Jaffarai afunguka kuhusu fiesta mbeya kama bifu yeye na sugu

Amepingana na kauli ya kukataa Fiesta isifanyike Mbeya sasa ni Beef mwanzo mwisho bado wana kisasi cha demu wao Shy Rose Banj Fungua www.hassbaby.blogspot.com au kurasa yake ya Facebook

twashukuru kwa thread ila naomba uwe unapakua vyote hapa na sio kutuwekea link ya kwenda kwenye blog yako mkuu...
wenzio kwenye blog wanaweka na hapa wanashusha habari yote.
ni ombi tu
 
Mmmmh.
Haya mambo yoooote hayana TIJA!!!!!!!
LET THEM FIGHTS 4 THEIR OWNS MITUMBO
 
twashukuru kwa thread ila naomba uwe unapakua vyote hapa na sio kutuwekea link ya kwenda kwenye blog yako mkuu...wenzio kwenye blog wanaweka na hapa wanashusha habari yote.ni ombi tu
Promo.......and advertisement
 
Japo ni shabiki wa mr 2 sugu, ila hapa kakurupuka, kama siyo muziki hata yeye asingejulikana.
 
Hiyo hapo taarifa:-

Mkali wa Bongo Jaffarai Jaffarhymes Mshamu amemlipua na kufunguka kwa Mbunge wa Mbeya Mh. Joseph Mbilinyi Mr. II Sugu hivi

Nikiwa km m1 kati ya wasanii wengi sana tuliosoma mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa mr 2 uctake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa mby ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata cku 1.. Lete hoja za msingi bungeni km wenzako wakina Zitto cyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!![/h]Maneno hayo aliyaandika kupitia kurasa yake ya Facebook ambayo Mastaa wengi huwa wanaitumia kufikisha ujumbe ikiwemo na kuchat kwa saaana.

Source: Hassbaby Blog
 
wetuu wehuu tu!!sugu ana bifuuu na kina kusagaa,then jafari ana beef na sugu..wachapanee tuone nanii bingwaaa
 
Back
Top Bottom