Jaman Lulu ana mambo!

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber.

Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds katika kipengele cha Movie Leo. Nyota huyo amesema kwa sasa anachangisha michango ya nauli ili aweze kufanikisha ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana.

Lulu ameweka wazi kuwa anampenda Bieber kiushabiki wa muziki wake lakini pia hatakuwa na kinyongo endapo dogo huyo ataomba mavituz siku watakayokutana.
 
Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber. Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds katika kipengele cha Movie Leo. Nyota huyo amesema kwa sasa anachangisha michango ya nauli ili aweze kufanikisha ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana. Lulu ameweka wazi kuwa anampenda Bieber kiushabiki wa muziki wake lakini pia hatakuwa na kinyongo endapo dogo huyo ataomba mavituz siku watakayokutana.

sifa za kijinga hizo zinamsumbua huyu mtoto wa kwa kopa..
 
eti lulu anataka kuchangisha pesa ili aweze kwenda UK kumwona Justin Bieber coz anampenda sana na hata ikitokea justin akamtaka kmapenz yupo tyr kwel huyu mtoto ndoto zake noumaaaaaaaaa.
Kuna haja ya kunzisha madarasa ya jinsi ya kuishi ukiwa maarufu, biula kujali ukubwa wa umaarufu wako..........
 
eti lulu anataka kuchangisha pesa ili aweze kwenda UK kumwona Justin Bieber coz anampenda sana na hata ikitokea justin akamtaka kmapenz yupo tyr kwel huyu mtoto ndoto zake noumaaaaaaaaa.

Mwambie hana haja ya kuchangisha fedha. Anitafute nitamlipia gharama zote kuanzia usafiri, hoteli, shopping, kiingilio kwa huyo Bieber na mazagazaga yote! Mtoot mzuri kama yule hatakiwi kupata shida atii!!
 
Mwambie hana haja ya kuchangisha fedha. Anitafute nitamlipia gharama zote kuanzia usafiri, hoteli, shopping, kiingilio kwa huyo Bieber na mazagazaga yote! Mtoot mzuri kama yule hatakiwi kupata shida atii!!
Fataki..............
 
Hata hivyo ana mvuto sana yule mtoto. Mimi binafsi huwa namkubali sana hasa kiuno chake. Misanii mingine ya filamu mizee hadi makeups zinadunda. Mtu kama Aunt Ezekiel naona amemaliza midume yote ya mjini.
 
Pale kuna korongo tu la kupitishia maji taka....................

Mtasema yote kwa kuwa tu mtoto wa watu ni mzuri halafu ni maarufu. Mademu wangapi wa mitaani nao ni majamvi ya wageni lakini hamwajui kwa kuwa wao si maarufu? Na kila siku mnawasalandia bila kujua!

She is above 18 kwa hiyo si mtoto tena!
 
Hata waandishi wa habari inabidi waangalie ni mu wa aina gani wanamfanyia interview!
 
Back
Top Bottom