Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Re: Jamani huu si uchawi saidia
Jamani watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na kumsingizia shetani kwa kila kitu. Kama kuna dhambi ya kumsingizia shetani nadhani waafrika tunaongoza. Mbona kila kitu siku hizi watu walishafanyia utafiti na majibu ya utafiti yanapatikana bureeee kwenye Internet?. Hizi ndio sababu zinatufanya tusiendelee kwa mawazo ya kama haya, utamaliza pesa zako kwa mganga au Muda wako kwa wanamaombi sijui tena wakuchote pesa a.k.a sadaka hadi uwemaskini.

kinachokusibu wewe kinaitwa sleeping paralysis....... Just type kny google "sleeping paralysis" kuna maelezo lukuki kwanini tatzo linatokea na njia za kukabiliana nalo.

angalia wenzako kwenye hii clip halafu google kama nilivyokueleza usome kwenye wikipedia

https://www.google.de/url?sa=t&rct=j...47883778,d.Yms

Hakuna cha damn ya Yesu wala nini acheni umbumbumbu

QUOTE=MaxShimba;6614923]FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTO
Ukweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:-

  1. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; "Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote".
  2. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kupatanisha. Imeandikwa katika kitabu cha Waefeso 2:13-16 kuwa; "Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. AKAWAPATANISHA wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba"
  3. Uzima wa Milele katika Damu ya Yesu Kristo. Imeandikwa katika kitabu cha Yohana 6:53-54 kuwa; "Basi Yesu akawaambia Amini, amini, nawaambieni, msipoula mwili wake mwana wa Adamu nakuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao UZIMA WA MILELE….."
  4. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kutulinda. Imeandikwa katika kitabu cha ufunuo wa Yohana 12:11a kuwa; "Nao wakamshinda (shetani) kwa damu ya mwana-Kondoo…." Mtihani mkubwa sana kwetu sisi wakristo ni kuyaweka katika matendo yale tunayofahamu katika Biblia. Nakushauri kwa Jina la Yesu Kristo kuwa uwe mtendaji wa neno, na usiwe msomaji tu. Ni maombi yangu kwa Bwana ya kuwa Roho wa ufahamu wa Bwana atakuwa juu yako unaposoma na ketenda neno lake.
Imeletwa kwenu na
Max Shimba A Bondservant Of Jesus Christ[/QUOTE]
 
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTO
Ukweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:-

  1. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”.
  2. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kupatanisha. Imeandikwa katika kitabu cha Waefeso 2:13-16 kuwa; “Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. AKAWAPATANISHA wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba”
  3. Uzima wa Milele katika Damu ya Yesu Kristo. Imeandikwa katika kitabu cha Yohana 6:53-54 kuwa; “Basi Yesu akawaambia Amini, amini, nawaambieni, msipoula mwili wake mwana wa Adamu nakuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao UZIMA WA MILELE…..”
  4. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kutulinda. Imeandikwa katika kitabu cha ufunuo wa Yohana 12:11a kuwa; “Nao wakamshinda (shetani) kwa damu ya mwana-Kondoo….” Mtihani mkubwa sana kwetu sisi wakristo ni kuyaweka katika matendo yale tunayofahamu katika Biblia. Nakushauri kwa Jina la Yesu Kristo kuwa uwe mtendaji wa neno, na usiwe msomaji tu. Ni maombi yangu kwa Bwana ya kuwa Roho wa ufahamu wa Bwana atakuwa juu yako unaposoma na ketenda neno lake.
Imeletwa kwenu na
Max Shimba A Bondservant Of Jesus Christ

Jamani watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na kumsingizia shetani kwa kila kitu. Kama kuna dhambi ya kumsingizia shetani nadhani waafrika tunaongoza. Mbona kila kitu siku hizi watu walishafanyia utafiti na majibu ya utafiti yanapatikana bureeee kwenye Internet?. Hizi ndio sababu zinatufanya tusiendelee kwa mawazo ya kama haya, utamaliza pesa zako kwa mganga au Muda wako kwa wanamaombi sijui tena wakuchote pesa a.k.a sadaka hadi uwemaskini.

kinachokusibu wewe kinaitwa sleeping paralysis....... Just type kny google "sleeping paralysis" kuna maelezo lukuki kwanini tatzo linatokea na njia za kukabiliana nalo.

angalia wenzako kwenye hii clip halafu google kama nilivyokueleza usome kwenye wikipedia

https://www.google.de/url?sa=t&rct=j...47883778,d.Yms

Hakuna cha damu ya Yesu wala nini tatizo ni uvivu wa kusoma mambo muhimu yanayohusu afya zetu badala yake tunamsingizia shetani kwa solutions za kijinga kama hizi
 
Ndugu,
Mambo yanayokutokea yanaweza kusababishwa na vitu vingi,lakini zaidi inawezekana wewe ukawa chanzo cha yote hayo
'
Tatizo linaweza kuanzia pale unapodhani tatizo linaanzia,akili yako inaweza kuyatengeza mambo bila wewe kujua na hii inatokana na namna tunavyofikiria
'
Itakua vyema ukaanzia kwa wataalam wa saikolojia kabla hujafanya mengine,kama uko Dar m-pm Mtambuzi atakushauri!
 
Last edited by a moderator:
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTO
Ukweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:-

  1. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote”.
  2. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kupatanisha. Imeandikwa katika kitabu cha Waefeso 2:13-16 kuwa; “Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. AKAWAPATANISHA wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba”
  3. Uzima wa Milele katika Damu ya Yesu Kristo. Imeandikwa katika kitabu cha Yohana 6:53-54 kuwa; “Basi Yesu akawaambia Amini, amini, nawaambieni, msipoula mwili wake mwana wa Adamu nakuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao UZIMA WA MILELE…..”
  4. Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kutulinda. Imeandikwa katika kitabu cha ufunuo wa Yohana 12:11a kuwa; “Nao wakamshinda (shetani) kwa damu ya mwana-Kondoo….” Mtihani mkubwa sana kwetu sisi wakristo ni kuyaweka katika matendo yale tunayofahamu katika Biblia. Nakushauri kwa Jina la Yesu Kristo kuwa uwe mtendaji wa neno, na usiwe msomaji tu. Ni maombi yangu kwa Bwana ya kuwa Roho wa ufahamu wa Bwana atakuwa juu yako unaposoma na ketenda neno lake.
Imeletwa kwenu na
Max Shimba A Bondservant Of Jesus Christ

Wewe MaxShimba sio kila kitu kinaponywa kwa damu ya Yesu.

Tafuta kujua tatizo/chanzo cha kisa cha huyu mtaka ushauri kwanza.

Kwa maana hiyo unawaambia watu wazini na wake za watu, waue, wawakosee adabu wakubwa ili wakija haribikiwa wa mtegemee Yesu kuwaponya.

Yesu hajafundisha hivyo mkuu, nilitegemea ujikite kwenye kumuuliza kwanini hiyo hali inamtokea yaani ujue wapi kakosea, inawezekana hao aliowakosea akiwaomba msamaha kila kitu kitakua sawa.

Je, kama hajawaomba msamaha kwa hayo aliyowakosea unadhani Yesu atafurahishwa nae, si imeandikwa "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe" je, kumuuzi jirani yako kwa namna yeyote ile Yesu anapenda?

Ngoja kahtaan aje akusaidie kuhusu mafundisho ya Yesu naona umeshaanza kusahau.
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu ambavyo vinakufanya umshukuru Mungu hujawahi kutana navyo.

Nashindwa kufikiri ni nyumba ama unahitaji tiba ya akili. Labda ukaongee na daktari compenent aisee
 
Sasa hapa ndio tunaona matatizo ya kwenda kwenye ibada halafu mnaaambiwa na mchungaji
"fungua kurasa ya tatu, kitabu cha wagalatia, haya someni"
NA NYIE MKASOMA!

Halafu mchungaji anasema" Fungeni kitabu tuombe" halafu mnafunga macho, mnaomba! mkitoka hapo hamuangalii kipi mmesoma au ni kwanini mmesoma,mpaka jumapili ijayoooo!

