Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za nje ni wa kweli?

AlphaMale_

Senior Member
Aug 12, 2023
187
429
Habari,

Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za njee ya nchi wako really au wanafanya kupata traffic/watu katika sites zao?

Na kama kuna anae jua website zinazo weka matangazo ya kaz za njee ya nchi zenye Reputation nzuri naomba please.
 
Indeed job
 
https://germantechjobs.de/en

Developer job offers on your terms

IT & Technology English-speaking jobs in Germany | IamExpat Jobs

IT specialists

https://www.stepstone.de/jobs/it/in-germany

https://www.glassdoor.com/Job/germany-information-technology-jobs-SRCH_IL.0,7_IN96_KO8,30.htm

https://www.totaljobs.com/jobs/it/in-germany
 
Back
Top Bottom