Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Acha kudanganya watu huna chochote unachojua kuhusu bibilia,naona unataka kujilinganisha na Mungu..

Ziongate!.
Mimi ninaposema kitu kwanza napenda kuweka ushahidi. Na kama ushahidi hauhitajiki natumia logic. Na utakuta maongezi yangu kuyapinga ni vigumu.

Unachosema hapa si kweli kwamba mimi najilinganisha na MUNGU!
wala huna ushahidi na hilo.

Huyu rafiki yako maxshimba NI NANI KAMPA NGUVU YA KUPONYA KWA DAMU YA YESU!??
Wote sisi tunajua yesu aliponya kwa nguvu za mungu.

Sasa wacha MAXISHIMBA! niambie kwa ushahidi (sio maneno tu) Nani mwengine kaponya kwa damu ya Yesu tu!?

Ukishindwa kunionyesha. Basi utakubali kuwa
Yesu alilaani mitume WAZUSHI kama huyu. maxishimba. Ambao wanajipa vyeo.

Na biblia hawaijui!
Mimi nampenda yesu. Na sikubali mtu kumsingizia uongo!

Nasubiri jibu!
 
Wa wapi huyu?Nabii wa Mungu yupi?

Sijui lengo lako kuuliza swali hili. Lakini ntarudia jibu!
Yesu ninae mfahamu mimi na kumkubali ni yule :

Yesu mwana wa maria.

Yesu wa Nazareth.

Yesu ambae ni BINAADAMU kama mimi na wewe na wala SIO MUNGU!

Yesu aliye kataza ibada ya masanamu.

Yesu aliesali ndani ya sinagog.

Yesu aliekuja kwa ajili ya wana kondoo wa nyumba ya israel PEKE YAKE.

Yesu ambae alizaliwa bila baba na akatangaza neno la MUNGU!.

Yesu ambae hajajiita mwana wa mungu!
Bali watu wamempa sifa asizo kuwa nazo!

Yesu ambae alikuwa akiponya KWA IDHINI YA MUNGU.na sio kwa uwezo wake BINAFSI!

Yesu ambae ibada na maombi yake yoote akielekeza kwa MUNGU MKUU!

NA

Yesu aliye abudu MUNGU MMOJA.

Huyu ndio Yesu ninae mtambua na kumuheshimu. Na nitaendelea kumtetea mpaka siku yangu ya mwisho. Kama atatokea mtu kumsingizia na kumpa sifa ambazo sio za kwake.!

Nadhani nimekujibu! Izz Ritz hargeisa GLOBAL
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,
Huyo yesu unaemzungumzia wewe sio Yesu ninaemzungumzia mimi huyo atakua unamjua wewe wala sijapata kumsikia
'
Yesu ninaemzungumzia mimi ni Mwana wa Mungu,ni Mungu,ndie aliyeumba ulimwengu na vilivyomo,ndie atatuhukumu siku ya mwisho
'
Kwa kuwa tunazunguzia watu tofauti huna haja ya kunikosoa ninapomzungumzia Yesu NINAEMUABUDU
'
Nawe sitakukosoa kwenye kile utakachomsemea huyo wako!
 
Last edited by a moderator:
Nifanyaje,

Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.

Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this

Yamekukuta eeeeehhhh!!! Ndio dunia hiyo. Pole sana.
 
Sijui lengo lako kuuliza swali hili. Lakini ntarudia jibu!
Yesu ninae mfahamu mimi na kumkubali ni yule :

Yesu mwana wa maria.

Yesu wa Nazareth.

Yesu ambae ni BINAADAMU kama mimi na wewe na wala SIO MUNGU!

Yesu aliye kataza ibada ya masanamu.

Yesu aliesali ndani ya sinagog.

Yesu aliekuja kwa ajili ya wana kondoo wa nyumba ya israel PEKE YAKE.

Yesu ambae alizaliwa bila baba na akatangaza neno la MUNGU!.

Yesu ambae hajajiita mwana wa mungu!
Bali watu wamempa sifa asizo kuwa nazo!

Yesu ambae alikuwa akiponya KWA IDHINI YA MUNGU.na sio kwa uwezo wake BINAFSI!

Yesu ambae ibada na maombi yake yoote akielekeza kwa MUNGU MKUU!

NA

Yesu aliye abudu MUNGU MMOJA.

Huyu ndio Yesu ninae mtambua na kumuheshimu. Na nitaendelea kumtetea mpaka siku yangu ya mwisho. Kama atatokea mtu kumsingizia na kumpa sifa ambazo sio za kwake.!

Nadhani nimekujibu! Izz Ritz hargeisa GLOBAL
Eiyer, kutokana na maelezo yote hayo ya kahtaan bado unamkana Yesu kwenye hiyo post yako hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe kahtaan si uliuliza mamlaka ya kuponya MaxShimba ameyatoa wapi?Au umesahau?
'
Kupewa mamlaka ya kuponya ni kitu kingine na ushahidi wa kufanya hivyo ni kitu kingine
'
Kama ulikua ulikua unataka kujua mamlaka ya kuponya yametoka wapi tayari umejua,hivyo wote wanaomwamini Yesu wanamamlaka hayo
'
Kama unataka ushahidi wa kufanyika hayo inabidi uutafute mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan ,
Huyo yesu unaemzungumzia wewe sio Yesu ninaemzungumzia mimi huyo atakua unamjua wewe wala sijapata kumsikia
'
Yesu ninaemzungumzia mimi ni Mwana wa Mungu,ni Mungu,ndie aliyeumba ulimwengu na vilivyomo,ndie atatuhukumu siku ya mwisho
'
Kwa kuwa tunazunguzia watu tofauti huna haja ya kunikosoa ninapomzungumzia Yesu NINAEMUABUDU
'
Nawe sitakukosoa kwenye kile utakachomsemea huyo wako!
EIYER ,kwanza napenda nikusifu kuwa wewe ni tofauti na huyo mchungaji MAXSHIMBA,wewe unajenga hoja , japo kuwa hoja zako huziweki na ushahidi, mwenzako yeye ni kashfa tu, sasa naomba unisaidie kitu kimoja tu! Ili mimi na wewe tumfuate Yesu unaemjua wewe,! naomba andiko YESU ANASEMA "MIMI NI MUNGU NIABUDUNI" AU "MIMI NI MUNGU MKUU" AU "MIMI MWANA WA MUNGU AU "MIMI MUUMBAJI WA MBINGU NA VILIVYOMO" AU "MIMI NDIO NITAHUKUMU SIU YA MWISHO", Ukinionyesha chochote ktk hivi kwenye ndiko, mimi nakuahidi ntamfuata huyo Yesu wako! Ahsante , nasubiri jibu1
 
Yesu wa kweli. Mtoto wa maria. Msema ukweli na Nabii wa Mungu mkuu


Nimesoma comment zako ni ujinga mtupu'Yesu ni jina linalotingisha kuzimu na duniani'kwa taarifa yako huyo mohammadi wako yuko kuzimu akipiga story na wakina gadhafi'damu ya Yesu sio mchezo kaulize wale jamaa zako wanaofuga majini'Yesu ni Mungu'aniaminiye mimi nitakaa ndani yake naye ndani yangu
 
Na mimi hapa mkuu Izz simuulizi yeye tu! nauliza mgalatia yoyote anefahamu kufungua English dictionary, NINI MAANA YA NENO "ALLAH" KWA KIINGEREZA< lakini naskitika hajatokea hata mmoja, sasa unadhani wagalatia hawajalisoma hili swali??
 
Last edited by a moderator:
Tell chumba chako cha kulala kina mwonekano gani: kinapaswa kuwa na hewa ya kutosha, kusiwepo na mrundikano wa vitu; husilale redio/TV inaongea au kelele za aina zozote chumbani.
Pia vitu gani unawaza mara nyingi!
Hizi story zinashangaza sana: nakumbuka wakati fulani nikiwa dent wa chuo fulani kwenye hostel zetu tulikuwa tunakaa wanne chumbani-jamaa mmoja mara nyingi alikuwa anapambana na watu asiyowajuwa akidai kuwa wanakuja mpaka dirishani..sikuwahi kumwelewa. na mara nyingi watu wa aina hii wanakuwa na elements za ulokole! Je we ndugu umeokoka???
vinginevyo uchawi uko kichwani mwako wewe!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom