Kwa hiyo mnamaanisha nini, inaweza kutokea na isihusiane na kesi ya Lema!
Crashwise unataka kusema CDM wana nguvu za giza au ni maombi kwa Mungu? Nasema hivi kwa sababu kuna taarifa zilikuja hapa kwamba kuna watu walikuwa wakigawa sanda huko Nachingwea ili kupambana na M4C na baada ya muda eti wote wawili wakafa kwa kufuatana. Sasa na wewe leo unakuja na hili la kupooza! Duh mbona kazi ipoWana JF,
Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.
Ati nini?Crashwise unataka kusema CDM wana nguvu za giza au ni maombi kwa Mungu? Nasema hivi kwa sababu kuna taarifa zilikuja hapa kwamba kuna watu walikuwa wakigawa sanda huko Nachingwea ili kupambana na M4C na baada ya muda eti wote wawili wakafa kwa kufuatana. Sasa na wewe leo unakuja na hili la kupooza! Duh mbona kazi ipo