MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,250
- 14,221
Baada ya kutembea na huyu mwanamke kwa muda sasa, leo ananifungukia hivi:
"Kabla sijaolewa nilitamani sana ndoa. Ila sijui kwanini baada ya kuingia kwenye ndoa, ndio anatokea mwanaume mwengine ambae ananipenda zaidi kuliko mume wangu.
Najiuliza kwanini sikumuona huyu mwanaume siku zote? Malcolm, ulikua wapi siku zote..?"