Jaffarai afunguka kuhusu fiesta mbeya kama bifu yeye na sugu

Ahhhhhh kwani chadema huwa wanakurupuka?usitake kutuchokoza pipooooooozzzzzzzzzzzzzzz muoneni huyu!

Hata mimi siyo shabiki wa sugu na wala sina tatizo naye ila katika hili huyu mhe amechemka sana kwani chadema wote wako makini na hawakurupuki isipokuwa sugu na shibuda.

Kaka sugu kuwa makini sana na kauli zako kwani sasa tumeanza kuamini ni upepo wa dr slaa ndio uliokupa ubunge na ukumbuke tabu zote ulizopitia maishani mwako kitendo cha kutaka kuleta vurugu kwa kuwarubuni vijana wa mbeya isije kula kwako kaka. ukumbuke mabox uliyokuwa unabeba marekani. Je ushasahau? kumbuka umebakiza kipindi cha miaka 3 tu ya ubunge na baada ya hapo 2015 utakuwa na kazi ya ziada ya kujiuza.

Hata viongozi wa chadema hadi sasa wameshajua wewe hufai ila wataendelea na wewe lakini watakutosa tu 2015 na kuweka kijana zaidi yako na mwenye vision ya kichadema.

Inabidi uchague unataka nini maishani mwako burudani au siasa na kwa upande wangu bora uendelee na burudani kwani siasa huiwezi na hata burudani pia itakupa shida sana maana sasa game imebadilika sana usidhani ni miaka ile ya kutukana tukana. TAFAKARI KAKA SUGU.
 
Ahhhhhh kwani chadema huwa wanakurupuka?usitake kutuchokoza pipooooooozzzzzzzzzzzzzzz muoneni huyu!

Tatizo lako (lenu) Mohammed kila kitu ni siasa (za chuki). Kumbuka Sugu ana sifa nyingi Mwanasiasa, Mwanamuziki etc. Kuna nyakati jadili kitu kutokana na muktadha, ndivyo ustaarabu ulivyo. Sasa hivi mtahamisha tena mjadala toka CHADEMA kwenda kwenye ud...., sometimes mnaboa sana, basi tu!
 
JIKE DUME HILO, kwani jamaa ni mzima sana, mimi huwa nahisi mambo yale ya Mombasa hayampiti mbali
 
Back
Top Bottom