ITV ina ugomvi gani na CUF?

Eti tishio' yaani chama chenye mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa uku bara alafu kiwe tishio? you ar dreaming my friend.
RIP CUF, RIP Mkigoma
Data za wapi hizo jamani cuf wanambunge mmoja tu wakuchaguliwa huku bara?, sasa sijui unamzungumzia wa kilwa au lindi mjini? kwani cdm wanawabunge wangapi wakuchaguliwa znz?
 
itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa katika habari za kitaifa lakini huwa haisomwi sijui ni kwanini?
Wewe haujui? cccm si inatajwa sana...sasa unataka nini tena wakati unajua fika kuwa CUF ni ccmB
 
Data za wapi hizo jamani cuf wanambunge mmoja tu wakuchaguliwa huku bara?, sasa sijui unamzungumzia wa kilwa au lindi mjini? kwani cdm wanawabunge wangapi wakuchaguliwa znz?

Zanzibar ni kama wilaya ya Kisarawe tu hivyo wabunge wa kule ni sawa na wenyeviti wa serikali za mitaa. Kutopata kiti Zanzibar haina effect ndiyo maana hata ratio ya viti maalum imeangalia zaidi iadadi ya kura chama kilizopata. Zanzibar Zanzibar Zanzibar koloni la Tanganyika.
 
Back
Top Bottom