kwani nini bana
Member
- Oct 13, 2012
- 25
- 4
Hakuna jipya hapa. Just recycling old stories kwa kuzifanyia cosmetic changes ili zionekane kama ni mpya vile.
Nani asiyejua hayo yote uliyoandika? Unadhani Watanzania ni ignorant kiasi hicho?
Labda kwa vile Watanzania ni watu wa kuambiwa tuu utawakamata wengi tuu hapa.
Nyie wenyewe kama mna taarifa zote kuwa Lowassa ni fisadi mmefanya nini so far?
Kama Lowassa hafai kuwa rais basi ni kigezo kuwa aliyeko nyuma yako na unayejaaribu kumtetea anafaa?
Next time njoo na hoja kwa nini unayetetea anafaa kuwa rais, siyo kwa nini mpinzani wake hafai kuwa rais.
Acha kabisa kuwahadaa wananchi kwa kuwatumia kama toilet paper.
Mimi nakubaliana na wewe kwa msingi kwamba Ndg mtoa mada tangu mwanzo amekuwa akiwaponda sana EL na Malechela kwa kigezo cha mwalimu alisema. Kama Mwl alisema na ikathibitika hivyo ni hatua gani iliyochuliwa?
Inavyoonekana mtoa mada ana ajenda yake ambayo nalazimika kuamini kwamba kwa mada hii, huu ni utangulizi tu. Ni bora angeenda moja kwa moja na kueleza ni nani sasa yeye anaye ona anafaa, in other words anamtumikia nani?
Nawasilisha