Sasa huhitaji kwenda chuo kikuu kufahamu kuwa, haiingi akili hata siku moja, Dhambi na makosa ufanye wewe halafu aumie na kubeba hizo dhambi mwingine, eti tu kwa sababu "Andiko limesema"

wakristo na waislamu wote tunakubali kuwa Yesu ALIPENDWA na MUNGU NDIO MAANA AKACHAGULIWA KUJA!
Sasa huyo huyo Mungu aliompenda amtoe kafara kwa ajili ya Dhambi za MAXSHIMBA NA KAHTAAN, !
Jamani! hayo kweli ni mapenzi hayo??

Haaaa! kama mapenzi ndio namna hiyo ,

Nadhani hata wewe MAXSHIMBA mungu akikupa hiyo offer sidhani kama utakubali,

Hata mimi mapenzi hayo ya kusulubiana na kumwaga damu yangu kwa ajili yako siyataki,
AU kuna mtu kutoka Bongoland yuko tayari kufanya hivyo,
kama yupo ajitokeze!!

sasa kama hili alikubaliki kwa binaadamu, vipi leo linakubalika kwa Mungu muumba na mwenye huruma kwa viumbe wake, tena hizi sifa za huruma ya mungu ziko humohumo kwenye " ANDIKO".

sasa kama unavyodai MAXSHIMBA !KWAMBA YESU KATESEKA KWA AJILI YANGU NA YAKO ni kweli, hio siku tukimuuliza Mungu Je huu ndio upendo uliomuonyesha mtumishi wako YESU?? ATATUJIBU NINI.
 
kahtaan bora umekuja bro uendelee kumpa darsa huyu jamaa!

Maana wewe ndio kiboko yake katika kumuelewesha!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan bora umekuja bro uendelee kumpa darsa huyu jamaa!

Maana wewe ndio kiboko yake katika kumuelewesha!

Najaribu tu kumuelimisha ndugu yetu lakini?! mmhh, ni kama kifua kikuu, hakitoki mpaka apokee dozi na kila ukimpa kidonge anatema, sasa kweli atapona huyu, mkuu izz,!
lakini tunakwenda nae hivohivo , kidole kikiumia haukati mkono!
 
Dawa ni kutenda mema na kusali. Usiwachezee watu wa pwani ndugu yangu, ni wabaya sijapata kuona, wasije wakakurushia jini bure. Shangazi yangu alipoanza kazi pwani(kibaha) alianza kupata maluweluwe kama hayohayo uliyosimulia, baadaye kikaanza kichaa(anataka kwenda kucheza baharini muda wote), kwa ufupi ameteseka sana na mpaka leo ni kama miaka kumi amekuwa mtu wa kuumwa tu na kutopata utulivu.
Namalizia kwa kusema, Mtegemee Mwenyezi MUNGU. Kumbuka, mke wa mtu sumu, mali ya mtu ni sumu, dharau, kejeli na majivuni ni sumu. Ishi kwa upendo na hekima, utashinda yote kwa uwezo na utukufu wa mwenyez MUNGU
 
Kuna binadamu wana matatizo sana
'
Hapa kila mtu yuko huru kutoa ushauri anaouona YEYE kuwa sahihi
'
Ni jukumu la mwenye mada kuamua achukue ushauri gani na aache,sasa hili jambo la sisi watoa ushauri kuanza kuponda ushauri wa mtu mwingine ni jambo la hovyo sana
'
Wewe kama kuna kinachokukera inabidi uwe mpole kwa kuwa haikuhusu
'
Mtu anasema damu ya Yesu ni tiba,wewe inakukera nini?Wewe umeshauri nini?
'
Watu wengine ni wa hovyo sana!
 
Kweli kabisa kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake! Lakini unapotoa maoni kuhusu yesu! Hayo yanakuwa sio maoni binafsi

Hapa unamuongelea mtu mkubwa katika historia na kama utamzulia uongo sisi tunaemuheshimu hatuwezi kukunyamazia ! Eti kwa sababu ya uhuru wa kuongea! Allaaaa!.

Hebu sema kama wewe damu yako itaokoa watu uone kama mimi ntasema kitu.

Watu wanadhani Yesu ni kama bidhaa. Utaisema utakavyo au utaisingizia utakavyo na sisi wafuasi wa Yesu tunyamaze tu. !!

Thubbutu!!
 
Dawa ni kutenda mema na kusali. Usiwachezee watu wa pwani ndugu yangu, ni wabaya sijapata kuona, wasije wakakurushia jini bure. Shangazi yangu alipoanza kazi pwani(kibaha) alianza kupata maluweluwe kama hayohayo uliyosimulia, baadaye kikaanza kichaa(anataka kwenda kucheza baharini muda wote), kwa ufupi ameteseka sana na mpaka leo ni kama miaka kumi amekuwa mtu wa kuumwa tu na kutopata utulivu.
Namalizia kwa kusema, Mtegemee Mwenyezi MUNGU. Kumbuka, mke wa mtu sumu, mali ya mtu ni sumu, dharau, kejeli na majivuni ni sumu. Ishi kwa upendo na hekima, utashinda yote kwa uwezo na utukufu wa mwenyez MUNGU

Sasa hizo ni kashfa! Ina maana sisi woote wa dar. Tanga. Bagamoyo. Na pwani yoote mpaka mtwara wachawi!.
We huyo shangazi umeangalia. Alikuwa anakula mboga gani kabla ya kuugua??
Manake watu wa chalinze kwenda mpaka vijiji vya mbele wanajidanganya kuwa ukipika bangi. Utapata afya! Sasa hii si balaa hii. Halafu wanahimiza kuwa kibaya ni supu yake lakini mboga tu. Aaaaaa! Inateremka swaaafi na ugali wa mtama!.
Hiyo ndo balaa ya kuwaamini madereve wa malori:D:D:D.
Wanapita wakiacha balaa humo vijijini!
 
Wewe MaxShimba sio kila kitu kinaponywa kwa damu ya Yesu.

Tafuta kujua tatizo/chanzo cha kisa cha huyu mtaka ushauri kwanza.

Kwa maana hiyo unawaambia watu wazini na wake za watu, waue, wawakosee adabu wakubwa ili wakija haribikiwa wa mtegemee Yesu kuwaponya.

Yesu hajafundisha hivyo mkuu, nilitegemea ujikite kwenye kumuuliza kwanini hiyo hali inamtokea yaani ujue wapi kakosea, inawezekana hao aliowakosea akiwaomba msamaha kila kitu kitakua sawa.

Je, kama hajawaomba msamaha kwa hayo aliyowakosea unadhani Yesu atafurahishwa nae, si imeandikwa "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe" je, kumuuzi jirani yako kwa namna yeyote ile Yesu anapenda?

Ngoja kahtaan aje akusaidie kuhusu mafundisho ya Yesu naona umeshaanza kusahau.

Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.

Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.

Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;

Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.
 
Damu anatumia vampire's.

Mtu wa kawaida kutumia damu kwa kuondoa mizimi. Hizo ni ibada za wanywa damu!

Hebu tusaidie andiko ! Pale yesu alipowaponya watu kwa Damu yake!!?

Tafadhali mchungaji!
 
Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.

Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.

Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;

Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.

We unadhani kuna short cut kwenye matibabu.??

Umwambie mtu damu ya Yesu atapona! We kweli unafikiria kabla ya kuandika!?!

Tuchukulie hio damu inaponya!
Sasa kama mimi mgonjwa nakuuliza. " "baba mchungaji max naomba damu ya yesu na mimi nipoone"

Utanipa nini!?!

Unapoonge pumba. Labda umuadithie mwanao. Mtu anaeumwa kweli ukileta za kanisani anaweza kukuumiza.! Chunga sana.

Hebu nenda pale ile wodi ya vichaa muhimbili na damu ya yesu kama hukutoka bila kuaga!
 
Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.

Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.

Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;

Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.

Umeuliza haya maswali kwa ndugu yangu Izz

Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu?

Sasa hebu tusaidi. Je ! Wewe maxshimba! hayo umeyashuhudia wapi??

Tahadhari;

Usituletee habari ya mvinyo hapa ukaufanya kuwa damu.

Manake nadhani kiswahili kiko waazi kabisa.!
Mvinyo sio Damu!.
Na
Damu sio mvinyo.

Haya tupe jibu mchungaji!

Sasa sikilizeni utumbo unaokuja!!

GO MAX GO!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom