Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

LD, did your boss look straight into your eyes after that shameful espisode au alivunga kufa?
Kawaida sisi wanaume haya yanatugusa when our pants are still down, nikisha jikoki na abd..l.. plain head kalala, maisha ni kama jana.
 
=LD;1770886]Kwa kweli kaka, kababu ka huku sijaongea na wala hajathubutu kukutana na uso wangu.
Naona atanitafutia kosa hilo ndo litafungua mlango wa kuongea na mimi.

Hata hivyo najiona bora nisingemuona manake, dah!!!
Haka kabinti bwana, sijakauliza sana, manake kalikuwa kamepaniki vibaya, nikakaacha tu kakaondoka.
Ila nimechukua namba yake ya simu, niangalie upepo unakwenda je kwanza halafu nitamtaufuta niongee naye.[/QUOTE]

Nakumbuka ulishakuja hapa na kusems boss wako mzee anakunyemelea umemtolea nje bado anang'ang'ania, labda ameona kuamishia majeshi kwa huyo binti. Inasikitisha kwakweli mzee kama huyo kutembea na binti wadogo wa namna hiyo.
 
LD, did your boss look straight into your eyes after that shameful espisode au alivunga kufa?
Kawaida sisi wanaume haya yanatugusa when our pants are still down, nikisha jikoki na abd..l.. plain head kalala, maisha ni kama jana.

Ni tabu tupu tu, halafu na mimi naona kadharau kanachipua ndani yangu, sasa sijui itakua je........
 
Na unadhani itakuwaje kuhusu kibarua chako baada ya kummwaga Babu hapa JF?

Naamini Hakuna kitakachotokea.
Na hapa huwa anasoma pia.
Kwa sababu siwezi kumwambia kwa mdomo, muache aje kupata majibu na maswali humu!!!
 
LD, did your boss look straight into your eyes after that shameful espisode au alivunga kufa?
Kawaida sisi wanaume haya yanatugusa when our pants are still down, nikisha jikoki na abd..l.. plain head kalala, maisha ni kama jana.

True!!!
 
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?
And you didn't call the cops?...you were just an accessory to statutory rape!!! shame on you.
 
samahani sana MCD

Nazidi kusikitika kuona unahukumu wanaume wakati mkosaji umemuacha si ajabu bila kuhoji na ukijua kabisa anyeharibika ni mdogo wako wa kike

Umenisikitisha sana

Nisamehe MTM, inawezekana ni kweli nawahukumu sana wanaume,
Lakini hebu jaribu kuangalia akili ya huyu baba na ya huyu mtoto.

Kweli tunaweza kukubali kwamba ni haki huyu baba amfanyie huyo mtoto hivo, hata kama huyo mtoto yeye alitaka.
MTM, nadhani huyu ni grandpa hata kwangu mimi sembuse huyo mwenye miaka 16. Si ndio anatakiwa atufundishe na atuonye tunapokwenda
kinyume na maadili jamani.

Dah mi kama ni hivo, nitawachukia wanaume basi.
 
" dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four"

LD......that is really sad. Lakini however much we blame these men, lets not forget kwamba TAMAA ndio inayowaponza hawa watoto!
She is aware that ur boss is almost like her babu yet she feels no shame in doing what you saw her doing with him!

quote JK "...kiherehere chao ndio kinawaponza..."
 
And you didn't call the cops?...you were just an accessory to statutory rape!!! shame on you.

Nisamehe sana kaka/dada angu.
Kila jambo ni kwa utaratibu, sio kukurupuka,
Unaweza kukuta huyu binti anatembea hata na baba yake aliomzaa, jinsi ambavyo wazazi hawa wa kiume nao walivyo.
Sasa unadhani, nisipotafuta walau info kidogo kujua mazingira na maisha ya huyo binti, itakuwa rahisi au kutakuwa na faida ya hicho ulichotaka nikifanye?
But again Very Sorry!!!!
 
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?

blue ya kwanza....baada ya kumkuta boss wako na kabinti wewe ukaondoka.....sasa ulienda ofis gani au ulikaa kwenye corido maana key ulikuwa hujachukua

blue ya pili: ulikauliza kwa nini kalikuwa juu ya miguu ya boss?

