Wakumwitu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 370
- 82
Kwa kweli kaka, kababu ka huku sijaongea na wala hajathubutu kukutana na uso wangu.
Naona atanitafutia kosa hilo ndo litafungua mlango wa kuongea na mimi.
Hata hivyo najiona bora nisingemuona manake, dah!!!
Haka kabinti bwana, sijakauliza sana, manake kalikuwa kamepaniki vibaya, nikakaacha tu kakaondoka.
Ila nimechukua namba yake ya simu, niangalie upepo unakwenda je kwanza halafu nitamtaufuta niongee naye.
Ni vizuri kuongea naye but mapenzi ni kizungu mkuti.. kama yamenoga kwa babu yatafika.