kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,668
- 11,231
Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.
Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.
Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;
Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.
Kuna Doctor mmoja hapo muhimbili psychiatric ward! Rafiki yangu saana.
Ameona maneno yako. Ameniambia nikuulize. ! Eti unachanganya vitu gani kupata hio damu!
Yuko tayari kukiuka mipaka ya utabibu . Na anataka kujaribu hio Damu!
Manake wagonjwa wa pepo wachafu wamezidi na nafasi wodini zimejaa!
Angeshkuru saaana kama utafanya fasta kidogo!