Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema

Why Jaji mkuu kwenye rufaa ya LEMA? Kesi yake ilikuwa ngumu sana majaji wengine kushindwa?, au kutakuwa na utashi wa siasa ndani yake?

Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi,jaji mkuu ameongezwa baada ya kuongezwa Tundu Lisu kwenye jopo la mawakili wa utetezi!
 
huyu chizi alishafukuzwa na makopo yake sioni sababu ya kuendelea kumzungumzia.hata baraza la kata linaweza kusikiliza rufani ya lema.

a rose flower will smell rosy whatsoever name you call it= ua waridi litanukia uwaridi hata ukiliita jina baya!
 
Huyu chizi alishafukuzwa na makopo yake sioni sababu ya kuendelea kumzungumzia.Hata baraza la kata linaweza kusikiliza rufani ya Lema.

Chizi ni wewe. Inaelekea wewe ni "LUMPENI" wa sheria. Kama huna cha kuchangia acha. Tangu lini kesi ya rufaa ikasikilizwa na baraza la Kata? Unadhalilisha taaluma za watu. Una maana Jaji Mkuu "KADANDIA?" kesi ndogo? Tafakari kabla hujachangia "uzi"
 
This is not a good comment!

what is the good comment then? Mimi Nimesoma ushahidi na hukumu ya lema nimeona kuna mapungufu na mawakili wake wakaona hoja ipo,then wakakata rufaa kwamba haki haikutendeka. kwa hiyo comment ITASIMAMA KAMA ILIVYO mpaka utakapoweka iliyo bora!
 
a rose flower will smell rosy whatsoever name you call it= ua waridi litanukia uwaridi hata ukiliita jina baya!
hii proverb nimdeipenda sana mkuu.
asante kwa kuifanya siku yangu ianze na haya maneno ya kutia moyo
 
Halafu Tundu Lissu ameamua kumtetea Lema akishirikiana na wakili wa awali Method Kimomogoro. May be Mahakama imeshtuka kuingia kwa Lissu kama wakili kwenye hili shauri atawaumbua na "Jaji" wao kilaza, mwanafunzi wa first degree OUT?

Inawezekana hii ikawa ndio sababu ya Jaji Mkuu kuingia mwenyewe? Kweli Lissu ni noma, saizi yake ni Jaji Mkuu na sio vihiyo wengine; ha ha ha ha ha! Mahakama na mamlaka ya uteuzi wa majaji inatakiwa ijitazame upya.
 
Lema vs Serikali ya tanzania. Kama wanavyokimbiliaga mahakamani hapa wameona wakimbilie kwa jaji mkuu mtu atakayeweza kuwasaidia. Mpaka hapa naona kabisa jinsi rufaa itakavyokuwa. Lema out
 
hata ukimwita chizi mapambano yanaendelea chama pinduzi hamna lenu Arusha.m4c ndo habari ya mujini.

Wameshndwa hoja wanaleta matusi,kwa mwerevu unajua ni huyo mtu ana iq ya aina gani,usipoteze muda kwa watu wenye viroja badala ya hoja mkuu,hachana nae! M4C ni ya kuotea mbali,mpaka vijijini wameamka na kuelimika
 
Lema vs Serikali ya tanzania. Kama wanavyokimbiliaga mahakamani hapa wameona wakimbilie kwa jaji mkuu mtu atakayeweza kuwasaidia. Mpaka hapa naona kabisa jinsi rufaa itakavyokuwa. Lema out

Moja ya tuhuma kwa Lema ilikuwa ni ya Udini na Hijabu ya Salha Burhani. Kwa kuingia Jaji Mkuu ambaye ni wa Dini ya Batilda-Salha, kamanda Lema atasalimika kweli? TAFAKARI
 
Wamegundu Lema ni hatari kwa afya ya CCM akiwa nje ya Bunge, naona wanataka kumrudishia Ubunge.
akiwa nje CCM inatetemeka na M4C ya Lema, akiingia Bungeni Liwalo na Liwe anatetemeka
 
Moja ya tuhuma kwa Lema ilikuwa ni ya Udini na Hijabu ya Salha Burhani. Kwa kuingia Jaji Mkuu ambaye ni wa Dini ya Batilda-Salha, kamanda Lema atasalimika kweli? TAFAKARI

kaka ktk sheria hakuna dini labda aamue kutumia udicteta kama katumwa na jakaya mana huyo nae utadhani sio rais.najua jaji mkuu akikutana na sheria za tundu lisu wataamua maamuz halali.
 
LEMA anazidi kuwa maarufu, hakuna linaloongelewa arusha zaidi ya siasa na mainly ni CDM na LEMA! kwanini? CDM JUU!!!!!!
 
Back
Top Bottom