Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Usituchanganyie lugha hapa.!
Yaani wewe maxi. Kama ni paka
Basi lazima utakuwa wale vimburu wa mtaani. Na kama ni mboga basi ni maharage! Ukila lazima uchafue hali ya hewa! Unaruka ruka! Kama umegusa umeme! Jibu maswali yangu!

Watu kama MaxShimba wamezoea ubishi kwakua ndio asili yake na sio kujenga hoja!

Kwahivo ukitaka kubishana nae huyu kwanza inabidi umeze dawa "pain killer" ili kichwa kisije kuuma!
 
Last edited by a moderator:
Nifanyaje,

Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.

Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this

Nilikuambia uache bangi husikiii
 
Hebu tusaidie maana ya " muokozi wa maisha "
Hapa anachokiokoa ni nini!?!
Nauliza tu! Usintukane

anaokoa Roho yake maana ninachoona pale anapambana na vita ya kiroho ambayo si ya damu na nyama, Kwa hiyo kama anamwamini Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yake avae siraha ambazo zimeolrodheshwa katika waefeso 6:10....
 
Hivi kahtaan ,unapodai kuwa watu wanamsemea Mungu mambo ambayo hawana haki ya kumsemea
'
Hapa unakua unamzungumzia Mungu yupi?
'
According to me,kama nitazungumza mabaya kuhusu mungu Allah au Isa,you Muslim mna haki ya kuni hoji
'
Kama nitamzungumzia Yehova au Yesu,nyie Waislam hamna haki ya kunihoji kwa kuwa,Yehova au Yesu has nothing to do with Islam or Muslims
'
Weka akilini kuwa,Yesu sio Isa wala Allah sio Yehova!

maana Yehova ana watu wake amewaumba na sisi Waislaam tuna Mungu wetu ametuumba !?
Tatizo lenu wagalatia huleta mada huku mkiwa na dozeni za viroba kichwani !
Naona Mgalatia Maxishimba kakimbia jukwaa la dini. kaja kufanya fujo huku !
 
Last edited by a moderator:
Noana wee Katani ni kipofu. Peleka fujo zako Msikitini, sio hapa kwa wenye akili. Mada tunaifuatilia, na unacho fanya wewe ni KUBWABWAJA TU.

Yaani huu ujinga wa Maxi shimba ndo umeona kitu cha maana cha kufuatilia ?
Si ajabu akili zenu ziko sawa, umesoma na mpaka una Masters lakini unaenda nunua picha ya mungu duka la stationery kisha unaitundika sebuleni !
useless creatures !

'Hakika wakosefu (makafiri) wamo katika upotofu na wazimu.
Q:Al Qamaar: 47
 
Hivi kahtaan ,unapodai kuwa watu wanamsemea Mungu mambo ambayo hawana haki ya kumsemea
'
Hapa unakua unamzungumzia Mungu yupi?
'
According to me,kama nitazungumza mabaya kuhusu mungu Allah au Isa,you Muslim mna haki ya kuni hoji
'
Kama nitamzungumzia Yehova au Yesu,nyie Waislam hamna haki ya kunihoji kwa kuwa,Yehova au Yesu has nothing to do with Islam or Muslims
'
Weka akilini kuwa,Yesu sio Isa wala Allah sio Yehova!

Sasa hapa ndio tunapopata matatizo ktkt kueleweshana; Na huku kuzunguka zunguka, mwisho hatuwezi kufika, labda nirudie tena, mara hii nifanye kwa kirefu!

Yesu ni jina ambalo asili yake ni kiyahudi ambalo sio la Kiswahili,
Issa ni jina ambalo asili yake ni kiarabu ambalo sio la Kiswahili,
Yehova ni jina ambalo asili yake ni kiyahudi ambalo sio la Kiswahili,
Allah ni jina ambalo asili yake ni kiarabu ambalo sio la Kiswahili,

SASA NDUGU ZANGU KWA SABABU LUGHA YETU YA KISWAHILI INA TABIA YA KUKOPI MAJINA YA WATU,
Tuangalie Haya majina kwa lugha ambazo hazipendi kuiga! ambayo wengi wetu tunaifahamu" ambayo ni "KIINGEREZA"

YESU in English is JESUS!
ISSA in English is JESUS!
YEHOVA in English is GOD!
ALLAH in English is GOD!,

Na tafasiri zoote hizi utazipata kwenye English dictionaries na encyclopaedia takriban zoote za ulimwenguni zikiwamo za kikristo.

sasa haya masuala ya kuchezesha lugha ni namna ya kukataa kuelewa pasina kuwa na sababu za kimsingi!
Kwa hiyo ndugu mpendwa leo ukiniambia Uunamkubali YESU lakini humtambui ISSA! au unamuabudu YEHOVA lakini ALLAH humtambui,
Hapo ni mawili tu,
Aidha lugha ilikuwa haiku wazi kwako! au Unafanya kusudi,
Na katika haki ndugu, unapoona haki iko wazi, basi mwerevu hukubali, kwa sababu ukipata faida wewe, mimi sintoongezekewa na chochote.
Naomba unifahamishe kama unapingana na hizi tafsiri za majina na unipe ushahidi wako,
asante sana.
 
kahtaan ,
Kwanza nianze na hiyo link niliyokuwekea,sio kweli kama unavyodai kuwa wameweka picha za uchi,na sio kweli kuwa wanakashifu Uislam
'
Sijui wewe unaelewa nini kuhusu neno kashfa,mmiliki wa hiyo site ameweka wazi agument zake na yeyote anayeweza ku-debate nae ukiwemo wewe unakaribishwa
'
Anachokisema ni ukweli kuhusu Uislam na ameweka ushahidi wazi,sasa sijui wewe huoni au vipi
'
Kwenye the god au Allah ni small g kwa kuwa hiyo ilikua ni title ya sanamu aliyekuwa anajulikana kama Hubal aliekuwa anaabudiwa arabia pamoja na sanamu zingine 360,Allah au Hubal akiwa mungu mkuu
'
Hivyo al illah iliyozaa allah ilikua title ya Hubal!

@eiyar kwanza naomba nikiuleze kuwa mpaka sasa hatuko vibaya baina yangu mimi na wewe, ila tu kama nilivyo himiza mwanzo kama tutakaa mbali na kashfa na matusi, tutafika mbali! na ndio ustaarabu,

Tukirudi kwenye suala la tafsiri ya maneno au majina, kuna vitabu vinaitwa "kamusi" kwa Kiswahili na "dictionaries" kwa kiingereza.
hii vitabu vinakubalika ktkt ulimwengu wa tafasiri kwa sababu, katika kuviandika, hushirikishwa wasomi wa Nyanja mbalimbali, ambao kwa PAMOJA hupitisha zile tafsiri kuwa ni SAHIHI na NI HIZO TU!,
zinafaa kutumiwa kwenye masuala HATA YA SHERIA!

Hizo tafsiri ulizotoa hapo juu, Je! unaweza kutusaidia, UMEZIPATA KWENYE KAMUSI IPI?? AU DICTIONARY IPI?? AMBAYO INAKUBALIKA KISHERIA??

Kila mtu anauwezo wa kutoa tafsiri anavyotaka yeye, lakini bila kuwa na muongozo, tutakuta tunatoa tafsiri ambazo tunataka sisi,

Nakusubiri ndugu yangu.
 
Thanx saana max.am christian i would like to know about the sabath
Max is very busy, lying to others, I thought this might open your mind!
Kill People for Working on the Sabbath The LORD then gave these further instructions to Moses: 'Tell the people of Israel to keep my Sabbath day, for the Sabbath is a sign of the covenant between me and you forever. It helps you to remember that I am the LORD, who makes you holy. Yes, keep the Sabbath day, for it is holy. Anyone who desecrates it must die; anyone who works on that day will be cut off from the community. Work six days only, but the seventh day must be a day of total rest. I repeat: Because the LORD considers it a holy day, anyone who works on the Sabbath must be put to death.' (Exodus 31:12-15 NLT)
 
Unakunywa dawa kabla ya kuumwa, Wewe naona unakomit suicide.

Acheni kulialia kama samaki, leti hoja. Mmeshikwa pabaya sasa hamna pa kutokea.

Max wape vidonge vyao hawa vijana wa Macca

Wewe endelea kula vumbi tu, hiyo ndio kazi yako!
 
kahtaan ,inaonekana either hujui unachoongea au unajaribu kuudanganya umma wa wana JF
'
Wacha nikupe shule kidogo
'
Kwanza tambua Mungu sio jina ni sifa,chochote kinachoabudiwa hupewa sifa au huitwa Mungu
'
Jamii zote zilikua na miungu yao na hiyo miungu ilikuwa na majina na yalikua na maana yake,lakini alikuwepo Mungu wa kweli ambae nae alikua na jina lake na lina maana yake
'
Chochote kilichoabudiwa au kinachoabudiwa huitwa Mungu
'
Mfano,kama kuna watu manaabudu jiwe,jiwe lile huitwa mungu
'
Sasa umeniacha hoi kwa kuniambia eti Yehova kwa kiingerera ni Mungu,tatizo hujui,ni kwamba Yehova ana sifa ya Uungu kwa kuwa anaabudiwa
'
Maana ya Yehova ni NIKO AMBAE NIKO,Yehova kwa kiingerera ni Jehova
'
Kama kuna kamusi au encyclopedia yoyote inayosema Yehova kwa kiingereza ni God,hiyo kamusi inatakiwa IFUTWE
'
Yesu kwa kiingereza ni Jesus sawa,lakini ni jambo la ajabu kudai Isa ni Jesus
'
Jina Yesu limetokana na jina hilo la Yesu kwa kiarabu ambalo ni Yashu,na Yashu imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua.Jesus kwa upande wa kiingereza limetokana jina la Yesu kwa Kigiriki ambalo ni Ihesus,Ihesus imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua
'
Isa is something different,ni jina la kiarabu ambalo halina tafsiri yoyote,as well as Allah
'
Allah anapewa sifa ya uungu kwa kuwa anaabudiwa,lakini sio kwa kuwa anaabudiwa basi ataitwa Yehova,hii ni sawa na useme kwakuwa ng'ombe anabudiwa basi anaitwa Allah
'
Ng'ombe anaweza kuitwa mungu lakini hawezi kuitwa Allah kwa kuwa Allah ni jina la mungu wa Wakuresh!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,inaonekana either hujui unachoongea au unajaribu kuudanganya umma wa wana JF
'
Wacha nikupe shule kidogo
'
Kwanza tambua Mungu sio jina ni sifa,chochote kinachoabudiwa hupewa sifa au huitwa Mungu
'
Jamii zote zilikua na miungu yao na hiyo miungu ilikuwa na majina na yalikua na maana yake,lakini alikuwepo Mungu wa kweli ambae nae alikua na jina lake na lina maana yake
'
Chochote kilichoabudiwa au kinachoabudiwa huitwa Mungu
'
Mfano,kama kuna watu manaabudu jiwe,jiwe lile huitwa mungu
'
Sasa umeniacha hoi kwa kuniambia eti Yehova kwa kiingerera ni Mungu,tatizo hujui,ni kwamba Yehova ana sifa ya Uungu kwa kuwa anaabudiwa
'
Maana ya Yehova ni NIKO AMBAE NIKO,Yehova kwa kiingerera ni Jehova
'
Kama kuna kamusi au encyclopedia yoyote inayosema Yehova kwa kiingereza ni God,hiyo kamusi inatakiwa IFUTWE
'
Yesu kwa kiingereza ni Jesus sawa,lakini ni jambo la ajabu kudai Isa ni Jesus
'
Jina Yesu limetokana na jina hilo la Yesu kwa kiarabu ambalo ni Yashu,na Yashu imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua.Jesus kwa upande wa kiingereza limetokana jina la Yesu kwa Kigiriki ambalo ni Ihesus,Ihesus imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua
'
Isa is something different,ni jina la kiarabu ambalo halina tafsiri yoyote,as well as Allah
'
Allah anapewa sifa ya uungu kwa kuwa anaabudiwa,lakini sio kwa kuwa anaabudiwa basi ataitwa Yehova,hii ni sawa na useme kwakuwa ng'ombe anabudiwa basi anaitwa Allah
'
Ng'ombe anaweza kuitwa mungu lakini hawezi kuitwa Allah kwa kuwa Allah ni jina la mungu wa Wakuresh!

Nashkuru kwa darasa;
lakini hapa mwenzangu unasahau kanuni mojo muhimu katika malumbano ya hoja.
Nayo ni :
Kutokutoa maoni kwa kutumia fikra binafsi;
Au kwa lugha nyepesi.
Huwezi kutoa maoni yako kichwani kama ushahidi:
Sasa basi. Hebu tuwaulize wataalamu wa lugha!.
Je Neno "Allah" ni Mungu Mkuu. Au ni mungu wa waarabu tu??

Tuanze na encyclopedia:

Allah-(English-pronunciation:-/ˈælə/-or-/ˈɑːlə/;Arabic:-الله‎-Allāh,-IPA:-[ʔalˤˈlˤɑːh]-(-listen)-is theArabic-word for-God-(literally 'the God', as the initial "Al-" is the definite article).[1][2][3]-It is used mainly by-Muslims-to refer to-God in Islam,[4]Arab Christians, and often, albeit not exclusively, byBahá'ís,-Arabic-speakers, Indonesian, Malaysian and-Maltese-Christians, and-Mizrahi Jews.[5][6][7]

Hapa tunaona kuwa. Neno Allah halitumiwi na waislamu peke yao kwa kumwita Mungu isipokuwa

HATA WAARABU AMBAO NI WAKRISTO. WANAITA MUNGU WAO "ALLAH".

Ukitaka ushahidi zaidi nenda katika arabic bible utazame ! Je ! Jina Allah linatumika??

Sasa kama wakristo kama wewe wanatumia jina "Allah" kwa maana ya Mungu. Leo vipi ukatae na kusema "Allah" ni Mungu wa waislamu peke yao??!
Nakupa mfano mwingine ndani ya bible!

Imeelezwa kutoka Gospel of Mathew Ch. No. 27, Verse No. 46, Na pia ktk Gospel of Mark, Ch. No. 15, V.No.34 -

Alipo wekwa msalabani ; Akalia! Akasema! "‘Elai Elai Lama Sabac thani’- kwa maana ya kuwa " oh God, Oh God, why have thou forsaken me.

Ukitafasiri … ‘Elai Elai Lama Sabactani’ kwa Arabic… ni ‘Allah Allah Lama Sabachtani’. Does it sound similar? -

Yes! Why? - Sister languages. it does not sound similar to Yahweh at all.

Sasa sijui baina yako Eiyer na hao wakristo wa ghuba ya uarabuni wakiwemo wakristo wa kiyahudi.

Je! Ni nani mwenye haki zaidi ya kuchagua namna ya kumuita Mungu wao.
Na kwa taarifa yako. Hakuna mwarabu yoyote mkiristo. Akamuita mungu Yehova!

Sijui una cha kuongezea hapo kabla hatuja funga mjadala huu??

Wa kuwa Allah kwa kiswahili "Mungu Mkuu! "Na kiingereza ni "God"
 
Last edited by a moderator:
Achana na hayo mawazo duni, utapoteza fedha na mali zako kwa kuamini ushirikina, sie tungekushauri labda uende ukawaone madaktari wa magonjwa ya kisaikolojia tu......
 
kahtaan ,unaendelea kuushangaza umati hapa
'
I don't give a damn what that ancyclopedia or anything or anyone saying
'
Nina ubongo wangu,ninaweza kufikiri sawasawa bila kutegemea akili za mtu
'
Walioandika hiyo quote yako ni wehu,nasema hivyo kwa kuwa,mtafiti yoyote wa masuala haya hata kidogo tu anatua Allah does not mean god labda uchambue maneno yaliyotengeneza neno hilo,lakini ukilichukua kama liliyo halina tafsiri yoyote
'
Dk Zakir Naik aliwahi kusema Allah is a unic name,halina tafsiri ya lugha nyingine,sasa unaposema Allah ni god utakuwa unaleta mpya
'
Kama kuna Wakristo wanamuita Mungu Allah hao ni wajinga,hawajui wanachokifanya wala hawaujui Ukristo
'
Eli au Eloi au Elai haina maana ya Allah,atakaesema hivyo hajui au ni mwongo au vyote viwili,wanaojua wanajua kabisa Eli ni neno linamaanisha Mungu kwa kiebrania na kwa kiarabu ni ilah
'
Hivyo kudai Elai Elai lama sabaktani ni Allah,Allah lama sabaktan ni wehu,uongo na zaidi sana ujinga
'
Hapo kama ni uwakilishi wa Mungu kwa kiarabu hapo itakuwa Ilah,Ilah lama sabaktani
'
Sio kila unachoona kwenye kamusi au encyclopedia ni ukweli
'
Kijana fanya tafiti!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,inaonekana wewe ndio hujui biblia na ni mwongo
'
Marko 16:15-18,Yesu anasema, Enendeni ulimwenguni mkaihubiri kwa kila kiumbe,aaminiye na kubatizwa ataokoka,asieamini atahukumiwa,na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio,KWA JINA LANGU WATATOA PEPO,watashika nyoka,hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa,WATAWEKA MIKONO YAO JUU YA WAGONJWA NAO WATAPATA AFYA(zingatia nilipoweka herufi kubwa)
'
Hayo ndio mamlaka aliyonayo MaxShimba ,mimi na yeyote amuaminie na kumkiri Yesu Kristo,Mungu mkuu!
'
Soma uelewe na Yesu akuokoe!
Nawewe mbona unajifunga mwenyewe na hilo andiko ulilo toa? Andiko linasema "KWA JINA LANGU WATATOA MAPEPO" wakati kazi ya huyo nabii wa uwongo (MAX) yeye hatumii jina la YESU (kama andiko linavyo sema) bali yeye anatumia DAMU YA YESU ktk kutoa mapepo. Ukiangalia hapo utakuta kuna tofauti kubwa kati ya amri ya yesu na matibabu ya huyu nabii wa uwongo. (samahani kwa kuingilia mjadala)
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,
Huyo yesu unaemzungumzia wewe sio Yesu ninaemzungumzia mimi huyo atakua unamjua wewe wala sijapata kumsikia
'
Yesu ninaemzungumzia mimi ni Mwana wa Mungu,ni Mungu,ndie aliyeumba ulimwengu na vilivyomo,ndie atatuhukumu siku ya mwisho
'
Kwa kuwa tunazunguzia watu tofauti huna haja ya kunikosoa ninapomzungumzia Yesu NINAEMUABUDU
'
Nawe sitakukosoa kwenye kile utakachomsemea huyo wako!
Samahani mkuu kama nitakua nadandia gari kwa mbele. Umesema Yesu unae mtambua wewe ni MWANA WA MUNGU, siku bishii na sipo hapa kwa kubishana, ila itakua vizuri na nivyema kwa sisi wengene kama ungetu thibitishia maneno yako (yesu ninae muamini mimi ni mwana wa mungu) kupitia andiko lolote ndani ya biblia linalo thibitisha kua YESU NI MWANA WA MUNGU. Kama huna biasbathi thibitisha kua YESU umwaminie wewe sio YESU alie ndani ya bible. (natanguliza samahani)
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom