Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Dah! Kikwajuni one ,unaufanya mjadala kuwa mgumu sana
'
Wakati mwingine mtu anashindwa kukuelewa,mimi nimeongea kitu kingine wewe unazungumza kitu kingine
'
Ngoja nimsubiri kahtaan huenda nikamuelewa
'
Wewe sikuelewi kabisa!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,nilikujibu kutokana na swali lako,uliniuliza nani kaumba kila kitu
'
Siwezi kukujibu kimkato tu lazima nikupe na maelezo,sory kama nimekukwaza
'
Ki ukweli,ninachotaka watu waelewe hapa ni kuwa,Mungu wa kweli ni MMOJA TU,kama Mungu huyo ni mmoja atakuwa na jina lake moja ambalo ni Yehova TU,hawezi kuwa na majina mawili
'
Kama huyu ndie wa kweli ndie atakuwa MUUMBAJI hakuna mwingine
'
On the other side kuna Quran,Quran inadai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndo huyohuyo aliyeleta Quran hivyo wanaoifuata lazima waikubali Injili
'
Hapa kuna matatizo makubwa yafuatayo
Kama Mungu ni yuleyule kwanini majina yake yawe tofauti?Allah na Yehova ni majina yaliyotokana lugha tofauti na hayana maana moja,kila jina linawilisha kitu tofauti,Kwanini?
'
Kwenye Quran kuna Isa,huyu hakufa na ni nabii wa Allah na alikuja kwa ajili ya Waisraeli tu
Kwenye Biblia kuna Yesu huyu alikufa msalabani,ni MWANA Wa MUNGU na ni MUNGU,ndie aliyeumba VYOTE,alikuja kwaajili ya ulimwengu wote na ndie atakaeuhukumu ulimwengu.
'
Hawa Isa na Yesu ni watu wawili tofauti kuanzia majina hadi majukumu yao
'
Hapa tunaona kuna tofauti kati ya Mungu wa Biblia na Quran
'
Kwanini Quran iseme ni huyo huyo mmoja?
'
Hapa kuna mambo mawili
'
Moja;Quran imedanganya
Pili;Mwandishi wa Quran alijaribu kuifananisha na Biblia kitu kinachomfanya mwandishi huyo asiwe Mungu kwani Mungu hakosei!
Eiyer kuna swali muhimu nimekuuliza hapo juu! Lkn naona jibu sijapata!
Na mbali ya jibu. Umenichanganya kabisa na maelezo yako hapo chini ambayo yamezaa swali lingine la nyongeza.
Mwanzo nilikuuliza je! UNAAMINI MUNGU MMOJ??
Jibu lako ni "NDIO " na ukakubali kuwa huyo MUNGU MMOJA anaitwa YEHOVA"
Kabla hatujafika mbali! Unasema kuna Mungu mwingine anaitwa Yesu! (Umesema yesu ni mungu na ni mwana wa mungu). Eiyer unapotoa hoja yyt lazima uwe na msimamo. Usiwe mara MUNGU MMOJA mara kuna mungu yehova na mungu yesu.

Nakuuliza tena! Je! UNAAMINI YESU NI MUNGU NA YEHOVA NI MUNGU (mungu wawili)??
AU
MUNGU NI MMOJA TU??

NA
JE! UMEKWISHA WAHI KUSOMA QURAAN KTK MAISHA YAKO??
 
Last edited by a moderator:
Naona sifa za munguwako hizo hapo juu umepewa na Mtumishi Maxi

Huyo unae muita mtumishi. Elimu yake ni kama mwakijiji alionjeshwa pipi mara moja tu! Halafu akarudi kijijini!
Basi yeye katika dunia hii kitu kitamu anajua ni pipi tu!.
Kumbe kuna ice creams. Chocolates. Na vingine vingi tu!

Anaropoka kama kawaida ya wanaokula kiti moto.
Anakopi maneno asio jua maana. Halafu anatoa conclusions.
Na hii ni typical hypocrisy!
Ukiwa huna confidence ya maneno yako.
Basi lazima ukimbilie kwenye conclusions kabla hujachapwa bakora na waliokwenda shule.!!
Sasa huenda akawa kweli ni mtumishi wa mtu! Anaemlipa mshara mbuzi ili aseme uongo!!