NB:ukikutana na huyo boss wako anakuangaliaje?

LD siku hizi vitoto nvinakua haraka sana...tena kama hivi vya under 20 yaani vinajua kupiga automatic na manual bila shida.......
 
...dah, kidogo nidhani alikuwa kampakata mwanae,..
anyway, mwana kwako, kwa mwezio mkubwa huyo!...Oopppsss,
wajibu wako kama mzazi ulitakiwa um report boss kwa wahusika haraka iwezekanavyo.

Kwanini hukufanya hilo?!

Ni kweli Mbu, lakini sasa dah!!
Nahisi nahitaji, kujua vizuri pia kuhusu huyu binti.
Unajua kuna mabinti wengine pamoja na huo udogo,
Wanajua mambo kuliko hata.................
Nikishajua walau wasifu kidogo tu wa huyu binti ndo aweza kufikiria kitu kingine zaidi.......
 
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?
hayo ni mambo ambayo yamekuwa ya kawaida kabisa kwa kizazi kilichopo so nothing new is just bse you saw it but there hundreds of it. na kuna notion siku hizi kuwa akina babu ndio wazuri kwa, mosi kutoa bajeti nzuri kila unapopresent ombi no objection and with surplus also they dont bother them much bse only right time and right place to meet otherwise kila mtu ana zake .zaidi ya yote si unajua akina babu ni tamaa ya macho tu akienda kimoja tu ulimi nje anaishia kulambalamba tu so no kuchoshana sana. they are more prefferable than most of you guys there, chick knows about it
 
And you support this?....disgusting!! lemme get the f outta here!
 
blue ya kwanza....baada ya kumkuta boss wako na kabinti wewe ukaondoka.....sasa ulienda ofis gani au ulikaa kwenye corido maana key ulikuwa hujachukua

blue ya pili: ulikauliza kwa nini kalikuwa juu ya miguu ya boss?

NB:ukikutana na huyo boss wako anakuangaliaje?

LD siku hizi vitoto nvinakua haraka sana...tena kama hivi vya under 20 yaani vinajua kupiga automatic na manual bila shida.......

Edson kaka angu, nilijirudia zangu nikasubiri nje ya mlango wangu, kabiti kaliponijia nikakaambia kamwambie babu akupe ufungue, kakaenda kakaniletea.
Sikutaka kukasemesha sana wakati ule, nilijifanya kukapotezea kwanza manake kalikuwa kamepaniki sana, nimekauliza una miaka mingapi tu. nikakaomba namba ya simu kakanipa, nikakatolea hiyo form kakaondoka.

Kwa kweli ni aibu lakini ndo hivyo.................maisha lazima yaendelee nakauka tu.

Ni kweli hawa watoto bwana, saa ingine hata kumshauri inabidi uwe umemsoma sana,
kanaweza kakakujibu jibu hapo ukajuta mwenyewe.
 
Leo asubuhi kama kawaida yangu niwewahi kwenye kibarua changu, kujitafutia mkate wa kila siku.
Sasa nina kawaida ya kuchukua ufunguo wa chumba changu cha ofisi kwa boss wangu.
Kama kawaida mimi nikaenda nikagonga chumba cha ofisi ya Boss, nikaingia, kuingia nikakuta kabinti ka sekondari form 4 ndani ya ofisi, na kabosi kametulia juu yake.
Nikaona aibu nikatoka nje, kale kabinti kakamchomoka bosi, kakanifuata kananiambia dada babu kaniambia nikusubirie ofisini kwake ufike uniprintie Fomu ya Registration ya mtihani wa Form Four. Nikamuuliza una miaka mingapi akaniambia miaka 16.

Sasa babu zangu mlioko huku kulikoni jamani?
Kwa nini lakini wanaume mnakuwa hivi?
Basi hata kama ni tamaa si mkawachukue hao ambao wapo tayari kwa hiyo kazi?
Mbona mwatuharibia watoto wetu?

dah! Sahivi vibabu vina balaa. Vibinti navyo ndio usiseme.
Kuna babu moja nakaa nalo jirani, nikimuamkia badala ya kuitikia ananikonyeza. Sijui nimfanyaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom