utajua hospitali ili tukienda tunamalizana naye mara moja."
Paulina alipofika nje na kukuta usafiri ni wa baba Riziki aligoma kupanda…
"Kwani hakuna magari mengine mume wangu hadi hili?" alihoji.
"Kwani hili lina nini?"
"Basi tu."

"We niambie, lina nini hili?"
"Nimesema basi tu."
"Kama basi tu twende na hilihili la baba Riziki, we vipi bwana?"
Paulina alipanda huku akiwa hana amani ndani ya moyo wake. Alijua anachokifahamu yeye, mumewe hakijui ila baba Riziki.

***

Baba Riziki na mume wa Paulina waliendelea kukaa mapokezi wakisubiri majibu kutoka kwa daktari kuhusu maendeleo ya Paulina kule chumba cha uzazi alikolazwa.
Kila dokta yeyote alipotoka, baba Riziki alikuwa mstari wa mbele kuulizia…
"Vipi dokta, mzazi wetu tayari?"
"Badobado jamani, mtaambiwa."

"Vipi nesi, mzazi wetu ameshajifungua?"
"Bado, subirini kidogo si jambo la mara moja hili. Kuna mama anaweza kuja hapa akajifungua baada ya nusu saa, mwingine hata baada ya siku tatu lakini huyu wa kwenu anakaribia."
Mume wa Paulina alishangaa wema wa baba Riziki kiasi cha kusema moyoni…

"Kumbe ni jirani mwema namna hii, anahangaika kama yeye ndiyo mwenye mke, da!"
Mpaka kunakucha, mambo yalikuwa bilabila, Paulina bado alikuwa kwenye chumba cha kujifungulia.
Moyoni baba Riziki alikuwa akimwonea huruma mume wa Paulina kwani alijua anakwenda kugombana naye muda si mrefu kuhusu mtoto wake. Tena alimshangaa sana mwanaume huyo alipokuwa akisema…

"Da! Mungu mkubwa jirani, maana tumetumia nguvu kubwa sana kutafuta mtoto. Hivi ninavyozungumza na wewe tayari kichwani nimeshapata jina lake, kama atakuwa wa kiume nitamuita Junior, kama wa kike nitamwita Sarah."

"Mimi kama atakuwa wa kiume nitamwita Joel, akiwa wa kike nitamwita Riziki Orijino," alisema baba Riziki, mume wa Paulina akacheka akiamini baba Riziki anazungumzia utani. Ila kilichomshangaza, wakati yeye anacheka, baba Riziki alionekana kuwa siriasi, hacheki wala hatoi tabasamu.

***

Mama Riziki naye alijiandaa nyumbani kwake, akatoka kwenda hospitali akiwa na karatasi la makubaliano ya Paulina kuhusu mtoto.
Alipofika hospitali alimfuata mumewe moja kwa moja wakashikana mikono ili kwenda kuzungumzia mbali…
"Vipi tayari?" aliuliza mama Riziki.
"Bado."

"Oke, yaani hapa akishajifungua tu, tunatoa karatasi mumewe aone kwamba mtoto si wake."
"Ndiyo maana yake."
Kwa mbali alikuwa akija nesi huku ameshika vifaa. Mume wa Paulina, baba Riziki na mama Riziki wote wakamfuata haraka wakiwa wametega masikio kusikia chochote kile…
"Jamani, baba wa mtoto ni nani?"
"Ni mimi hapa…"

"Ni mimi hapa," mume wa Paulina na baba Riziki walisema kwa pamoja….
"Ni huyu hapa," mama Riziki naye alidakia akimwonesha kidole mumewe kwamba ndiye mwenye mtoto yule.

"Sasa wote ni mimi ni mimi, na mlikuja wote. Ni nani hasa mwenye mtoto?"
"Ni mimi," alirudia kusema hivyo baba Riziki wakati mume wa Paulina alisema…
"Huyu anatania tu."

"Mimi sitanii na wala sina utani na huyu bwana," alisema baba Riziki kwa uso mkavu kabisa. Nesi aliamua kusema analotaka hayo mengine watajijua wenyewe nani baba nani si baba…
"Sasa mzazi kajifungua salama salimini lakini mtoto mwenyewe ni wa ajabu, amefanana na chura kwa kila kitu."
 
JAMANI KWANI LAZIMA-17

ILIPOISHIA
"Mimi sitanii na wala sina utani na huyu bwana," alisema baba Riziki kwa uso mkavu kabisa. Nesi aliamua kusema analotaka hayo mengine watajijua wenyewe nani baba nani si baba…
"Sasa mzazi kajifungua salama salimini lakini mtoto mwenyewe ni wa ajabu, amefanana na chura kwa kila kitu."ANZA NAYO SASA…

Mume wa Paulina alianguka chini, baba Riziki na mama Riziki wakakomaa kwamba mtoa habari huyo anawatania na atakuwa amecheza mchezo na Paulina mwenyewe ndani aseme hivyo ili wakate tamaa na kuondoka.

"Sisi hatuamini," alisema mama Riziki.
"Hamuamini nini?""Kama kweli mzazi amejifungua mtoto wa ajabu uliyemsema."
"Kwa hiyo?"

"Tunataka tukamuone."
"Hamuwezi kuruhusiwa kumuona mzazi wala mtoto kwa muda huu. Na taratibu za kidaktari zinafanywa ili kuangalia uwezekano wa kumzika mtoto huyo kwa sababu amezaliwa akiwa ameshapoteza maisha."
"Sisi hatuondoki hapa," alisema baba Riziki.
"Kwani nyie ni akina nani?"

"Mimi ndiyo mwenye mtoto aliyezaliwa na afya njema kabisa na huyu ni mke wangu."
"Khaa! Sasa mbona unadai mtoto ni wako wakati wewe una mkeo, una wake wawili?"
"Hayakuhusu hayo."

Wakati hao wakijibizana hivyo, wahudumu walishafika na kumbeba mume wa Paulina hadi kwenye chumba cha wagonjwa wa dharura kwa ajili ya huduma ya kwanza.
***
Paulina alikuwa hajui nini kimetokea katika uzazi wake. Alikuwa akiuliza mtoto wake anaendeleaje na ni wa jinsia gani!"Jamani nesi naomba kujua mtoto wangu ni wa kike au wa kiume?"
"Tulia, angalia kwanza afya yako."

"Mimi naendelea vizuri, mtoto wangu yuko wapi?"
"Yupo kwenye chumba maalum."
"Wa kike au wa kiume?"

"Wa kike au wa kiume atakuambia daktari mkunga."
Paulina hakujua kama mumewe nje alianguka na baba Riziki na mumewe wako nje wakisubiria mtoto wao kama walivyokubaliana.
***
"Pole sana kaka," yule nesi aliyetoa taarifa za mtoto wa ajabu alimwambia mume wa Paulina baada ya kuzinduka.Kabla ya kujibu, mwanaume huyo aliangalia huku na kule kama mtu anayejishangaa kwa kuwa pale…

"Nashukuru," alisema.
"Unadhani ni kwa nini ulianguka?"
"Taarifa zile.""Pole sana kaka, mambo ya kawaida sana. Mshukuru Mungu mkeo yupo salama ila sijajua wale watu ni akina nani?"

"Wale ni majirani zangu, mi mwenyewe nashangaa sana kwa yale waliyokuwa wakiyasema, nahisi kama wamechanganyikiwa.""Lakini wanaonekana wapo siriasi, wamesema hawaondoki mpaka wamuone mtoto." Baada ya kupata nguvu sana, mume wa Paulina alisimama, akatembea kuelekea nje hadi kwenye sehemu ya kukaa watu ambapo aliwakuta akina baba Riziki wakiendelea kukomaa.
***
"Unaendeleaje mzazi?" daktari wa ukunga alimuuliza Paulina baada ya kufika.
"Mimi najisikia nafuu, ila nataka kujua mtoto wangu anaendeleaje?"
"Sikia, ukiwa kama binadamu inabidi upokee kila kitu kitakachoweza kupenya ndani ya masikio yako. Mtoto uliyemzaa hakuwa riziki, amepoteza maisha."

"Mama weee! Nesi, ungejua ni jinsi gani nimemsumbukia huyo mtoto wala usingeniambia hivyo, namtaka mtoto wangu," alianza kulia Paulina akiwa hajui kama licha ya mtoto kufa lakini pia hakuwa katika umbo la binadamu.

"Ukilia utajizidishia maumivu yasiyokuwa na ulazima. Pia utaathiri afya yako, nyamaza, Mungu atakupa mwingine."Paulina aliendelea kulia huku baadhi ya wazazi wenzake wakimpa pole lakini pia wakimtaka atulie kwa vile kila kitu kinapangwa na Mungu mwenyewe.
***
Mume wa Paulina alikuwa njiani akirudi nyumbani kwake. Akili ilikuwa haiko sawasawa kwani alichanganyikiwa na mambo mawili. Kwanza ni taarifa za kuambiwa mtoto aliyezaliwa ni kama chura. Pili, kumsikia baba Riziki akidai mtoto huyo ni wake…

"Ina maana baba Riziki anatembea na mke wangu?"
"Inawezekana, asingepata ujasiri wa kusema vile."

"Lakini cha ajabu kwangu ataunganaje na mke wake kuyasema maneno yale?"
Moyoni alipania kwamba mkewe atakapotoka atasema yote.
Baada ya kufika nyumbani kwake alimwita msichana wa kazi…
"Dada."
"Abee baba."
"Njoo mara moja."

"Abee baba," msichana wa kazi aliitika akiwa amesimama mbele ya mume wa Paulina.
"Eti unamfahamu baba Riziki?"
"Ndiyo, si huyo mzee hapo nyuma?"
"Amewahi kuingia humu ndani kwangu?"
"Hapana, sijawahi kumuona hata siku moja."
"Kweli?""Kweli baba."

"Haya, sasa sikia, naomba kusema kwamba amenidhalilisha sana hospitali."
"Kwani ulikwenda hospitali?"
"Ndiyo nimetoka huko sasa hivi, tulimpeleka mama."
"Anaumwa kwani? Ila jana usiku baba Riziki aliniambia safari hii lazima ndoa ya mabosi wako ivunjike."
 
Paulina nae mbona kilaza?Anakubalije kusaini?Bora angemsubiri mumewe!
UTAMU UNAENDELEA SAA NGAPI MKUU?
 
JAMANI KWANI LAZIMA-18

ILIPOISHIA
"Haya, sasa sikia, naomba kusema kwamba amenidhalilisha sana hospitali."
"Kwani ulikwenda hospitali?"
"Ndiyo nimetoka huko sasa hivi, tulimpeleka mama."
"Anaumwa kwani? Ila jana usiku baba Riziki aliniambia safari hii lazima ndoa ya mabosi wako ivunjike."
SHUKA NAYO SASA…

Alisemaje?" Alitaka kujua mume wa Paulina.

Msichana wa kazi alirudia…
"Alikuwa na maana gani?"
"Sijui, mi nilimuuliza kwa nini unasema hivyo? Akajibu we subiri tu."
Mume wa Paulina alizidi kuchaganyikiwa. Akajikuta akimwita msichana huyo na kumkalisha karibu yake kabisa…

"Niambie ukweli, mama hajawahi kuleta mwanaume humu ndani?"
"Sijawahi kumwona."
"Kweli?" Aliuliza mume wa Paulina huku akimvutia kwake msichana huyo ambaye kwa umri alishakamata miaka ishirini na tatu. Naye akaelekea huku akisema…

"Kweli tena, mi sikudanganyi, sijawahi kuona labda kama anawaleta wakati mimi sipo."
"Sasa kama ni hivyo kwa nini baba Riziki akakwambia anataka kuvunja ndoa yetu?" Aliuliza mwanaume huyo huku akimlaza msichana wake wa kazi kwenye mapaja yake, naye akaelekea, akalala.
"Mimi sijui baba."

"Itakuwa unajua ila unamfichia siri," alisema mwenye nyumba huyo huku mikono yake sasa ikianza kutalii sehemu mbalimbali za mwili wa msichana huyo ambaye naye alikuwa akirukaruka na kudai anahisi kutekenywa…

"Hamna, kwani mi nakushika sana?"
"Ee…jamani…ooo! Niachie kidogo basi."
"Mbona we muoga sana, una nini kwani?"
"Sina kitu."
"Sasa?"

"Unan'tekenya sasa."
"Kwani kutekenywa ni kuchunwa ngozi?" Alisema mwanaume huyo huku akizidi kumpa wakati mgumu msichana huyo ambaye alikuwa akijipindapinda na kujinyonganyonga.
Mikono ya mume wa Paulina ilifika mahali ikahamia kifuani na kupiga kambi hapo. Hali ikawa mbaya zaidi kwa msichana huyo wa kazi, alilalamika mwishowe akatulia kama aliyepoteza fahamu…
"Wewe," aliita mume wa Paulina lakini msichana huyo aliitika kwa kufumbua macho tu.
"Una nini? Mbona una…"

Msichana hakujibu, aliendelea kulegea kwenye mapaja ya bosi wake. Mume wa Paulina akagundua kuwa alishadata, joto la mwili lilishampanda. Alichotakiwa ni kumhudumia tu.
"Stela," alimwita.
"Mm."
"Pole sana."

Stela hakuitika, alikuwa bado amelala kwenye mapaja hayo. Mume wa Paulina akambeba, akamlaza kwenye sofa. Stela alitulia tu, macho yalikuwa nusu kwa nusu, kafumba kafumbua.
Mume wa Paulina alikwenda kwenye mlango, akaufunga vizuri, akarudi na kumkuta Stela amelala kama amekufa. Akamsaula, Stela akatulia tu.

Naye akajisaula, wakawa kama walivyototolewa kama si kuzaliwa.
Mume wa Paulina hakuwa na sababu ya kumuandaa msichana wake wa kazi, alianzisha mechi papo hapo. Alishangaa kupata ushirikiano wa hali ya juu kutoka kwa hausigeli huyo.
Ilifika mahali, hausigeli akamsukuma mume wa Paulina, yaani akamtoa. Wakati mwanaume huyo anashangaa, alishtuka kumwona msichana huyo anabadili staili na kutumia nyingine…

"Mh!" aligunia moyoni mwanaume huyo lakini akakubaliana na ushirikiano huo.
Sasa Stela alianza kutoa mayowe ya mahaba. Alionekana amekubaliana na ile hali na wala hakuwa na kinyongo nayo. Alikuwa akimshikashika mwanaume huyo sehemu mbalimbali ili kumsaidia uhamasishaji katika mechi hiyo.
Ni katika mapitio hayo, Stela akamtangazia bosi wake kwamba anavunja dafu huku akimng'ang'ania kwa sana na kumbania kwake, akanyoosha miguu!
Alihema kwa kasi Stela akiwa amefumba macho…
"Stela."

"Abee."
"Hongera sana."
"Ya nini?"
"Kumbe upo vizuri, nilikuwa sijui."
"Hata wewe unaweza, nilikuwa sijui."
Mume wa Paulina aliachia tabasamu kwa kitendo cha binti mdogo kama Stela kumwambia hata yeye anaweza alikuwa hajui.

Walikwenda kuoga wote, mume wa Paulina ndiye aliyetaka wakaoge wote, akasikilizwa sawasawa na uhitaji wake.
Wakati wa kuoga sasa, Stela alimmwagia maji mwilini bosi wake, akachukua sabuni na kumpaka mwili mzima, akachukua dodoki la kusugulia, akamsugua sana bosi huyo.

Alifanya hivyo katika kila idara ya mwili, miguuni, mgongoni, kiunoni, yaani kila mahali kisha akammwagia maji mengi ili kumsafisha sasa.
Alipomaliza akachukua taulo, akaanza kumfuta maji kwa kuibandikabandika ile taulo mwilini tofauti na kule kufuta kwingine kwa kukwaruza mwili.

"Hata mke wangu hajawahi kunifanyia hivi. Hakika huyu binti anajua mambo," mume wa Paulina alisema moyoni huku akitoa ushirikiano kwa kuweka wazi sehemu zilizotakiwa kupitiwa na taulo hilo.
Mpaka hapo, yeye Stela alikuwa hajaoga. Alisema anahakikisha anamwogesha kwanza bosi wake ndipo na yeye afuate.
"Baba," aliita Stela.
"Sema."

"Nikwambie kitu?"
"Niambie Stela, tena haraka sana."
 
Paulina nae mbona kilaza?Anakubalije kusaini?Bora angemsubiri mumewe!
UTAMU UNAENDELEA SAA NGAPI MKUU?
 
JAMANI KWANI LAZIMA?!-19

ILIPOISHIA
"Hata mke wangu hajawahi kunifanyia hivi. Hakika huyu binti anajua mambo," mume wa Paulina alisema moyoni huku akitoa ushirikiano kwa kuweka wazi sehemu zilizotakiwa kupitiwa na taulo hilo.
Mpaka hapo, yeye Stela alikuwa hajaoga. Alisema anahakikisha anamwogesha kwanza bosi wake ndipo na yeye afuate.
"Baba," aliita Stela.
"Sema."

"Nikwambie kitu?"
"Niambie Stela, tena haraka sana."
SHUKA NAYO MWENYEWE…

"Mimi nataka kuishi na wewe kama mume wangu."
Mume wa Paulina aliishiwa nguvu kabisa. Yeye alijua Stela anataka kumwambia jambo la siri kuhusu mkewe, Paulina…

"Sasa Stela nitaishije na wewe wakati unajua nina mke?"
"Unamwamini mke wako?"
"Kuhusu nini?"
"Uaminifu?"

"Jamani, si nimekuuliza hapa kuna mwanaume amewahi kufika hapa mimi nikiwa sipo? Ukasema hakuna! Nikakuuliza tena je baba Riziki amewahi kuja hapa ndani kwangu ukasema hujawahi kumwona, sasa?"
"Ngoja nikwambie ukweli."
"Niambie."

"Mimi mama amewahi kuniambia kwamba ametembea na wanaume watatu mbali na wewe ili apate mimba, sasa sijui huenda na huyo baba Riziki ni mmoja wao."
"Unasema kweli Stela?"
"Kweli baba."

"Ina maana inawezekana kweli baba Riziki pale alikuwa na haki ya msingi. Ngoja, nitajua tu. Sasa Stela nitaongea na wewe baadaye," alisema mume wa Paulina huku akiondoka eneo hilo.
"Kwa nini usiongee sasa hivi, unajua kama mama akirudi itakuwa vigumu kuzungumza na wewe?" Stela alimwambia bosi wake.

"Ugumu utoke wapi, mimi nikitaka kuzungumza na wewe siyo lazima iwe hapa nyumbani, naweza kukuambia unifuate sehemu yoyote nitakapokuwa, sawa mpenzi wangu?" Mume wa Paulina alimwambia Stela.

Kauli hiyo ilimfurahisha sana Stela ambaye alisema sawa na kuachia bonge la tabasamu.
Wawili hao walikumbatiana na kupigana mabusu kadhaa, mume wa Paulina alimuaga Stela kwamba anakwenda sehemu asingechelewa kurudi.
***
Baada ya nusu saa, mume wa Paulina alikuwa akiingia hospitalini alipo Paulina mkewe. Alikuwa ameingizwa kwenye wadi ya kawaida sasa. Hakumkuta baba Riziki wala mkewe…
"Za saa hizi?"
"Nzuri tu za nyumbani?"

"Njema."
"Hajambo Stela?"
"Hajambo. Hivi, baba Riziki ni nani kwako Paulina?"
Swali hilo kwa Paulina lilikuwa kubwa sana na lenye mshtuko.
"Kwani umeona nini mume wangu?"

"Nimeona nini? Wanasema walikuja kumsubiri mtoto wao."
"Nani?"
"Kwani tunamzungumzia nani?"
"Si umesema baba Riziki!"
"Huyohuyo."

"Sasa mbona unasema walikuja kudai mtoto wao?"
"Alikuja yeye na mke wake. Mimi usiniyumbishe, twende kwenye hoja ya msingi bwana."
"Mimi sijui jamani!"
"Hujui wakati mtu ulitembea naye ili akupe mimba?! Kumbe mimba si yangu, kwaheri," alisema kwa hasira mume wa Paulina na kuondoka zake.
"Mh!" Aliguna Paulina baada ya kuachwa…

"Hili ni bomu lingine. Nani atakuwa amemwambia? Au ni baba Riziki mwenyewe! Lakini na yeye atakuwa mwanaume wa ajabu sana, kwa nini amwambie? Kwani hakujua kama ni hatari kwa ndoa yangu?"
***
Mume wa Paulina alipofika nyumbani alimwita Stela chumbani…
"Abee baba."

"Nataka unizalie mtoto lakini kwa siri sana, nitakulipa pesa."
"Kivipi sasa?"
"Nitakupa mimba mimi halafu unasingizia ni ya yule muuza genge uliyekuwa ukimshikashika siku ile ya mvua mpaka nikakufokea."
"Halafu?"

"Halafu nini, si itajulikana ni mimba yake lakini kumbe ni yangu."
"Utanipa shilingi ngapi?"
"Wewe unataka shilingi ngapi?"
"Elfu themanini!"

Ilibidi mume wa Paulina acheke kwanza. Yeye aliamini Stela angeomba shilingi laki tano au milioni…
"Mbona unacheka sasa au ulikuwa unan'tania?"
"Hapana. Mimi nitakupa laki tano Stela lakini iwe siri ya mimi na wewe tu. Sawa?"
"Sawa."
***
Saa kumi jioni, Paulina alirudi nyumbani hapo kwa kutumia usafiri wa teksi. Moyo haukuwa na amani. Aliamini mambo yake yameharibika tayari. Hakuna ndoa wala uhai mbeleni.
Alimkuta mumewe amekaa sebuleni kwa mkao wa kukata tamaa…
"Za saa hizi?"
"Nzuri."

Paulina alipitiliza hadi chumbani, akaenda kuoga kisha akapanda kitandani kulala kwani bado hakuwa vizuri kiafya.
***
Saa nne usiku, mumewe naye alikwenda kupanda kitandani na kulala usingizi mzito bila kumuuliza kitu mkewe.
***
Saa nane usiku, Paulina alishtuka kutoka usingizini na kuanza kuwaza jinsi ya kukabiliana na madai ya mume wake.

Alitamani kumwamsha mumewe ili wazungumzie suala la baba Riziki ili lifikie mwisho kwa kusema ukweli wote akiamini ataweza kusamehewa na maisha yakaendelea kama zamani japokuwa dhamira ilikuwa ikimuuma sana…
"Mume wangu," aliita Paulina.
 
JAMANI KWANI LAZIMA?-20

ILIPOISHIA
Alitamani kumwamsha mumewe ili wazungumzie suala la baba Riziki ili lifikie mwisho kwa kusema ukweli wote akiamini ataweza kusamehewa na maisha yakaendelea kama zamani japokuwa dhamira ilikuwa ikimuuma sana…
"Mume wangu," aliita Paulina.
TAMBAA NAYO SASA…


Nini?"
"Mh!" aliguna Paulina baada ya kumsikia mumewe ameguna, hakutegemea.
"Sasa kuitika nini ndiyo nini?"
"We sema unachotaka kusema."
"Nilitaka tulijadili suala la baba Riziki na mama Riziki."
"Kuhusu nini?"

"Yaliyotokea."
"Sikia, kuhusu yaliyotokea siwezi kusema lolote na siwezi kuacha usingizi wangu kwa sababu hiyo," alisema mume huyo na kugeukia upande wa pili kuashiria kwamba anataka kulala.
"Sasa lakini…"
"Nimesema sitaki kusikia."
"Oke."

***

Kuanzia siku hiyo, mume wa Paulina aliamua kuishi maisha yake bila kumshirikisha mkewe. Alipokuwa akiamka aliwasiliana na msichana wa kazi…
"Dada, niwekee maji ya kuoga."
"Sawa baba."
"Sasa nisafishie viatu vyangu."
"Sawa baba."

"Dada nakwenda kazini tutaonana baadaye."
"Kazi njema baba."
Hata pale ilipotokea mkewe yupo, ameamka, mumewe alidili na msichana wa kazi tu kwa kila kitu.
Paulina aliamua kutumia tabia hiyo ya mumewe na yeye kuamua kufanya yake tu. Alikuwa akiamka na kuondoka bila kuaga mumewe hakujali. Tena alipofanya hivyo, mumewe akawa anamwingiza msichana wa kazi chumbani na kulala naye.

***

"
We Stela, hebu kaa hapo," alisema siku moja Paulina. Stela akakaa…
"We una ukaribu gani na mume wangu?"
"Wa kawaida tu."
"Umenielewa lakini?"
"Nimekuelewa sana."

"Kwa nini kila kitu anakuambiaga wewe tu?"
"Mimi nitajuaje mama?"
"Hakuna siku amekuomba mfanye mapenzi?"
"Ha! Sasa huko mama mbona umeenda mbali sana, kwani unawaza mimi naweza kutembea na mume wako?"

"Nijibu nilivyokuuliza Stela."
"Hakuna."
"Una uhakika?"
"Ndiyo maana nimekwambia hakuna."
"Oke, kaendelee na kazi zako."

Wakati Stela anaondoka kwenda kuendelea na kazi zake, mumewe akaingia muda huohuo…
"Karibu baba, pole na kazi," Stela alisalimia mbele ya Paulina…
"Asante, nimepoa. Za hapa?"
"Za hapa njema tu."

Mwanaume huyo alipita moja kwa moja hadi chumbani, akakaa kitandani. Mara meseji ikaingia kwenye simu yake…
"Baba nahisi nimenasa mimba, nasikia kichefuchefu ile mbaya."
"Safi sana," alijibu mume wa Paulina, akaendelea…
"Kesho twende tukapime, nimependa sana hiyo."

***

Ilikuwa asubuhi ya saa moja, Paulina alitoka chumbani na kulala kwenye sofa. Mara, Stela akapita kwa kasi huku akiwa amejishika tumbo…
Paulina alishtuka kumwona vile akamfuata anakokwenda. Alimkuta anatapika kwenye karo…
"Stela," aliita…
"Bee…aaaghaagh!" Stela aliitika na kutapika…
"Una nini?"

"Nasikia kichefuchefu na kutapika!"
"Mh! Una mimba Stela?"
"Sijui mama."
"Hujui?"
"Sijui."

"Mara ya mwisho kuona siku zako ni lini?"
"Mwezi uliopita."
"Please, kaoge uvae twende hospitali sasa hivi, na kama una mimba utanitajia huyo aliyekupa mimba."
Stela alikwenda kuoga kwa kusimamiwa na Paulina, alipomaliza akajiandaa, wakatoka bila Paulina kuoga. Alivaa gauni moja refu basi.
Walipotoka, mume wa Paulina bado alikuwa amelala. Hakujua lililokuwa likiendelea.
Njiani, Stela alitumia akili, akafuta meseji zote za yeye kwenda kwa mume wa Paulina na za mwanaume huyo kwenda kwake.

Walikuta hospitali wagonjwa wamejaa. Paulina aliongea na mhudumu mmoja ambapo alimsaidia kupata kipimo cha mimba kwa haraka.
Majibu yalitoka, Stela alikuwa ana mimba ya mwezi mmoja na siku kumi na tano…
"Stela," alikuja juu Paulina…
"Abee mama."

"Mimba ya nani?" Paulina aliuliza hapohapo mbele ya daktari aliyetoa majibu…
"Mama, hayo maswali ni vyema na haki kama mtakwenda kuuliziana mbele kwa mbele, nyumbani kwenu huko."

"Twende, lakini lazima uniambie hiyo mimba ni ya nani."
Njiani, Paulina alikuwa akitembea kwa mwendo wa kuweweseka ile mbaya. Presha ilimpanda, kiu ya kutaka kujua mimba ni ya nani ilimtawala…
"Stela," aliuliza wakiwa kituoni…
"Abee mama."
"Mimba ya nani?"
 
Daaaah!!! Paulina kagawa papuchi kwa vidume vinne lkn kazaa chura mfu!!!!! Ila ni uzembe kukubali kusaini yale makubaliano na baba riziki
 
JAMANI KWANI LAZIMA-21

ILIPOISHIA
Njiani, Paulina alikuwa akitembea kwa mwendo wa kuweweseka ile mbaya. Presha ilimpanda, kiu ya kutaka kujua mimba ni ya nani ilimtawala…
"Stela," aliuliza wakiwa kituoni…
"Abee baba."
"Mimba ya nani?"
SASA JIACHIE…

"Mama ya mtu mmoja hivi."
"Mtu mmoja nani, hana jina?"
"Analo."
"Nani sasa?"
"Mi nashindwa kumtaja."

Paulina wasiwasi ulimzidi. Aliamini mimba ya Stela inaweza kuwa ya mumewe kama kulipa kisasi kwa alichokifanya yeye, ikabidi awe mpole sasa…
"Stela," aliita bila kuchachamaa…
"Abee."

"Mimba ya nani? Ya mume wangu?"
"Hapana."
"Nani sasa?"
"Muuza genge."
"Yule Hussein mapensi?"
"Ndiyo."

"Hee! We Stela, yule atakupa nini wewe. Mbona unajiingiza kwenye matatizo yasiyokuwa ya lazima ndugu yangu? Pale alipo mwenyewe anahitaji msaada, wewe atakusaidia nini?"
"Alisema atanitunza."
"Mh! Haya, shauri zako. Mi kwangu hutakaa, umwambie aje akuchukue au la sivyo mi n'takupeleka hadi gengeni kwake."

"Nitakwenda mwenyewe," alijibu Stela kwa sauti iliyojaa wasiwasi, alijua akipelekwa Hussein atamchomolea nje kwani ni kweli mimba si yake na wala hawajawahi kukutana kimwili.
***
Mume wa Paulina alishaamka sasa, alikuwa amekaa sebuleni kwa muda mrefu bila kufanya chochote baada ya kubaini kuwa ndani ya nyumba yake hakukuwa na mtu zaidi ya yeye peke yake.
Akili nyingine zilimwambia mkewe na Stela walitoroka baada ya soo la mkewe huyo lakini kila alipotupia macho kwenye makabati ya nguo aliondoa wazo hilo…

"Sasa watakuwa wamekwenda wapi wote wawili? Naweza kusema kisimani lakini mbona maji yanatoka ndani? Sokoni? Hapana, hawawezi kwenda sokoni wote wawili, wameanza lini hii tabia?"
Mara, Paulina alizama ndani akiwa na Stela…

"Baby, huyu binti ana mimba. Alikuwa anatapika nikampeleka hospitali," alisema Paulina.
Mumewe hakuonekana kushtuka kama alivyotarajia yeye…
"Kwa hiyo?" aliuliza.

"Nimembana amesema ni ya Hussein Mapensi, mi nadhani nimpeleke kwa huyo Hussein."
"Ndiyo nani?"
"Si yule kijana muuza genge."
"Sasa unapompeleka anajiweza au unampeleka kwenye mzigo juu ya mzigo?"
"Sasa hapa atatunzwa na nani? Mi siwezi kutunza mimba ya mtu mwingine."
"Kwani mimba inatunzwa na mtu mwingine zaidi ya mwenyewe, si anapokea mshahara atakuwa anajitunza mwenyewe."

"Akiumwa je?"
"Akiwa hana mimba hajawahi kuumwa?"
Kifupi kona zote, Paulina alibanwa. Ikafika mahali akawa hana la kusema. Wakati wote huo, Stela alikuwa akisikilizia tu huku akisema moyoni…
"Pambana na mwenye mimba sasa, we si unajifanya kijike!"

"Oke, lakini Stela uhakikishe unafanya kazi zako kama huna mimba, sitaki kukuona una lalalala hapa kwangu?"
Kwa sauti Stela alijibu…
"Sawa dada."
Lakini moyoni alisema…

"Kwanza we mwenyewe unatakiwa kutoka humu ndani, umeuza silaha kwa baba Riziki."
***
Siku hiyo, Paulina alikwenda kwenye shughuli zake za kila siku…
"Stela," aliita mume wa Paulina…
"Abee."

Stela alifika, akajitupa kukaa jirani na bosi wake huyo kwani tangu ametoka kupima, haijawahi kupatikana nafasi ya wao kuwa wawili tu kama siku hiyo…
"Vipi,mtoto wangu tumboni hajambo?" aliuliza mwanaume huyo huku akipeleka mkono kwenye tumbo la Stela…
"Mzima sana, amekumisi tu."

"Mwambie mimi nipo, hofu kwake."
Stela alicheka na kujikuta akiangukia kwenye mapaja ya bosi wake…
"Aaah! Unanipa nanihi bwana," alilalamika kiaina mume wa Paulina.
"Nakupa nini?"
"We unajua."
"Mimi sijui."

"Hujui eee? Hujui siyo?" mume wa Paulina alisema huku akimtekenyatekenya Stela sehemu mbalimbali za mwili…
"Aa! Hoo! Ossh! Bwana!" alisema Stela akiwa ameshalainika kila sehemu ya mwili wake.
Palepale sebuleni, Stela akapinduliwa pindu! Mchezo ukachezwa kama mechi ya mchangani!
Kwa mapozi mbalimbali na staili za kumwaga, walijikuta wamefika kwenye kichumba cha kulia chakula lakini si kila mmoja kivyake bali wote kwa pamoja ambako Stela alitangazia hali ya hatari huko na kumaliza mchezo kwa siku hiyo.
***
Paulina alirudi nusu saa baadaye na kukuta sebule changuchangu, hakuna kitu kilichokaa kwa mpangilio wakati si kawaida ya nyumba yake hiyo…

"Stela," aliita.
"Abee."
"Baba alitoka leo?"
"Hajatoka."

ITAENDELEA ASUBUHI...................
 
Back
Top Bottom