Jamaa kalambaa dv anataka ushauri

Swali ka kujiuliza ni Je huko kwenye status? If the answer is no, then you can not adjust your status in U.S because you are inadmissible and you will be asked to go to your home country to which you will be subject to all laws governing admissbility to the USA. INA will be of help.
 
Lawyer wa nini sasa? Uliza vizuri ueleweke. Au ana hela za ziada anataka agawe?
Fuata maelekezo kwenye hiyo barua aliyopata.
 
Akienda kwenye interview anaweza kuulizwa kuhusu affidavit of support I - 134 (a US based sponsor with tax returns and a fat W2 would settle this...

"A fat W2" ndio nini, ndio kiasi gani? Mtu wa Kilwa Kivinje akuelewe vipi? Kumbuka nani unaemwandikia ushauri.

Diversity Visa aka Green Card!

"DV Visa" maana yake "Diversity Visa," oh, okay, ahsante.

Kwa hiyo, "DV" inasimama badala ya Diversity, katika "DV Visa," sio?
 
Yo Yo
Umeshamuelewa huyo kichaa anataka mwanasheria kwa ajili ya nini hasa?

Nimefuatilia mtiririko lakini inaonekana jamaa kujieleza ni kabla ya namba 1.

0, 1, 2, 3, 4, 5, 6....................
kwi kwiii teh teh
icon10.gif
 
Kwanza kabisa hongera zake Msafiri. Yuko bongo, US au nchi gani?

Amepata barua ya kwanza au ile ya pili inayokuja mwezi mmoja kabla ya interview? I believe the interviews begin in October if this hasn't changed.

Akienda kwenye interview anaweza kuulizwa kuhusu affidavit of support I - 134 (a US based sponsor with tax returns and a fat W2 would settle this, a Tanzanian bank statement is also acceptable I belive, not sure), keep eyes fixed on the visa bulletin, have all your educational credentials (only up to O level certificates, anything more looks nice but is not required) resumes, medical records, birth and marriage certificate(s) as applicable, police certificate saying you are not a criminal (kama upo Dar nenda makao makuu ya home affairs pale mtaa wa Ghana) passport, all their correspondence including the appointment letter, ready

And above all have their $755 at the ready.

Halafu kwa sasa hivi google should this guys friend, doing research, getting all the documents in order etc

Kuna forum wanatoa experience zao za interview hapa

Kama ana maswali specific alete tutafanya some webcrawling pamoja.

Again hongera zake msafiri.

Bluray maelezo yako yamemaliza kila kitu lakini katika form I-134 (Affidavit of Support) si lazima kuonyesha proof ya income (Tax returns,W2's) ni suala la kuandika Address na ss# ya mtu anayekudhamini, watu wa Ubalozini wana Access ya kujua mapato ya Mdhamini kwa kuwasiliana na IRS...Kitu wanachohitaji kutoka kwa huyo Mdhamini ni Vidokezo vinavyoonyesha kuwa yeye ni Raia wa USA (Citizen) au ni Mkazi wa Kudumu (Permanent Resident).......Kumbuka kuwa Temporary Permanent Resident Holder hawezi kukuthamini.

Vidokezo vinavyothibitisha kwamba Mdhamini ni Raia ni
1);Cheti cha kuzaliwa (Birthcertificate)
2);Hati ya Kusafiria (Passport)
3);Hati ya kupiga kura (Voters card)

Na kama Mdhamini ni Green Card Holder (Permanent Resident) anatakiwa kuambatanisha copy ya card yake mbele na nyumba ambayo itaonyesha wazi wazi A#

Good luck kwa ndugu msafiri!
 
"A fat W2" ndio nini, ndio kiasi gani? Mtu wa Kilwa Kivinje akuelewe vipi? Kumbuka nani unaemwandikia ushauri.

"DV Visa" maana yake "Diversity Visa," oh, okay, ahsante.

Kwa hiyo, "DV" inasimama badala ya Diversity, katika "DV Visa," sio?

Kujua what is a fat W2 angalia 2009 US Poverty guidelines hapa
 
Bluray maelezo yako yamemaliza kila kitu lakini katika form I-134 (Affidavit of Support) si lazima kuonyesha proof ya income (Tax returns,W2's) ni suala la kuandika Address na ss# ya mtu anayekudhamini, watu wa Ubalozini wana Access ya kujua mapato ya Mdhamini kwa kuwasiliana na IRS...Kitu wanachohitaji kutoka kwa huyo Mdhamini ni Vidokezo vinavyoonyesha kuwa yeye ni Raia wa USA (Citizen) au ni Mkazi wa Kudumu (Permanent Resident).......Kumbuka kuwa Temporary Permanent Resident Holder hawezi kukuthamini.

Vidokezo vinavyothibitisha kwamba Mdhamini ni Raia ni
1);Cheti cha kuzaliwa (Birthcertificate)
2);Hati ya Kusafiria (Passport)
3);Hati ya kupiga kura (Voters card)

Na kama Mdhamini ni Green Card Holder (Permanent Resident) anatakiwa kuambatanisha copy ya card yake mbele na nyumba ambayo itaonyesha wazi wazi A#

Good luck kwa ndugu msafiri!

Form yenyewe I-134 hii hapa
 
...Green Card Holder (Permanent Resident) anatakiwa kuambatanisha copy ya card yake mbele na nyumba ambayo itaonyesha wazi wazi A#

...si lazima kuonyesha proof ya income (Tax returns,W2's) ni suala la kuandika Address na ss# ya mtu anayekudhamini, watu wa Ubalozini wana Access ya kujua mapato ya Mdhamini kwa kuwasiliana na IRS...

Kama SS# inatosha kwa ubalozi kuwasiliana na IRS, basi SS# ingetosha kwa ubalozi (state department) kuwasiliana na Immigration and Customs Enforcement kujua immigration status ya mdhamini. Au?

Huwezi kuwapa state department extracurricular ya kukutafutia data za IRS za ndugu yako. In fact, in fact, IRS hawawezi - nitakusumbua kwa kurudia - IRS hawawezi kutoa data za mlipa kodi kwa mtu mwingine au idara yeyote ile, unless kuna situation kama amri ya mahakama. Unapeleka nyaraka kama wanavyozitaka.
 
And that was the puritanically pugnacious potentate Dilunga, also known as the gentleman from La Mancha.

The floor will recognize any rebuttal from the benches, usually the man from LaMancha has a way to settle the last word.
 
Wakuu hizi kijani za lottery wananitosa sana......najaribu kama ya Nyani Ngabu kubeba ri XXXL
 
yeah man that is qatnakwia sofraigion if not bhutdhition
 
Wakuu hizi kijani za lottery wananitosa sana......najaribu kama ya Nyani Ngabu kubeba ri XXXL

hahahaha...jamaa wa IST unataka kuwa raia wa states kwa kuchukua XXXL...hahaha
umenivunja mbavu na NN...kumbe ana li-XXXL! duh!
haya bwana...kila la kheri
 
Watz wenzangu jamaa kalamba dv visa pre selected anaombeni mwanasheria anayeweza kumsaidia maana issue imekaa kama mlima kitonga unajua tena sheria za nchi za watu bwana ,
Asanteni
kichaa
Acha kutapeli watu,hakuna kitu kama hicho na hata kuchezwa hiyo lottery bado, usitake kuwavuta watu kwa maana hamkawi kusema njoo DM, ni tabia zenu za kitapeli kujifanya wajinga au hamjui kumbe mnataka kuwanasa wajinga. kama mkweli weka link ya hayo maelezo ya ''pre selected'' kwa kifupi hakuna pre selected! weka link hapa!
 
Back
Top Bottom