MFYU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 505
- 68
kingxvi:
Waalimu wanaofundisha hapo UDSM ndio wanaotunga mitihani yote na ndio wanosahisha mitihani hiyo. Wanapotunga mitihani, huwa ni kutoka walipofundisha wanachuo wao.
Kupata GPA mbovu ni kutokana na kujibu usichoulizwa kutokana na ukilaza wako sio wa chuo, yaani kwenda kinyume na mafundisho yaliyopelekea mswali. Kwa hiyo, kama usemayo ni kweli, huyo nduguyo ni kilaza au kama zilikuwepo za kupata DIV I poit 3 basi alijichanganya na mambo ya bongo. Vinginevyo hizo point 3 aliiba mtihani.
Ndugu yetu usomaye majuu, usikilaumu chuo kwa GPA mbovu, kama mafundisho yapo chini ya kiwango na mitihani hutolewa hapo hapo chini na mwanachuo angefaulu na kupata GPA ya juu ila asingefaa katika ujenzi wa taifa, maana kichwa kingekuwa kimejazwa pumba. GPA mbovu IS EQUAL TO huna akili
Udsm ni moto jameni,oh..GPA ya 3.0 ya udsm ni sawa na 3.8 GPA ya vyuo vngne..anaebisha achek admssn requirments za LL.M apo mliman..