Lkn asikudanganye anamtumikia Yesu.

Maanake Yesu hajawahi kukutana na wahaya waongo kama huyo MaxShimba !! Bukoba hajawahi kufika!!

Teh teh teh teh teh!!!
 
Last edited by a moderator:
Unapotea mda kukopi mambo ambayo majibu yake yamo kwenye website husika,acha kupoteza mda,ww google,utakuta majibu,wenzako walileta hizo hoja toka miaka ya 90,wamejibiwa hawana la kujibu,wewe ndio waona ni mambo mapya.
 
We shal see the Jesus,how he was
Ordering the KILLINGS of many people
Zephania 2;12-15
You Ethioians wil also be slaughtered by my sword .Says the Lord.And the Lord wili srike the land of the earth with his fist .He will destroy Assyria.
 
We shal see the Jesus,how he was
Ordering the KILLINGS of many people
Zephania 2;12-15
You Ethioians wil also be slaughtered by my sword .Says the Lord.And the Lord wili srike the land of the earth with his fist .He will destroy Assyria.

Jesus on Old Testament??!!!!

Umevimbiwa ukwaju wewe mfusi wa Allah kipofu.
 
The different between muslims and you mrs liar" is
Nobody has to die a shameful death. On the cross for our sins.

God didnt have to kill his beloved prophet for the filth sins of people like you!

We are responsible for our actions! And we will be judged according to our actions.

You don't have to do any good! You can rape. Kill children molested.and pedophilia activities. All that "no problem"!!
Jesus has already took a ride on the cross so he can cover all your sins
.
Teh teh teh teh.

That sounds very promising and mentally insane!

Mkuu kahtaan, huyu Muchungwaji MaxShimba hana hoja hata kiduchu!

Kazi yake ku-copy na ku-paste hoja zilizowahi kujadiliwa kwenye tovuti mbali mbali na wenzie Wakashindwa kwa hoja hizo dhaifu na kuwafanya waingie kwenye dini yetu ya kweli!

Nawe muchungwaji MaxShimba unakaribishwa, husione aibu kuijua kweli tehe tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
...........Huyo jamaa MaxShimba anatupia craps hata yeye mwenyewe hazielewi !?:laugh:
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Huu ni mchanganyiko wa akili!

Na kama hiki kingekuwa chakula!

Basi atakae kula lazima afe! Manake lazima itakuwa sumu!
Teh teh teh teh teh!!

Toa andiko ukanushe kama hamsemi yesu ni Mungu,hapo waona anavyouwa watu wasio na hatia.
 
Mkuu kahtaan, huyu Muchungwaji MaxShimba hana hoja hata kiduchu!

Kazi yake ku-copy na ku-paste hoja zilizowahi kujadiliwa kwenye tovuti mbali mbali na wenzie Wakashindwa kwa hoja hizo dhaifu na kuwafanya waingie kwenye dini yetu ya kweli!

Nawe muchungwaji MaxShimba unakaribishwa, husione aibu kuijua kweli tehe tehe tehe!

Mkuu Izz huyu MaxShimba ambae kwa jina jingine ni Nasi Babi
Anaongea vitu halafu anajikana mwenyewe!
We soma tu uzi zake hapo juu!
Kuna moja anasema allah hana macho wala maskio . Halafu ya chini yake anasema allah anafanana na adam!?!?!
Sasa huyo adam ana uso bila macho na maskio???
Teh teh teh !
Na hapo hakuna mtu kamuuliza kitu!
Anajichanganya mwenyewe tu!

Sasa kama sio kuchanganyikiwa ni nini ?!?!
:D:D:D:D
 
Last edited by a moderator:
Jesus says he has come to destroy families by making family members hate each other.He has come not to send peace,but a sword ,Matthew 10;34
 
Families will be torn apart because of Jesus ,Brother shall deliver up the brother to death,and the father the child,and the children shall ruse up against their parents ,and cause them to be put to death .Matthew 10;21
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom