Mkubwa Sekulu!
Hujaeleweka unachotaka!
KWANZAUMESEMA HAKUNA SABABU YA KUBISHANA KUWA NI NZURI AU MBAYA!..as if tayari kuna watu wamebishana!
Lakini mwenyewe unajisahau na kuvunja katazo lako kwa kusema kuwa sasa hivi inazidi kuwa mbaya
Mkubwa Sekulu!
Hujaeleweka unachotaka!
KWANZAUMESEMA HAKUNA SABABU YA KUBISHANA KUWA NI NZURI AU MBAYA!..as if tayari kuna watu wamebishana!
Lakini mwenyewe unajisahau na kuvunja katazo lako kwa kusema kuwa sasa hivi inazidi kuwa mbaya
KUNA JAMAA ALIWATENGENEZEA WEBSITE NZURI KWELI, LAKINI SIJUI WAMESHINDANA NINI NA ADMINISTRATOR KUIWEKA, NA JAMAA MWENYEWE HAKUWA HATA ANATAKA HELA, HEBU ONENI WENYEWE WADAU.
Mzumbe University - Welcome
Nimetazama Source naona hii ni static page
Technically Pia haijafuata basic standards za kudevelop Tovuti . Moja yake ku kutengenaisha presentaion na layout yaani CSS na HTML. Wao wamechanganya zote kwenye file moja Sijaona wametumia DTD gani ili kujaribu page verfication na validation.
Vitu kama Staff directory , Reasercha and publication vilitakiwa takuwa kuwa kwenye database na sio flatfile.
While machoni inaweza kuonekana inapendeza but simple upadate au postiing new artcle lazim watafute mtaalam.
Mbona kuna Open source CMS kibao tu na nzuri kwa nini hao wanaowatengenezea wasitumie cms kama za joomla au wordpress.
kitengo cha it mzumbe kina watu wachache sana-IT specialist kama kina batholomewo,mudy n.k wapo vyema-sijui kikwazo ni niniKama hawajui kabisa na hawana wataalam inakuaje??
Zamani Haikuwa hivi na leo hii na siku zinavozidi kwenda ndo inazidi kuwa mbaya!
hii website naifahamu sana na tuliwahi kupewa kuidesign ktk assignment chuo coz it was one of the best in tz 2006/2007, tatizo hapa ni design principles zimekiukwa kwa nguvu zote, hii mimi ninahisi ni kutokana na bajeti ndogo inayotolewa kudesign/redesign system siamini kama unaweza ukadesign website ya shule kwa tsh laki 5 labda kama utakimbilia physical design without analysis etc na matokeo yake ndio hayo unayoyaona
kitengo cha it mzumbe kina watu wachache sana-IT specialist kama kina batholomewo,mudy n.k wapo vyema-sijui kikwazo ni nini
na hii website yao haina sehemu yoyote yenye vacancies/employment, nashindwa kujua kwa nini hawaweki hii kitu
KUNA JAMAA ALIWATENGENEZEA WEBSITE NZURI KWELI, LAKINI SIJUI WAMESHINDANA NINI NA ADMINISTRATOR KUIWEKA, NA JAMAA MWENYEWE HAKUWA HATA ANATAKA HELA, HEBU ONENI WENYEWE WADAU.
Mzumbe University - Welcome
Au hiki ndicho kilichowafanya wakatae "mohamed kawia" ?