Jairo asimamishwa kazi

Status
Not open for further replies.
quote_icon.png
By CHUAKACHARA
Wala msijidanganye, Luhanjo hawezi kumtosa Jairo. Hawa watu ni wazee, lazima walindane.
Just wait and see.


Unaweza kuwa prophet baadae mkuu.


Ulimakafu, naona unabii wa Chuakachara umetimia. Jamaa yuko huru.
 
HIyo ilikuwa posti yangu ya kwanza kuhusu suala la Jairo; kulikuwa na sababu.

Hivi mtoa rushwa na mpokea rushwa si wote wahalifu? sasa kama tulimshikia bango Jairo na tukawaacha waheshimiwa wabunge waliopokea itakuwa vipi? Halafu hii habari ya rushwa kuandikiwa barua sijawahi kuisikia, labda lile 'bomu' la Mh. Mrema dhidi ya BWM kuhusu rushwa ya mil. 900 mwaka 1997.
 
Hivi Jairo na Luhanjo ni Wabena? How about Ana Makinda?

To me it is not about Ubenaism but rather JK-ism. JK has been moving with his people from Tanga School to different places. By the way, that includes people like Johnson Mwanyika and the like.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom