gambalanyoka
Member
- Mar 13, 2011
- 63
- 6
Jamani nisaidieni gauti inanitesa sana,hivi ninywe pombe gani na nyama gani ili isinisumbue maana kila nikinywa bia*u pombe kali navi$ba miguu na nikono.Wajuzi hebu nipeni utaalamu
Pole bwana GAMBALANYOKA labda mimi nikupe mbadala wa Tiba kwa maana ya namna ya kuishi na hiyo Gaut ,kama unataka kupona kaka acha pombe na nyama hasa za kuchoma,the latter(nyama choma) ina URIC kubwa mno na the previous(BIA) ina kitu kinaitwa PURINE nyingi mno sasa hivi ukiviendeleza baada ya muda kaka unaweza kuanza kupata mengine
Ushauri
kama unapenda nyama kula mbadala wake-(SAMAKI WA KUCHEMSAHA/AU NYAMA ZA NGOZI KAMA KONGORO,KICHWA ILA SIO MKIA)
Kama pombe bado ni priority kwako tafuta kinywaji kinaitwa BALTIKA hakina Purine
Ahsante na pole pia[/QUOTE
Asante kwa ushauri mzuri sasa je pombe laki nazo niache au zenyewe ninywe tu