Jamani gauti inanitesa

gambalanyoka

Member
Mar 13, 2011
63
6
Jamani nisaidieni gauti inanitesa sana,hivi ninywe pombe gani na nyama gani ili isinisumbue maana kila nikinywa bia*u pombe kali navi$ba miguu na nikono.Wajuzi hebu nipeni utaalamu
 
mi nakushauri kama unaweza ki2 nyama/pombe achana navyo kabisa,utakuwa umeikwepa,japo huwa ni kwa kula nyama nyekundu(red meat),bora uachane na vitu hivyo kabisa.
 
Achana navyo hivyo vinakutesa tu. Ikizidi kunywa diclofenac au anti pain yeyote. Kikubwa leave pombe and red meat of all kind
 
jaribu kutumia allopurinol 300mg mara mbili kwa siku
maumivu yakizidi mwone daktari

macinkus
 
Pole bwana GAMBALANYOKA labda mimi nikupe mbadala wa Tiba kwa maana ya namna ya kuishi na hiyo Gaut ,kama unataka kupona kaka acha pombe na nyama hasa za kuchoma,the latter(nyama choma) ina URIC kubwa mno na the previous(BIA) ina kitu kinaitwa PURINE nyingi mno sasa hivi ukiviendeleza baada ya muda kaka unaweza kuanza kupata mengine
Ushauri
kama unapenda nyama kula mbadala wake-(SAMAKI WA KUCHEMSAHA/AU NYAMA ZA NGOZI KAMA KONGORO,KICHWA ILA SIO MKIA)
Kama pombe bado ni priority kwako tafuta kinywaji kinaitwa BALTIKA hakina Purine
Ahsante na pole pia
 
Pole sana...kama kweli una gaut kuwa mwangalifu sana....pata tiba inayostahili,ushauri uliopewa kuhusu nyama na pombe ni muhimu sana..lakini pia uwe na proper follow up kwa mtaalamu wa hayo mambo....Linda figo zako mkuu...
 
Pole bwana GAMBALANYOKA labda mimi nikupe mbadala wa Tiba kwa maana ya namna ya kuishi na hiyo Gaut ,kama unataka kupona kaka acha pombe na nyama hasa za kuchoma,the latter(nyama choma) ina URIC kubwa mno na the previous(BIA) ina kitu kinaitwa PURINE nyingi mno sasa hivi ukiviendeleza baada ya muda kaka unaweza kuanza kupata mengine
Ushauri
kama unapenda nyama kula mbadala wake-(SAMAKI WA KUCHEMSAHA/AU NYAMA ZA NGOZI KAMA KONGORO,KICHWA ILA SIO MKIA)
Kama pombe bado ni priority kwako tafuta kinywaji kinaitwa BALTIKA hakina Purine
Ahsante na pole pia[/QUOTE
Asante kwa ushauri mzuri sasa je pombe laki nazo niache au zenyewe ninywe tu
 
Hivi nyie mnafikri kuacha pombwe rahisi eeeeeh?Mkuu jaribu tu kupunguza pombwe ila swala la red meat kama unaweza potezea kabisa,ili pombwe isikudhuru ukanisumbua kukubeba bar si mbaya ukawa unakula kuku (wa kienyeji is better) au samaki.Kwa hali uliyonayo sasa si vibaya ukimuona daktari.We live once
 
pole sana gout inamaumivu makali sana, maumivu yakizidi itakuwa rahisi sana kuacvha pombe bado hujsaumwa, mzee wangu aliacha baada ya maumivu kuwa makali hasta kunyanyua mguu alikuwa hawezi.
 
watu wengine mnashaangaza sana wewe unatumia kitu kinakudhuru unaendelea kutumia ua kupata ushauri? achana na kilaji sina imani kama utakuwa umepungukiwa kwa kiasi kikubwa kuliko unavyosumbuka
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom