kichaa1972
Member
- Feb 12, 2008
- 7
- 1
Watz wenzangu jamaa kalamba dv visa pre selected anaombeni mwanasheria anayeweza kumsaidia maana issue imekaa kama mlima kitonga unajua tena sheria za nchi za watu bwana ,
Asanteni
kichaa
Asanteni
kichaa
breaking news: awe specific anataka ushauri wa namna gani?Watz wenzangu jamaa kalamba dv visa pre selected anaombeni mwanasheria anayeweza kumsaidia maana issue imekaa kama mlima kitonga unajua tena sheria za nchi za watu bwana ,
Asanteni
kichaa
wewe naawe hueleweki.....msada gani wa kisheria anataka? jinsi ya kupata visa aau nini? hebu weka sawaAnataka ushauri wa kisheria bwana.si unajua utata wa mambo haya mwanangu wewe kama kuna mwanasheria wewe tupatie tuhangaike naye
aaisee kazi kweri kweri......ni hivi kama li apply yeye mwenyewe naa ktumiw mtokeo kw njia ya posta basi ajue kashinda....na kama kapata ile nofication basi kuna maelezo yote mule ndani cha kufanya hakuna cha mwanasheria wala mhandisi wala form 6 kusaidia hapo.......aende ubalozini atapata maelezo yooteanataka kupata hiyo green card bwana ndoo mambo lottery hayo
mkuu ulifaulu darasa la 7? sikuelewi kabisa una maanisha nini......Iko complecated zaidi ya hivyo mwannchi wangu jamaa ako hapa amemaliza shule na vidoiido vyake unatakiwa uwe hivi na vile hapa si unajua vinginevyo angekwenda bila shaka kuchukua bwana
hongera kwa kufaulu.....Nilifaulu la saba na kuendelea sanaaa ansante.
katumiawa kwa njia ya posta amechagulia kwa hiyo green card lakini si unajua mambo ya kubobea hapa umemaliza shule unatakiwa kwenda kwenu kijijini bwana ndoo issue iko hapo
Watz wenzangu jamaa kalamba dv visa ...
Nilifaulu la saba na kuendelea sanaaa ansante.
katumiawa kwa njia ya posta amechagulia kwa hiyo green card lakini si unajua mambo ya kubobea hapa umemaliza shule unatakiwa kwenda kwenu kijijini bwana ndoo issue iko hapo
Kichaa1972,
"DV Visa" ndio nini?