Wala msijidanganye, Luhanjo hawezi kumtosa Jairo. Hawa watu ni wazee, lazima walindane.
Just wait and see.
Unaweza kuwa prophet baadae mkuu.
Wala msijidanganye, Luhanjo hawezi kumtosa Jairo. Hawa watu ni wazee, lazima walindane.
Just wait and see.
Bado sijaelewa na nimefuatilia from day one.. kosa la Jairo hasa ni nini?
HIyo ilikuwa posti yangu ya kwanza kuhusu suala la Jairo; kulikuwa na sababu.
Hivi Jairo na Luhanjo ni Wabena? How about Ana Makinda?
Sababu hata mimi naiona sasa,Jairo hata hatia hapa...report inasomwa sasa hivi.HIyo ilikuwa posti yangu ya kwanza kuhusu suala la Jairo; kulikuwa na sababu.