Ndugu zangu kuweni makini mnapokunywa vilevi na marafiki zenu

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Jana Kuna tukio Zito sana limenikuta kidogo niondoke Mungu yumwema nilipata msaada wa haraka ila ingekuwa story nyingine

Ipo hivi, tulikuwa watatu mm, rafiki angu na jamaa mmoja wa humu jamiiforum alisema anahitaji tuonane tuliunge tela, nikasema sio mbaya Leo ni sikukuu njoo apa magomeni kisuma. Tukawa tunagonga konyagi kubwa, ilipoisha tukaagiza ya pili baada ya hapo tukala nyama ya mbuzi tukishushia na Maji

Tukasema Sasa tuagizie bia za kusuza, tukaweka serengeti lite kwenye backet mdogo mdogo. Mimi nikaenda chooni kukojoa kurudi nikaendelea na bia yangu niliyoiacha.

Ijabu kila nikinywa nilikuwa naona kichwa kinashika misuli hatari mwisho nikawa naona kizunguzungu nikadondoka baada ya kudondoka pale pale wahudumu wakanipa Maji flani ivi meupe sikujua Yana dawa gn wakasema ninywe nimalize mpaka nikamaliza. Baada ya hapo mmoja sikumuona kaelekea Wapi tukabaki wawili tu, nikajiongeza mwenyewe nikakaa kimya

Ila nipo fresh tu, kwahiyo ukinywa bia usiende kukojoa au mbali na sehemu yako mpaka mtaondoka
 
Bia za bure hizo
Usije ukamponza mwaikimba

Maticha hao lazima wanakuundia zengwe

Wanaibaga sanduku la kura live live sembuse kukuiba wewe
 
Jana Kuna tukio Zito sana limenikuta kidogo niondoke Mungu yumwema nilipata msaada wa haraka ila ingekuwa story nyingine

Ipo hivi, tulikuwa watatu mm, rafiki angu na jamaa mmoja wa humu jamiiforum alisema anahitaji tuonane tuliunge tela, nikasema sio mbaya Leo ni sikukuu njoo apa magomeni kisuma. Tukawa tunagonga konyagi kubwa, ilipoisha tukaagiza ya pili baada ya hapo tukala nyama ya mbuzi tukishushia na Maji

Tukasema Sasa tuagizie bia za kusuza, tukaweka serengeti lite kwenye backet mdogo mdogo. Mimi nikaenda chooni kukojoa kurudi nikaendelea na bia yangu niliyoiacha.

Ijabu kila nikinywa nilikuwa naona kichwa kinashika misuli hatari mwisho nikawa naona kizunguzungu nikadondoka baada ya kudondoka pale pale wahudumu wakanipa Maji flani ivi meupe sikujua Yana dawa gn wakasema ninywe nimalize mpaka nikamaliza. Baada ya hapo mmoja sikumuona kaelekea Wapi tukabaki wawili tu, nikajiongeza mwenyewe nikakaa kimya

Ila nipo fresh tu, kwahiyo ukinywa bia usiende kukojoa au mbali na sehemu yako mpaka mtaondoka
Bila shaka walimu wanakuwinda
 
Back
Top Bottom