Jaji Mkuu Kushiriki Hukumu ya Lema

Nadhani ni fursa nzuri kwa mahakama kutoa hukumu ya haki bila ya hivyo basi watakuwa wamempa Tundu Lisu heshima kubwa sana kuwa weled wa mahakama umeshuka kwa kuwa na majaji na mahakimu wabovu
 
Ivi Lema Alishindwaje ie nini hasa Kilimwangusha ?? Coz hata bwana mdogo wangu anasema ni kesi ya kitoto na Hukumu ile ni Aibu hata ikiingia kwenye vitabu alaf ije kuwa referred

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa hali ilivyo, ni mara mia mahakama ikamrudishia ubunge kuliko uchaguzi kurudiwa! Itakuwa aibu na anguko kubwa kwa CCM
 
Yawezekana pia kuna mbinyo toka kwa OBAMA, c mmeona JK kakimbilia kenya kuomba msaada.Obama kawapa warning kenya kawaambia uchaguzi wa mwakani anataka uwe mfano wa demokrasia afrika, hataki kusiakia mkenya kakatwa hata na wembe tu.matokeo yatatangazwa kituoni.Nadhani JK kanusa sasa ccm wajipange sawasawa demokrasia ya kweli yaja
 
Huyu chizi alishafukuzwa na makopo yake sioni sababu ya kuendelea kumzungumzia.Hata bzaraza la kata linaweza kusikiliza rufani ya Lema.


Mtumzima utambulika kwa maneno yake na pia mtoto utambulika kwa maneno yake pia. ni vyema tukajifunza kuchangia bila kuweka matusi. kwani ukiona mtu mzima anatukana badala ya kutoa hoja basi ujue kakosa cha kuandika na hoja
imemzidi uzito.

:flypig::flypig:
 
kweli Tundu lissu ni hatari sana majuzi tu kamchezesha ngoma waziri wa mambo ya ndani mpaka akabadilisha jina kutoka Tume mpaka Kamati Leo wengine wameendelea kucheza music wake bila kujijua na kujikuta kukubaliana na Tundullisu kwenye waraka wake kuwa makosa yamekuwa ya kifanyika tena makusudi kuteua watu wasio nasifa kushika nyazifa muhimu.

kweli ni vigumu kucheza sebene la Lissu bila kutumia akili.
 
hivi ile kesi ya yule jamaa wa mtandao wa wizi wa magari Tanzania kutoka kule arusha bado inaendelea?

Ni vyema ukaongea kwa vithibitisho kinyume na hapo unaonekana ni mtu mwenye chuki binafsi.
 
Tundu Lissu huenda anasoma vinfungu vya sheria kama Biblia. Big up Tundu, mfumo wa wanasheria walikuwa kama vimungu
 
kila la heri kamanda Lema.
Lissu ataichana chana hukumu ya jaji Rwakibarila.
 
Hivi kesi ya Dowans,RICHMOND AND THEIR LIKE NA HII YA LEMA IPI YENYE MASILAHI MAKUBWA MPAKA CJ AINGILIE KATI, MIMI KWA UTASHI WANGU SIONI KAMA CJ ANGEPASWA KUHUSISHWA NA KESI NDOGO KAMA HII. Na naona ikibugi au akakubali kutumiwa na kijani atakuwa amejichafua sana.
 
Wasiwasi wangu kama kweli jk alishinikiza Lema kuenguliwa, kuna uwezekano yakajirudia yale yale ya Arusha. Mungu ibariki CDM
 
wadau wa JF,
Ninasikiliza kipindi cha magazeti cha RFA nimesikia kuwa jaji Chande atasikiliza kesi ya lema akishirikiana na jaji Kimaro na jaji Masati.

kwa hiyo yule mwanafunzi wa open university ndg Mbarouk Mbarouk kapigwa chini.

kumbe Tundu Lisu alisema kweli.

viva CDM!

Sasa anapelekwa crush programme uingereza kutafuta kacertificate ka kuzugia zugia!!; walijua akikaa kwenye benchi la rufaa ya GJL itakuwa scandal na aibu kwa serikali, Viva TL
 
Back
Top Bottom