Jaman Lulu ana mambo!

kwani ameshamaliza mjengo wake anaosema anajenga????

Sasa anataka kuchangisha hela awe specific niza kumalizia mjengo au kupeleka k uk..

Ashauriwe afanye jambo mmoja kwa wakati mmoja asije akakosa yote
 
Jamani mnahangaika na tabia yake kwani mnataka kuoa bana?

Katoto kazuri kama kale hakatakiwi kupoteza muda kuchangishachangisha nauli, haka kanafaa sana kujipumzishia huku ukikaondolea shida zake zote ikiwepo nauli ya kwenda na kurudi as long as kanawajibika vizuri na kana tunza siri, mwenye namba yake please.

Nimerejea kwako Tuntu, jana nimemsikiliza Lulu kwenye Clouds TV anasema yeye anapenda mwanaume mrefu lakini asiwe mrefu sanaaa, awe mweupe na kama si mweupe basi awe na weusi wa kung'aa. Pia awe mtu anaye weza kumpa ushauri mzuri kimaisha. Sasaaa Vigezo hivyo unavyo?
 
Madam T kama una contact za hako katoto kaambie kani PM mimi nitakapa Nauli ya Kwenda na Kurudi Huko Majuu na Malazi pamoja na Pesa za Kupiga misele kipindi chote katakapokuwa kanamtafuta huyo Msela. Kaambie hakapaswi kupata Shida wakati Washefa Wa Mujini to
 
He! na wewe umo! Natumaini huo udhamini hauna malipo baadaye...
 
Malipo gani tena Mamii? Mashefa wakitoa huwa hawageuki nyuma LoL! Nahisi Kama mimi ndiyo nitakayekatoa katika Hali kaliyonayo sasa maana kanahitaji zaidi Ushauri sasa mimi ni Mtaalam wa Mambo hayo
 
Okeeeey! Ngoja nimtafute Zamaradi Mketema akupe mawasiliano yake
 
huyu mtoto anahitaji zaidi ya ushauri...aibu kwa kweli

Mnamuonea gere tu mwenzenu, mie nampenda muwazi sana yaani yale ambayo watu wa kawaida huyasema/husemezana na mioyo yao yeye huyasema kwa wengine.

Unajua ungekuwa wewe ungeishia pale kusema unampenda Justin kimuziki halafu ukaweka lifull stop kubwa ila kimoyomoyo ungeendeleza akikaasawa nakula kichwa au sio bi mwanamkasi?
 
hahahahaahha umejuaje hapa mie nnavyojifanya napenda mashairi na nyama ya ulimi kumbeeeeeeeee......unajua!
 
Basi ifike wakati fulani tuwapongeze wale wanaoyasema machafu yao watu wakayajua kwa maana wanaweza kupata ushauri na kujua waliteleza kuliko wale wanaofanya machafu kwa vificho ambao ni vigumu kuyajua wayafanyayo na ni vigumu vilevile kuwapatia ushauri maana huyajui wayafanyayo.
 
Inawezekana alikua anatania tu ili apate her 5 mins of fame.....si unajua tena anything for publlicity well kafanikiwa.....she is on this thread.
 
Daa Mungu amsaidie huyu mtoto! Nadhani anapepo la ngono! Muombeeni jamani
 
Back
Top Bottom