Jaman mwenzenu mbona internet ya airtel kwa android inachelewa kufungua ?

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Nikiwa naitumia inachukua mda mrefuuu....... hata
niwe natumia opera
kudownload ndo sijawahi kabisa , maana mpaka chaji inaisha,nakuwa bado sijamaliza kudownload

niko dar ila siamin kama nanyi amnateseka kama mimi!
 
network yao ya internet sio nzuri ingawa sio wezi nime wahama kwasababu network yao ya ineternet inachagua maeneo
 
Back
Top Bottom